chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa kada wa CHADEMA ni ishara mbaya kwa cham hicho

    Ninaona vipande vya video vikionesha kada mmoja wa CHADEMA amesulubiwa hadi kukimbizwa hospitali. Taarifa za kuaminika ni kwamba amepigwa na mlinzi wa CHADEMA ambaye alifanikiwa kuvitoroka vyombo vya ulinzi vilivyokuwa eneo la tukio. Kitendo hicho kimeonesha jinsi viongozi waliopo...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sumbawanga yazizima: Wananchi Wamsindikiza Lissu kutoka Uwanjani hadi Hotelini. Polisi washindwa kuzuia maandamo yao

    Sumbawanga leo imezizima. Kila kona ni Lissu. Leo Lissu amefanya mkutano wa aina yake Sumbawanga mjini. Baada ya Wananchi kukoshwa na sera zake pamoja na elimu murua aliyotoa wamefanya maandamano ya kumsindika hadi hotelini alipofikia. Unaambiwa hii haijawahi kutokea kwa historia ya siasa za...
  3. Ileje

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yapata aibu tena Sumbawanga

    Leo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election. Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Makalla ingesemwa na kiongozi wa CHADEMA unadhani nini kingetokea? Uhaini? Msajili wa Vyama vya Siasa ametenda haki?

    Wakuu, Naamini wengi kama mimi hatujaelewa kabisa jinsi suala hili linalotishia usalama wa taifa lilivyopita kimya kimya. Ugonjwa kama Ebola ni muda mchache tu kufuta generation ya watu ukiangalia na vile tulivyokuwa duni kwenye suala la afya linapokuja kupambana na magonjwa kama hayo...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema yamlima barua Mchome, yamtaka ajieleze ndani ya siku 14

    Wakuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemwandikia barua Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Lembruce Mchome kikimtaka ajieleze ndani ya siku 14 kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu. Mchome ameingia kwenye mgogoro na chama chake baada ya kuhoji...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kazi ya CHADEMA ya kusambaza “No Reform, No Election” imekuwa Nyepesi sana, kutokana na Elimu kabambe wanayopewa wananchi

    Kazi ya Chadema ya kusambaza jambo Tukufu la No Reform No Election imekuwa Nyepesi sana, kutokana na Elimu kabambe wanayopewa wananchi. Imekuwa rahisi kwa vile karibu kila kijiji cha Tanzania lipo kaburi au makaburi ya wanachadema waliouawa kutokana na Uchaguzi, kwahiyo hoja zinazotolewa...
  7. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sababu za kuwepo kwa muitikio mdogo wa wananchi kushiriki mikutano ya CHADEMA

    1. Kukosa Uwazi na Uwajibikaji wa Viongozi: Wananchi wanaposhuhudia viongozi wa CHADEMA kutokuwa na uwazi katika utendaji wao au kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu mikakati yao, wanapoteza imani na chama hicho. 2. Migogoro ya Kiutawala na Ugumu wa Kujenga Umoja wa Chama: Migogoro ya mara...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Tukikaa kimya CHADEMA ikiumizwa, tutafuata sisi ACT

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakiwezi kunyamaza kimya endapo CHADEMA itakandamizwa, kikisisitiza mshikamano wake na chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama hicho kilichofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado...
  9. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Idara ya uenezi CHADEMA ni kama imekufa, embu fanyeni bIdii kidogo

    Katika watu makini katika wakati huu ni watu waliotengeneza hii slogan ya No Reform, No Election,.mmeweza. Wenzenu wanasema kazi na utu, wakati hizo kazi hazionekani Wala huo utu haonekani. No Reform, No Election ni kauli iliyobeba common course and unified ideology ndo maana tunaona ikiungwa...
  10. Poa 2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 'No Reform, No Election' ni agenda sahihi Kwa wakati sahihi tuiunge mkono

