chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Saipulan Ramsey: CHADEMA yahitaji uchunguzi wa Afya ya Akili kwa Kauli yao No reform No Election

    Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Saipulan Ramsey azungumza kuhusiana na kauli ya chama chademokrasia na maendeleo chadema No reform No Election nakusema kile chama kinahitaji kipelekewe daktari wa kupima afya ya akili Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Tabora: Wananchi watofautiana juu ya msimamo wa CHADEMA kutishia kuzuia uchaguzi mkuu

    Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Tabora wametoa maoni mseto juu ya msimamo wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema wa kudai watazuia uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu endapo hakutakuwa na mabadiliko ya kisheria, kikatiba, mageuzi ya kikanuni pamoja...
  3. figganigga

    Peter Msigwa kurudi CHADEMA Machi 23, 2025?

    Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025. Kashajitenga na CCM. Je, Urafiki wake na Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ndo unamfanya alambe matapishi yake? Mwingine...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 Amani Golugwa: Wasira wewe siyo msemaji wetu, acha kutusemea kitu ambacho hukielewi

    Wakuu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa amesema watu wa CCM wamegeuka kuwa wasemaji wao, lakini wao msemaji wao ni mmoja tu, Brenda. Anasema ukiwasikiliza wasemaji wa CCM kama wasira, makalla wamekuwa kama wasemaji wao, wanawasaidia kufikisha ujumbe lakini, wakome maana...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Amani Golugwa: Kuhusu kushiriki zoezi la kujiandikisha uchaguzi iulizwe Tume, hawakujibu barua yetu

    Wakuu, CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa wamegusia kuhusu zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye daftari la mpiga kura ambapo wanasema waliletewa barua na Tume watoe maoni kwenye kanuni kadhaa ambazo walikuwa wamepelekewa na waliijibu tume kwa barua...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 CHADEMA kufanya mikutano kuanzia Machi 23, 2025. Kupokea wanachama wapya na wa zamani. Kina Mdee kurejea?

    Wakuu, CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa watoa ratiba ya mikutano ambayo wanatarajia kufanya kuanzia Machi 23, ambapo Machi 23: Pamoja na mambo mengine, kwenye mkutano huu ambao unatarajiwa kufanyika Mbeya Mjini, watawapokea wanachama wapya pamoja na kuwapokea...
  7. Mindyou

    PreGE2025 CHADEMA kama mchakato unaoendelea wa kujiandikisha mmeshindwa kuuzuia, mtawezaje kuzuia Uchaguzi unaosimamiwa na Polisi?

    Wakuu, Binafsi naamini kabisa mfumo wa Uchaguzi wa kwenye nchi hii unapaswa kubadilishwa lakini itumike akili na busara kufanya hivyo. Mara nyingi tumeona Tundu Lissu na CHADEMA wakisema kuwa bila mabadiliko sio kwamba CHADEMA watasusia Uchaguzi bali ni kwamba UCHAGUZI HAUTAFANYIKA. Sasa...
  8. I

    PreGE2025 Mbivu na Mbichi Kujulikana Baada ya Kikao Cha CHADEMA na Ofisi Ya Msajili wa Vyama Vya Siasa

    Mkutano kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Msajili wa Vyama vya Siasa unatarajiwa kuwa na matokeo muhimu katika mchakato wa kisiasa nchini Tanzania. Msajili wa Vyama vya Siasa ana majukumu ya kusajili na kufuta vyama vya siasa, kuratibu shughuli za Baraza la Vyama vya Siasa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA: Ataka Rais Samia kuungwa mkono Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025

    Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anapaswa kuungwa mkono pindi atakapochukua fomu ya kugomea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 baada kukubali kutoa bilioni 6.7 kwaajili ya...
  10. Mindyou

    PreGE2025 CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika alivyoongoza jopo la viongozi wa chama hicho kufika kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo, Jumanne Machi 18.2025 Soma Pia: CHADEMA yafikisha No Reform No Election kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Francis...
  11. Lord Denning

    Kwa haya yanayoendelea kwenye Uhandikishaji wa Wapiga kura ni vizuri Chadema kurekodi matukio yote na kuyarusha kwa Wananchi

    Kuna taarifa za Wanaojiandikisha kuambiwa kupeleka kadi zao kwa Wajumbe wa CCM. Huu ni uzandiki uliopitiliza. Kuna taarifa za watu wasio raia kujiandikisha kwenye daftari la Wapiga kura. Kuna taarifa za Watu wa CCM kuandikisha Watoto wadogo ambao hawajstimiza miaka 18 kama mkakati wao wa kuiba...
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Yaani mwanamke akatae kuolewa kisa Tone Tone? CHADEMA kama lengo lilikuwa Muongelewe na sio Michango mmefanikiwa!

