certificate

  1. komunisti

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Muhimbili kwa muuguzi mwenye certificate ni kiasi gani?

    Hivi muuguzi mwenye certificate Muhimbili anaanza na mshahara kiasi gani?
  2. bjhjhj

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeomba clearence certificate polisi, mwezi wa nne sijapewa

    Nimeomba clearence certificate polisi ni takriban miezi minne mpaka sasa hivi sijapata.Hili jeshi letu itabidi lijitathmini aisee vitu vidogo kama hivi kweli vinachukua miezi kupatikana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je ngazi ya certificate chuoni kuna muda ina expire.?

    Habar wakuu! Naomba kuuliza je latesay ulimaliza certificate miaka mi5 au 6 iliyopita nasasa unataka kuendelea na diploma je inawezekana kuendelea kupitia hiyo certificate yako au nilazima uanze upya ngazi ya cheti?? Kuna mtu ameniambia chet chako kikizidi miaka mitatu huwez kuendelea nacho...
  4. Tanki

    JamiiForums Tanzania Kwa Dar es salaam. Ni wapi naweza kwenda kusoma kozi ya Store keeping japo Nipatie Certificate tu.

    Nitashukuru zaidi kama utaniambia na Bei ya hiyo kozi na muda wake hadi kozi kuisha. Natanguliza shukrani
  5. S

    JamiiForums Tanzania rita death certificate attachment

    Habari za muda huu wakuu, Ninaomba msaada juu ya jinsi ya kuandika: Muhtasari wa kikao cha familia ulioshirikisha wanandugu wasiopungua saba pamoja na nakala za vitambulisho vyao. Kiapo cha mahakama. Muhtasari wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Kata ikithibitisha kutokea kwa kifo. Naombeni...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Iwepo sheria kuwalazimisha wafanyabiashara wote wenye turnover ya zaidi ya Tsh 400m kwa mwaka wawe na wahasibu angalau ngazi ya certificate.

    Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hivi NBAA huwa wanatoa cheti Cha atec 1?

    Habari Wana jukwaa naomba kuuliza hivi NBAA huwa wanatoa cheti Cha atec 1 Kwa maana Kuna nafasi za kazi zimetoka za msaidizi wa hesabu daraja la pili za MDA and LGA wanahitaji mtu mwenye atec 1 ya NBAA
  8. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Anataka kusoma certificate ya tourism lakini ana D nne

    Wakuu kwema! Jamani nina mdogo wangu anataka kusoma ngazi ya cheti, sasa naomba mwenye kujua kwa mkoa wa arusha chuo gani pale anaweza akapata nafasi kulingana na ufaulu wake kama nilivyosema hapo juu. Naomba msaada wakuu kama kuna mdau anajua chochote basi anisaidie hapo mawazo. Nawasilisha.
  9. Johalem

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Architecture kwa ngazi ya Diploma au Certificate

    Habari wana JF. Naomba kujua vyuo vinavyofundisha kozi ya usanifu wa majengo (Architecture) kwa ngazi ya Diploma au Certificate. Natanguliza shukrani.
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wanu Hafidh Ameir apokea Certificate of Recognition ya kuhamasisha Utunzaji Bora wa Mazingira

    Wanu Hafidh Ameir, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) Amepokea Cheti Maalum cha kutambua mchango wake wa kuhamasisha Utunzaji wa Mazingira katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 2024. Wanu Hafidh Ameir amepokea Cheti hicho...
  11. Extrovert24

    JamiiForums Tanzania Courses za ngazi ya cheti (certificate)

    Wakuu habarini za muda huu, poleni na majukumu na ni matumaini yangu kuwa mko vizuri kabisa. Niende Moja kwa moja kwenye jambo langu, Naomba kuuliza ni course Gani ya certificate ambayo kijana akiisoma kiasi Fulani haitamchukua muda sana kupata kazi? Kijana amesoma Art subjects but alisoma pia...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wa kuanza Certificate kama unataka kusoma Diploma?

    Wakuu habari za majukumu. Naomba kuuliza kama Kuna ulazima wa kuanza na certificate kwa mtu mwenye matokeo ya o level Physics-C, Chemistry B na biology-B na anataka kusoma diploma in clinical medicine
  13. K

    JamiiForums Tanzania Chuo gani cha Cha community Development kinatoa certificate online?

    Habarini za mchana wadau wa JF, Jamahaani naomba kujuzwa Kama Kuna chuo chochote cha maendeleo ya jamii kinachotoa certificate online? Mimi nimemaliza chuo cha maendeleo ya jamii mwaka 2013,lakini mpaka Sasa sijawahi kupata ajira yoyote,kwa hyo nimeona Bora nikasome certificate maana Mimi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Vyuo Vikuu Kufundisha CERTIFICATE na DIPLOMA kwa Wanafunzi

    Habari ndugu wana JF, Leo nimependa kuzungumza nanyi mada kuhusu vyuo vikuu kufundisha ASTASHADA na STASHAHADA. ni ukweli usiopingika sera ya elimu inabidi kufanyiwa marekebisho kwasababu vyuo vikuu siku hizi zinachukua watoto wanaomaliza kidato cha nne (4) wengi wao chini ya miaka ya 18...
  15. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania UALIMU: Muongozo kwa vyuo vinavyotoa kozi ya Ualimu (Arts) kwa ngazi ya Certificate na Diploma

    Salaam Wakuu, Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE au Mwalimu Nyerere (MNMA). Msaada: Ni utaratibu gani hutumika kufanya maombi ngazi...
  16. Mgaratia Wa bongo

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya anaweza kusoma Certificate in Nursing au kuchaguliwa advance?

    CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
  17. Inyasi Priscusi

    JamiiForums Tanzania Chuo kinachotoa certificate in Biomedical engineering

    Kama kichwa cha mada kinavyoeleza,naombeni wanajukwaa mnifahamishe chuo gani kinatoa certificate ya hiyo course na fee structure imekaa je?. Asanteni
  18. U

    JamiiForums Tanzania Certification of birth certificate

    Habari WanaJamvi,, hivi hizi affidavit of birth zinatakiwa kuwa certified.
  19. Ester505

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Utaratibu wa kupata Police Clearance Certificate (Criminal Record Check Certificate)

    Habari, Naomba kujua jinsi ya kupata police clearance certificate. Na je, inatuchukua siku ngapi au naweza kupata online? Msaada tafadhali.
  20. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kati ya hizi

    Wapendwa, Ukiwa 2mil unaweza anzisha biashara ya uwakala/miamala ya cm Na je inalipa ?? Nahitaji kufahamu faida na changamoto zake
Back
Top Bottom