    Habarini wadau! Hii agenda imekuwa mwiba mkali sana Kwa CCM na machawa wake, wameingiwa mhaho, hawaoni pa kutokea. Kwa kweli wananchi tukiiunga mkono na ikafanikiwa ndio itakuwa mwisho wa hiki chama Cha machawa. Mitandao ya kijamii ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe Kwa wananchi Kwa...
  11. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

    Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche. Tukio hilo lilitokea usiku wa jana mkoani Njombe, katika...
  12. Jimbi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu anaelezea mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi kwa lugha nyepesi kabisa kueleweka na mtu yeyote

    Bila shaka kila Mwananchi sasa ataelewa maana ya No reforms No election na kuachana na propaganda za serikali hii ya kidhalimu ya CCM. Tundu Lissu anatumia lugha rahisi kabisa kueleweka kwa kila mtu, ni mwendawazimu pekee ndiye atakayeweza KUSHUPAZA SHINGO na kung'ang'ania kushiriki kwenye...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kweli baada ya kugundua atashindwa uchaguzi, Lissu analazimisha wabunge na madiwani wa CHADEMA wasusie uchaguzi ili eti wawe kama yeye?

    Hii ni aibu sana kwa kiongozi, yaani kwa vile yeye hana pesa kwaajili ya kampeni, lakini pia baada ya kujipima na kujitathimini kwamba haupo uwezekano wa yeye kushinda uchaguzi mkuu wa Oct, kwa nafasi yake, sasa akaamua kuhakisha anaanzisha movement ya kuwakosesha na wagombeaji wa nafasi...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Rukwa: Lissu amtangaza Mwenyekiti wa Kijiji cha Ntalamila (CHADEMA) kama mshindi, baada ya Tume kutomtangaza

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Antiphas Lissu ameamua kumtangaza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ikidai kuwa alishinda katika uchaguzi huo na hakutangazwa Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya CHADEMA kusema No refoms No Election, mimi na wana CHADEMA wenzangu hatujajiandikisha kupiga kura, naona CCM wanajiandikisha kwa wingi

    Wanachadema katika eneo langu hawajajiandikisha katika daftari la kupiga kura baada ya kiongozi wetu Lissu kutuelekeza tususie uchaguzi. Wagombea wenzangu walikuwa wamerltunza hela wafanyie kampeni, sasa wameamua kuzinywea pombe na kufanyia shughuli nyingine. Wenzetu CCM wanajisuka mashinani...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sheria 48 za mamlaka: usionekane sana (use absence) ili uheshimike-ndicho anachofanya gwiji wa siasa za Tanzania-Freeman Mbowe

    Naam.... Ndivyo mchezo wa chess ya madaraka ilivyo..... Kutoonekana kwa Mbowe kumewaacha mahasimu wake wakijiuliza, na wengine wakitaka atoe neno tu au ashiriki kwenye ziara zao ambazo zimedorora ili awape endorsement. Lissu ameamua kuitenga kanda ya kaskazini kwa kuwa anaamini haikumpa kura
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche ashangazwa na wananchi kuwa na shida ya maji kwenye nchi yenye rasilimali nyingi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya. "Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi yenye neema kuliko nchi nyingi, mimi nimezunguka duniani unakwenda nchi unakuta ina rasimali moja tu...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu akabidhiwa Mkuki na Wananchi wa Kilando tayari kwa mapambano ya kuzuia Uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amekabidhiwa rasmi mkuki kama ishara ya ujasiri kuelekea katika mapambano yake yakuzuia uchaguzi.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika: Msajili aseme amempa Siku ngapi Makalla madai ya CHADEMA kununua Virusi vya Ebola

    John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kusema hatua alizochukua dhidi ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla aliyedai CHADEMA inachangisha fedha kwenda kununua Virusi vya Ebola na Epox...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wote wenye akili na uelewa wa mambo hushabikia CHADEMA?

    Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau Viongozi wa dini Lakini ukienda upande wa pili kule ufahamu wa mambo ni mdogo sana,naamini hata nyiye...
Back
Top Bottom