    Wakuu, Nimeangalia tangazo la Tone Tone kwakweli nimebubujikwa machozi ya huzuni! Mmefikaje huku? Mlikuwa mnaenda vizuri lakini mnaanza kuharibu! Sawa mlitaka kuja na idea tofauti, iwe catchy ndio mkaona iwe kwenye mfumo wa mwanamke kutaka kuelolewa? Wanawake hawa hawa ambao kila leo...
  13. Crocodiletooth

    Chadema, ingelikusanya mabilion kwa mfumo wa kutoa kadi, kwa Wana chadema pia wangehakiki vizuri wanachama wao!

    KWANINI TONE TONE NA SI KUHUHISHA KADI? Chadema kama chama kingine chochote cha siasa njia kupata fedha ni kuuza na kuhuisha kadi za uanachama. njia ya kadi ina faida za kifedha, pia kupata wanachama watakaokipigania chama. Kadi za chadema zinaanzia 2500 hadi laki tano na kadi nyingi...
  14. Allen Kilewella

    PreGE2025 Kuihoji CHADEMA kuhusu No reforms No election ni Akili ndogo

    Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu. Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli? Soma Pia...
  15. Tlaatlaah

    Kwanini unahisi umetapeliwa pesa yako uliyoitafuta kwa tabu sana kwenye kampeni ya tone tone ya CHADEMA?

    Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone? ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo? au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya kificho ya fedha za chama kwa viongozi waandamizi wapya chadema taifa? Je, ni kwasababu umeona...
  16. Knock life

    Maulidi Kitenge , anatumika na CCM kufifisha harakati za upinzani , angalia anavyoripoti habari zinazohusu CCM na CHADEMA

    Hii Taarifa ya huyu diwani kuhama Ccm na kujiuzulu angalia anavyo andika. Ushauri endelea Ku-deal na michezo simba na yanga achana na siasa
  17. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA yafikisha No Reform No Election kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Francis Mutungi

    Habari kutoka CHADEMA zinaeleza kwamba Mkakati wa No Reform No Election utamfikia kila mlengwa kabla ya hatua ngumu zaidi huko mbele, lengo la kumfikishia kila Mhusika jambo hili ni kujiepusha na lawama iwapo yatatokea mambo manene huko mbele, hakuna yeyote atayesema hakuambiwa. Kupata matukio...
  18. Sauti ya Umma

    PreGE2025 SAU: CHADEMA, ACT Wazalendo wanatukwamisha na kutuchelewesha katika safari yetu ya kuingia ikulu

    Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma (SAU) ndugu MAJALIO KYARA, akiwa katika kipindi cha front page cha global tv amesema kuna vyama vinasababisha watanzania tuchelewe kufika katika nchi ya ahadi nchi ya maziwa na asali --- Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kupitia Katibu Mkuu wake, Majaliwa...
  19. B

    PreGE2025 Ndolezi Petro wa ACT Wazalendo asema kuwa kuwakataza wananchi wasijiandikishe ni kampeni ya hovyo ya CDM kuwahi kutokea

    Waziri kivuli wa ofisi ya waziri mkuu- bunge, Sera, vijana, kazi na ajira, Kutokea ACT Wazalendo, Ndolezi Petro kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa uamuzi uliotolewa na Mwenyekiti wa Chadema Ubungo wa kuwazuia wananchi kujiandikikisha kwenye daftari la uchaguzi kuwa ni kampeni ya hovyo ya...
  20. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kwasababu ya ukata wa fedha inaoupitia, CHADEMA haiaminiki tena kwa wanachama wake na imepotea kabisa kwenye medani ya siasa Tanzania

    Kwakua CHADEMA haiaminiki tena kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, na kwakua chadema ndiyo chama cha siasa Tanazania, kinacho ongoza kwa kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwajili ya viongozi wake waandamizi na matumizi mengine ya ofisi, Kwa kutumia mifano halisi, elezea faida na umuhimu...
Back
Top Bottom