chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaotaka kukwamisha operation ya chama ya "No Reforms no Election" wanaharibu Legacy ya Freeman Mbowe

    Katika operesheni za mwishonimwishoni chini ya uongozi wa Freeman Mbowe kama mwenyekiti wa chama ni hii operesheni ya No Reforms no Election. Operesheni hii ilipitishwa na vikao vyote vikuu vya chama kuanzia kamati kuu hadi mkutano mkuu Taifa, tena chini ya uenyekiti wa Mbowe. Kinachoshangaza...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni zipi hasa sababu za kwanini Tundu Lissu haaminiki ndani ya CHADEMA na katika siasa za Tanzania?

    Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono? Halafu my friends, ladies and...
  3. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Freeman Mbowe akitangaza agenda ya No reform No Elections, G55 Wanadhihirisha ule ulikuwa ni mchezo wa maigizo wa Mbowe

    Kuna wakati Watanzania tunaanza kuamini Freeman Mbowe alizungukwa na vijana hatari sana huku yeye akila na kulala nao. Kama wanavyojitambulisha hawa vijana wanaojiita G55 ni vijana toka team iliyojitanabaisha kuwa ni team Mbowe wakati wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA mapema mwaka huu. Kama...
  4. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni yapi matumaini ya watia nia wa CHADEMA?

    Kampeni ya No Reforms, No elections imepata upinzani ndani na nje ya chama cha Chadema. Ndani ya Chadema, kuna kundi ambalo linaona kabisa kuwa kampeni hii itawatoa kwenye malengo yao ya kisiasa na hivyo kumshinikiza mwenyekiti wao TAL pamoja na makamu mwenyekiti waachane na msimamo huo ili...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ni nini mateokeo ya chadema kutoshiriki uchaguzi mwaka huu?

    Chama kikuu cha upinzani, Chadema bado kinaendelea kusimamia ajenda yao ya No reforms, No elections ambayo ina lengo la kuitaka serikali kufanya mabadiriko kwenye sera na kanuni za uchaguzi mkuu. Vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamikia sera ya uchaguzi kutotoa uwanja sawa kwa vyama vyote...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wanachama CHADEMA waugomea uongozi wao wa kitaifa, wawalima barua kupinga "no reform no election" Lissu,Heche wakalia kiti moto

    Mbombo ngafu, Lissu na Heche wakalia kiti moto, wapingwa nchi nzima.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Umaskini wa nchi hii ni wa kutengenezewa na viongozi tulionao

    " Miaka kumi na mbili iliyopita Lindi hii na Mtwara waliambiwa mnaletewa utajiri wa gesi, Miaka kumi na mbili iliyopita walichukuliwa Masheikh hapa, Viongozi wa dini na Maaskofu, wakati ule mimi nilikuwa sijaenda Bungeni. Wakapelekwa Norway, wakapelekwa Malaysia, wakapelekwa na nchi nyingine...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, Lisu ajiuzulu kuiongoza CHADEMA baada ya agenda yake no reform no elections kukataliwa na kupuuzwa na wanaCHADEMA na wananchi kwa ujumla

    Ni muhimu kuhitimisha kwa kusema tu kwamba, Tundu Antipas Lisu Chadema imemshinda ndani ya kipindi kifupi tu, na kabisa kuna ishara zote kwamba muungwana hatakua na jipya tena ndani ya Chadema baada ya uchaguzi mkuu, zaidi tu ya kuizamisha na kuipoteza tu Chadema mazima kwenye medani za siasa za...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini ni muhimu kwa CHADEMA kuzui uchaguzi badala ya kususia tu uchaguzi?

