chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrema: Kauli za Lissu na Lema zinaleta hofu ya kujieleza CHADEMA

    “Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa katika mkutano huo maalum, na kwa hiyo, tumeamua kukuandikia Waraka huu, kwasababu zifuatazo...
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Video: Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 'Stronger together'

    Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 kwaajili ya kuweka mambo sawa ambayo yanapotoshwa mitandaoni kuhusu muelekeo wa chama chao. Wamesema lengo la kundi lao nikuweka umoja wao pamoja na kushauriana baadhi ya mambo kuhusu uchaguzi Mkuu na jinsi wanavyoweza kujiandaa na uchaguzi huo.
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Tabora akana kuhusishwa na G-55 'sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election, akisisitiza kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote...
  4. M

    JamiiForums Tanzania G55. Ni kundi hatarishi kwa Chadema, Ni kundi la Mbowe? Kama ndivyo, Mbowe alikuwa pandikizi maalumu ndani ya Chadema?

    Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti zilizopo Siamini ninachokiona ndani ya Chadema, Ifahamike, sina ufahamu wala uhakika juu ya niliyetaja...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, G55 ndio Wale Nyoka ndani ya CHADEMA?

    Habari za Jumapili! Kila chama kina watu ndumilakuwili,snitch, Wasaliti na Nyoka. Kijasusi Tofauti kubwa ya Nyoka na Panya ipo kwenye kujificha na kujihami. Nyoka anaweza kuingia katika Nyumba yako akakaa hata Miaka mitano Mpaka akawa chatu au Nyoka Mkubwa na wewe usijue kuwa ndani ya nyumba...
  6. uchumi2018

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa CHADEMA msikubali kugawanyika kimsimamo juu ya uchaguzi mkuu 2025

    Salaam wakuu, Imenibidi niingie uringoni kutoa mawazo yangu kuhusu harakati za uchaguzi mkuu ulioko mbele yetu. Binafsi naamini hakuna jambo zuri lisilokuwa na upinzani. Binafsi naamini hoja ya NO REFORMS NO ELECTION imepitia vikao na ngazi zote za chama na kuangalia mazuri na mabaya yake na...
  7. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  8. mkuuwakaya

    JamiiForums Tanzania Ni nani mshauri wa Chadema kwa sasa, nimekumbuka sana enzi za kina Prof. Baregu?

    Mtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli. Ni kwamba uchaguzi utakuwepo Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea. Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Chadema: Makosa ya Kisayansi ,kufanya uchaguzi wa ndani,badala ya kujiandaa kwa uchaguzi mkuu, kinachosababisha Changamoto Kubwa kwa Chama

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ni muhimu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutazama kwa makini makosa yaliyofanywa ambayo yanaweza kupelekea chama kusambaratika au hata kufa kabisa. Hapa, nitajaribu kubainisha makosa hayo na kutoa mapendekezo ya marekebisho...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaojiita G55 wasiondolewe CHADEMA, bali waitwe waulizwe kwamba tunawezaje kushiriki Uchaguzi kwa Mfumo huu na Tukapata Haki

    Pamoja na kwamba bado sijaelewa hasa Malengo ya Watu hawa ambao wengi walikuwa viongozi wa Juu wa Chama, lakini sitaki kuwasingizia lolote, na ndio maana napendekeza Waitwe ili watupe siri ambayo kama tutaingia kwenye uchaguzi kwa hali hii tutatendewa haki. Wengi wa watu hawa kama siyo wote...
  11. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 wanatakiwa kufukuzwa na kufutwa uanachama CHADEMA haraka sana iwezekanavyo

    Bado naendelea kushauri uongozi wa CHADEMA uwafute uanachama hawa matapeli wa kisiasa wanaojiita G55. Kuendelea kuwasubirisha ni kuwapa airtime isiyoyalazima. Hawana msaada wowote kwa sasa zaidi ya kubomoa chama. Habari za kuponyana majeraha hazina tena maana ni vyema kwenda na wale...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Catherine Ruge: Nimeenguliwa kwa SMS bila kujulishwa makosa yangu ambapo ni kinyume na Katiba ya CHADEMA

    Catherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya kuelezwa makosa yake na sababu za kuenguliwa kwake ambapo pia ni kinyume na Katiba ya nchi ibara ya...
  13. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naona Giza nene CHADEMA wakisusia uchaguzi wa 2025

    Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hongereni CHADEMA, Kwa kuwafukuza wasaliti wote wa chama

    Niende moja kwa moja katika mada,napenda kuchukua fursa hii,Kwa kuwapongeza viongozi wandamiz wa CHADEMA,Kwa kuwafukuza wasaliti wote wa chama, Ni Bora wabaki wachache waliosafi kuliko kubaki wengi mbao sio wasafi, unapotaka kufanya mageuzi msisikilize,inzi,mende,vyura Wala sisimizi,tumia dawa...
  15. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Yanayomkuta Lissu ndio yaliyomsumbua sana Magufuli. Nadhani unaona jinsi mzigo ulivyo mzito

    Umuofia kwenu, ndugu, jamaa na mtanzania mwenzangu. Hakuna kitu kigumu kukubalika duniani kama Mabadiliko na mazoea. Hili mara nyingi linasababishwa na Woga wa kisichijulikana (fear of unknown and uncertainty). Kwasababu mwanadamu kaumbwa kuijua jana ambayo ni historia, leo ambayo ndio...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sababu za CHADEMA Kuwatengua Mwita na Catherine zafahamika: Wamesaini waraka wa kupinga ajenda ya ‘No Reform no Election’

    Mtaalam wa masuala ya utawala na uongozi, wa Chuo Kikuu cha Munich, Ujerumani, Profesa Dagobert Pinochet, anasema kuwa, tabia ya baadhi ya viongozi walioko kwenye ngazi za juu za utendaji kupinga kichini chini maamuzi halali wanayopaswa kuyasimamia, ni sumu kwa uhai wa taasisi. Pinocheti...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Msimbazi yamtaka Patrick Asenga ajieleze kwa kupinga Agenda ya 'No Reforms, No Election' mtandaoni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tawi la Msimbazi (maarufu Msimbazi Mama) kimemtaka mqanachama wa Chama hicho, Patrick John Asenga kuwasilisha barua ya kujieleza kufuatia taarifa mbalimbali ambazo Mwanachama huyo amezitoa kwenye mitandao ya kijamii akionesha kwenda kinyume na msimamo na...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

    Wanabodi, Hata kusipofanyika reforms, uchaguzi wa 2025 CHADEMA ina bonge la fursa!, ila masikini Chadema, they are just too blind to see!, hawajitambui! No election ni utopia!, acheni kucheza makida makida, na kuchezea shilingi chooni!, please wake up my friend!. Haya ninayoyaandika hapa...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Prof Jay, Umejenga jina lako kubwa ila unaenda kuharibu legacy yote kwa kukosa maono hasa ukijiunga na G55

    Watu ambao mpo karibu na Prof Jay jaribu kumuongoza Vyema huyu Kijana . Maana watu hasa wapinzani walijitoa Sana kwako. Unaposema utaingia katika uchaguzi bila reform je umetazama mbele na ustawi wa Taifa lako? Najua yawezekana nyie G55 mpo kimkakati na mmesha hakikishiwa usalama wa kesho...
  20. Tindo

    JamiiForums Tanzania G55 ni tawi la covid19, CDM halisi kuweni macho

    Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa Mbowe. Haya ndio magroup yaliyowaleta wanaccm wasaka madaraka ndani ya cdm in the likes of Lowassa...
Back
Top Bottom