Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,
1. No reforms, no election bado haijaeleweka.
2. G55 wanataka kukipasua chama
3. COVID-19 wanataka kurudi
4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
Hii ndio maana halisi ya tunachokiona sasa na tafsiri kwa nini chama hiki kazi yake ni kuzua taharuki badala ya kufanya siasa safi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Ni Dhahiri kuwa CCM na Serikali yao wamechanganyikiwa na Moto wa No Reforms, No Election. CCM wanajua kuwa CDM ndio Chama kikuu cha Upinzania Tanzania na vyama vingine ni Takataka tu.
CCM wanajua kuwa Jumuiya za Ki Matiafa ambazo ndio Mfadhili Mkubwa wa budget ya Serikali inatambua kuwa CDM...
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.
Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?
Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
https://m.youtube.com/watch?v=8X9aksS1quw
Baada ya press conference, kundi la G55 waulizwa maswali magumu na waandishi wa habari juu ya wao G55 kupinga No Reforms No Election 2025 wakati uamuzi huo ni wa chama:
Chief Odema wa Star TV , John Marwa wa Jambo TV maswali 5 magumu , Humphrey wa...
Kwa namna system yetu inavyojihusisha na mambo ya kipuuzi ikiwemo kutengeneza moles kwenye vyama vya Upinzani makini ili kukisaidia Chama cha Mapinduzi kuendelea kuitawala Tanzania na kuwanyanyasa raia masikini wa Taifa hili kwa kweli sishashangai saivi nikiona Tanzania tunapigwa hadi na vikundi...
TAARIFA KWA UMΜΑ
Uongozi wa Kanda ya Kaskazini unawataarifu wanachama na umma kwa ujumla kuwa, viongozi wote wa Kanda hii ambao wanadaiwa kuweka saini kwenye waraka (petition) wataitwa kwa haraka ili;
1. Kuthibitisha kama kweli saini zilizowekwa ni zao, na kama walihusika moja kwa moja kwenye...
John Mrema
Mkutano wa John Mrema wa Chadema na waandishi wa habari leo umefichua mengi kuhusu dhamira yake na wanaomtuma.
Anasema kuwa wao hawapingi msimamo rasmi wa chama kwa kuwa kwenye waraka rasmi wa Chadema alio nao maneno NO ELECTION hayamaanishi HAKUNA UCHAGUZI.
Anachomaanisha ni...
CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa?
Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja yao kuu ni kupinga mfumo usio wa kidemokrasia, lakini swali kubwa linabaki: wanasusia kwa faida ya...
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi Pascal Mayalla,ni Mtanzania, mwana jf na ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila kwa vile Chadema inagharimiwa kwa fedha zangu,paid by taxpayers money,hivyo the taxpayers have all the rights and powers kujadili jambo lolote la Chadema over...
Kwa kifupi sana G55 imekuja kuchallange uhuru na demokrasia ndani ya CHADEMA rasmi sasa tunaenda kuona mliyokua mkiyahubiri hadharani.
Je mtawachukulia kama waasi kwa kuwa tofauti na mawazo na msimamo wa chama??
Je uhuru wa mtu kuchagua na kuchaguliwa ndani ya chadema ukoje mpaka sasa??
Nguvu...
Friends and Our Enemies,
Kwa kinachoendelea hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kitu ambacho kilionelana tokea mwanzo kabisa kuwa kinakuja kutokea,nacho ni MPASUKO...
Hatuwezi kufurahia MPASUKO huo ndani ya CHADEMA,lakini ni SUALA lisilojificha TENA.
Bad Lucky or Good lucky hii ni nchi ya...
“Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa katika mkutano huo maalum, na kwa hiyo, tumeamua kukuandikia Waraka huu, kwasababu zifuatazo...
Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 kwaajili ya kuweka mambo sawa ambayo yanapotoshwa mitandaoni kuhusu muelekeo wa chama chao.
Wamesema lengo la kundi lao nikuweka umoja wao pamoja na kushauriana baadhi ya mambo kuhusu uchaguzi Mkuu na jinsi wanavyoweza kujiandaa na uchaguzi huo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election, akisisitiza kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote...
Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti zilizopo
Siamini ninachokiona ndani ya Chadema, Ifahamike, sina ufahamu wala uhakika juu ya niliyetaja...
Habari za Jumapili!
Kila chama kina watu ndumilakuwili,snitch, Wasaliti na Nyoka.
Kijasusi Tofauti kubwa ya Nyoka na Panya ipo kwenye kujificha na kujihami.
Nyoka anaweza kuingia katika Nyumba yako akakaa hata Miaka mitano Mpaka akawa chatu au Nyoka Mkubwa na wewe usijue kuwa ndani ya nyumba...
Salaam wakuu,
Imenibidi niingie uringoni kutoa mawazo yangu kuhusu harakati za uchaguzi mkuu ulioko mbele yetu.
Binafsi naamini hakuna jambo zuri lisilokuwa na upinzani. Binafsi naamini hoja ya NO REFORMS NO ELECTION imepitia vikao na ngazi zote za chama na kuangalia mazuri na mabaya yake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.