    Kuna watu wanajiuliza kwanini CHADEMA wanataka kuzuia uchaguzi wakati hawataki kushiriki huo uchaguzi? Wanajiuliza: Kwanini wasikae pembeni tu wakawaacha wafanye huo uchaguzi? Jibu:Kitendo tu cha kufanya uchaguzi, maana yake ni kuipa CCM uhalali wa kurudi madarakani na kuunda serikali...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya Lissu ilindwe kwa gharama yoyote kwasababu ndio njia pekee ya kuiondoa CCM kinyume na hapo watakaopoteza sio CHADEMA ni Watanzania

    Watanzania wanatakiwa wafahamu kina LISU, Heche, Mnyika nk hawana cha kupoteza hata CHADEMA ikifa leo. Watakaopoteza na kula hasara ni watanzania. Madhila yote yanayowapata sasa Watanzania chanzo ni CCM. Sasa LISU ndio muarobaini wenyewe ulioletwa na Mungu baada ya kumuokoa na Yale mauwaji...
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G 55 wasikilizwe na wao wawe na dhamira njema ya kutokiua chama

    Hali hii siyo nxuri G55 imeundwa kwa convenience ya kuendeleza maumivu na kubomoa chama. hapa hakuna nidhamu ingawa wana haki ya kusikilizwa na kisha warejee kwenye vikao halali vya kamati kuu, Baraza kuu na Mkutano Mkuu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Ponyeni majeraha vinginevyo mmekwisha

    Ukichunguza kwa kina kuna tatizo ndani ya chama. Na hii ni kutokana na Mbowe kuwa kimya tangu akabidhi chama hicho. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa haya ya g55, CHADEMA inaelekea barabara ya Cuf na TLP

    Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri Kemeeni makundi makundi..... bila chadema...
  14. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 wanapaswa kusimamishwa uanachama CHADEMA

    Bado nitaendelea na msimamo ule ule wa CHADEMA kuwafuta uanachama, wanachama wanaotaka kukwamisha mipango ya chama. Kama ningekuwa sehemu ya maamuzi ya CHADEMA, ningeshauri wajibiwe hoja zao zote kwa maandishi, na baada ya hapo utaratibu wa kuwasimamisha uanachama uanze mara moja. CHADEMA...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Reforms wanazozitaka Chadema ni ngumu kiasi gani mpaka zisifanyiwe kazi? Mbona Reforms ni sehemu ya "4R" za Rais Samia lakini CCM wanapinga?

    Hili ni swali ambalo najiuliza. Kama 4R ni falsafa ya Raisi, kwanini chama chake kinapinga Reforms zinazopendekezwa na wapinzani? Badala ya kuchangamsha bongo zao namna ya kuyachukua mapendekezo ya Chadema, nguvu kubwa zaidi imeelekezwa katika kuwabeza, kuwatukana, kuwatisha, na kuwakatisha...
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Ujio wa G55 na mwelekeo mpya wa Chadema

    Wakati uongozi wa Chadema ukikutana na watia nia ya kugombea ubunge na udiwani katika ofisi ya makao makuu jijini Dar es Salaam Machi 3, 2025, kundi hilo linaundwa na wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chadema wa 2020 na 2025, limewasilisha maoni yake kwa maandishi likipinga kampeni ya No...
  17. Gabeji

    JamiiForums Tanzania G55 ya watia nia wa chadema ni waroho wa madaraka. Wamesahau watanzania wangapi wamepoteza maisha kwasbb ya uchaguzi feki!

    Ivi watanzania sijui ni nani alie tuloga? NYERERE angekuwa na roho ya uoga kiasi hiki mpaka leo tusingepata uhuru. Nimesoma hoja zao hao G55, hazina mashiko zaidi ya uroho,ubinfsi, na tamaaa, za madaraka. HAWA G55 wamesahau ni watanzania wangapi wamepoteza maisha ,kutekwa, vilema, masikini...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko Chadema kwa maslahi ya nani

    Inashangaza kuona mgawanyiko wa makundi ndani ya chadema swali muhimu kwa maslahi ya nani?
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tunavyo vyama vingi, tusiwabembeleze chadema kushiriki uchaguzi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe mkono kwenye msimamo wao wa kutoshiriki.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

    Wakuu Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu...
Back
Top Bottom