chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kosa ambalo Mbowe analifanya katika siasa ni kumrudisha CHADEMA Dkt. Slaa

    Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya. Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali. Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili. Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kauli ya DC Mbeya, maandamano ya CHADEMA yanafanyika sababu Rais Samia ameruhusu na sio kwa sababu ya Katiba

    Mara nyingine nikiwaza mambo yanavyofanyika hapa Tanzaniia, naona kama tumekuwa jumuiya fulani katika uwanja wa fujo. Tunaishi kwa matamko ya Raisi, mawaziri, wakuu wa Polisi, wakuu wa mikoa na mara nyingine katibu mwenezi wa CCM! Hivi hakuna watu wenye akili nchini, na hasa viongozi, wakaona...
  3. I

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mbeya apongezwe kwa kusimamia vema maandamano ya Chadema na ziara ya Biteko

    Hakika RPC wa Mbeya anapaswa kupongezwa kwa kuepusha maafa ambayo yangeweza kutokea leo mjini Mbeya kama angemuendekeza RC Homera na DC Malisa. Aidha pongezi ziwaendee viongozi wa Chadema kwa uimara wao wa kuhakikisha hawatetereki katika msimamo wao wa kufanikisha maandamano na waandamanaji kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Mkoani Mbeya Februari 20 yameleta faraja kubwa

    Nyinyi ndugu zangu humu jukwaani ni mashahidi. Kijana wetu leo ametulia sana humu jukwaani. Bila shaka alisafiri kutoka kwao Mbozi, mpaka Mbeya Mjini ili kwenda kuwaona Makamanda wa Chadema live! Yaani moyo wake utakuwa umesuuzika baada ya kuwaona Makamanda kama Lissu, Mbowe, na wengineo live...
  5. JamiiForums Tanzania Chama cha haki na kilichokubalika kwa Mungu, mtu, au taasisi kupitia dini akipinge, ni kujichosha tu! CHADEMA ina kibali bwana!

    Chadema inayo mambo madogo madogo ya kujirekebisha hasa kupitia wafuasi wake ambao hujikuta wakitoa maneno yaliyokosa hekima, busara, wala mwelekeo huo wa kukubalika Niliandika uzi uliotambulikana kuwa, Chadema ni chama cha wahuni? Katika maelezo yangu nilitahadharisha kauli za wafuasi wa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchambuzi: Maandamano yanaibomoa CHADEMA kuliko kuijenga

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa kikifanya harakati mbalimbali zenye lengo la kuibua makosa mbalimbali yanayofanywa na chama tawala...
  7. JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA ni jogging hayana impact kwa mtawala

    Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana madhara sawa tu jogging fulani tu Africa tofauti na ulaya Ulaya watu hata wanne wakifanya...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Mbeya: Lissu asema hatujamkimbia Makonda kwenye Mdahalo, ni jambazi anatakiwa kuwa gerezani

    Maandamano ya CHADEMA yanaendelea Mbeya sasa hivi https://www.youtube.com/watch?v=IBSOyiuU4Nk Tundu Lissu: - Tutaandamana mpaka tutakapopata Katiba mpya, mfumo mpya wa uchaguzi, mpaka tutakapowaondoa madarakani hawa wanaotunyonya. - Hatuandamani kwa sababu tunataka kujifurahisha, au kufanya...
  9. JamiiForums Tanzania Hauwezi kutaja historia ya Lowassa bila kuitaja Chadema vile vile hauwezi kutaja historia ya Chadema bila kumtaja Zitto Kabwe

    Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA badilisheni kauli mbiu yenu kuwa "Nguvu, Nguvu, Nguvu ya Umma"

    Ninawashauri CHADEMA wabadili kauli mbiu yao kutoka; "Peoples Power" na kuiita "Nguvu, Nguvu ya Umaa". Sababu ya kushauri hivyo, sisi ni Waafrika kwanini tusitumie Kiswahili chetu katika mambo yetu ya hamasa kuliko kutumia maneno ya Kiingereza? Huku kijijni hatujui Kiingereza na tumekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC wa MBEYA atuhumiwa kuhujumu maandamano ya CHADEMA Mbeya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amekuwa akiandaa njama za kudhoofisha maandamano ya chama hicho yaliyopangwa kufanyika jijini Mbeya Jumanne, Februari 20.2024 Akizungumza na wanahabari kwenye Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyassa zilizopo...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Machifu Mbeya wapinga Maandamano ya CHADEMA

    Chifu wa kabila la Wasafwa jijini Mbeya Chifu Rocket Mwashinga amesema anashangaa kusikia kwenye vyombo vya habari maneno yanazungumzwa kwamba machifu wa mbeya wameungana na msafara wa maandamano ya Chadema. "Ni kitu cha kushangaza kama mimi ndio mkuu sasa nashangaa huyo Chifu aliyezungumza ni...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri zilizofanya na Edward Lowassa katika nafasi mbalimbali alizowahi kuzishika serikalini. Aidha...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

    Mungu ni mwema Wakati wote Hatimaye Freeman Mbowe apewa nafasi ya kuzungumza Msibani kwa Lowassa. -- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijafurahia kitendo cha kutotajwa katika historia ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

    Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa. CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli...
  16. JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika mahojiano ya Tundu Lissu Star TV leo Februari 16, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu ambao utamulika baadhi ya hoja zinazoibuka: TUNDU LISSU KUHUSU LOWASSA NA KESI YA UFISADI DPP...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya Maandamano Mbeya 20 Feb, maandalizi yakamilika

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya kimesema kimekamilisha maandalizi ya kufanyika kwa maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Jumanne, Februari 20.2024 ambapo viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wakitarajiwa kuongoza maandamano hayo Hayo yameelezwa na Mwenyekiti...
  18. JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wana akili wangejikita kwenye Katiba

    Nchi yetu ina matatizo ya aina 2 1. Matatizo ya kimfumo ambayo haya chanzo kikuu ni Katiba 2. Matatizo ya kiasili ambayo haya msingi wake ni Ujinga na mada hii ni pana sana. Ili tuweze kupambana na matatizo ya kiasili ni muhimu na vizuri turekebishe matatizo yetu ya kimfumo ambayo msingi wake...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

    Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za uchaguzi. Viwanja vya Furahisha vyazidiwa watu wamesimama mguu mmoja mmoja, ukisimama miguu miwili...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano CHADEMA Mwanza kuhujumiwa na Media: Ni wakati Kuviadhibu vyombo vya habari

    CHADEMA kikiwa ndio chama kikuu cha upinzani na chama ogopewa na watawala wa CCM kimepanga maandamano huko Jijini Mwanza. Kuna waandishi wa habari wabaadhi vyombo vyenye heshima kubwa wamepewa fedha, wanakusanya vijana wa Bodaboda ambao kwa asili ni vijana wa chama tawala wamekuwa wakijifanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…