Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Makamanda Mbeya wamechafukwa:
Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa hawafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa...
Habari!
Natoa wito kwa viongozi wa CHADEMA na wanaharakati wa haki za binadamu na wadau wengine kuanzisha michango kusaidia familia ya Mdude katika kipindi hiki ambacho hatima ya Mdude bado ni kitendawili.
Huyu Bwana alitoa maisha yake kupambania Taifa hili na watu wake na pia alikuwa ni...
Sijui huu uoga ni wa nini
Kwanini mtu tulomshinda kwa ushindi mkubwa hivi atupe hofu
CCM inakubalika kwa 99% hata mwenyekiti wa tume angekuwa Lema bado tungewashinda Sasa hofu yetu ninin Hadi kutumia nguvu nyingi KIASI hiki kudhibiti watu wasio na nguvu yeyete sio ya umma Wala...
Chadema imefanya kosa kubwa kujitoa ktk mazungumzo na ccm. Ccm ndio yenye dola.
Tujifunze hapa kwa waislam walipokuwa hawana nguvu walifunga mkataba na wasiokuwa na waislam baada ya mazungumzo marefu.
Mkataba
Mkataba wa Hudaybiyyah ulikuwa ni makubaliano ya amani yaliyofanyika kati ya Mtume...
Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.
Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.
Anakuambia si rahisi kupata...
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
My Take:Kumeanza kuchangamka
Taarifa za Mdude_Nyagali mwana JamiiForum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba Mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa kuchukuliwa kama mtoto inquisitive na sio mtoto poyoyo otherwise serikali yetu inayopendwa mno na wananchi...
Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile
Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa
"kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
Ukiangalia matukio yanayotokea dhidi ya viongozi na wafuasi wa chadema ni wazi kabisa kama wameishiwa mbinu na wanategemea Mungu atende miujuza
Ukisoma tweet za lema au heche unasikitika sana na unajiuliza hivi hawa ni viongozi kweli hivi unafikiri aman au mabadiliko yataletwa mezani serious...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani kwa nguvu zote tukio la kushambuliwa, kupigwa na kukamatwa kwa mwanaharakati wa haki za binadamu, demokrasia na mwanachama wetu, Mdude Nyagali, usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025, nyumbani kwake mkoani Mbeya.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Njombe, Seth Vegula, amesema kuwa kama viongozi wa chama, wameguswa sana na hali ya sasa ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa CHADEMA ni chama kilichosajiliwa kwa mujibu wa katiba na hivyo kina haki zote za kikatiba kufanya...
Jakaya Kikwete -Mlimuita mpole
John Pombe Magufuli -Mkasema dikteta
Samia Suluhu Hassan-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.
Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga kura hivyo unahitaji kuwa sensitive na proactive kulishawishi kundi hili.
Rais Samia na CCM yake...
Mwelekeo wa Polisi kuanza kupotosha umma kuhusu shambulizi la mwenyekiti wa CET Dr. Kitima umeanza kuonekana, wakianza kwa kusema alikuwa akipata kinywaji nk, wakidokeza ni mtu wa kunywa pombe kupita kiasi.
Sasa hili suala la kusema kuna mtu tayari wamemkamata, sintashangaa kama mtu huyo ni wa...
Jana nimepanda coaster inayotoka Airport kuelekea Buhongwa jijiji Mwanza, ambapo niliona ubunifu wa CDM kuwafikia watu wengi hasa katika hii Kampeni ya NRE.
Nilivyoingia nilikuta ukimya, huku sauti ya John Heche ikisikika vyema. Awali nilifikiri ni msafiri anacheza clip kutoka kwenye simu...
Siasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo, kiuchumi, kiuwezo, idadi ya wanachama. Lipo dunia nzima.
Ili Kanisa lijiendeshe duniani kiufasaha...
Wataalamu wa historia wanasema historia hutuambia kwa nini tupo hapa. Nimelazimika kutafakari na kurejea matukio mbali mbali yanayomhusu Mwenyekiti Mbowe kabla ya kupumzishwa na wanachama kwenye nafasi ya wenyekiti wake. Nimerejea matukio mbali mbali hususani baada ya mwenyekiti Mbowe kutoka...
Ali Omari Mwanachama wa Chadema kutoka Kigamboni, alikamatiwa nje ya geti la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupelekwa na kuachwa Temeke, karibu na stendi ya Sudan.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
TAARIFA KWA UMMA.
YAHUSU TAARIFA INAYOSAMBAZWA MTANDAONI KUWA MIMI JOHN EDWARD MREMA NIMEVULIWA UANACHAMA WA CHADEMA NA TAWI LA BONYOKWA.
Kutokana na taarifa hizo kuzua taharuki kubwa na kusababisha watu mbalimbali kupiga simu, napenda kutoa ufafanuzi ufuatao;
1. Mimi John Mrema ambaye ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.