Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
UCHAGUZI wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mpinduzi (CCM) jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro umemalizika huku ukiacha makovu mengi kwa wakazi wa maeneo hayo na vitongoji vyake.
Uchaguzi huo uliokuwa na jumla ya wagombea sita (6) umeacha majeraha ya kutisha kutokana na mmoja wa wagombe hao...
Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa!
Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni
Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
Tayari tumefika kubaya na hakuelezeki kabisa
Haya yote yanajiri ni kwa sababu tu, CCM mmekosa huruma, mmekosa utu, mnazurumu, mnateka na kuuwa watu peupe pe na bila aibu
Wananchi wataanzia wapi kuwaona kuwa nyinyi ni binadamu wenzao
Kifo???
Wananchi wanaandamana kufanya sherehe? Kufurahia...
Mshindi wa kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Mjini, Shabani Kirumbe Ng’enda, ambaye anasubiri kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM, ili kugombea ubunge katika jimbo hilo baada ya kuwashinda wenzake sita akiwemo Baba Levo, amezikataa kura feki zilizokamatwa wakati wa mchakato wa kura za maoni ndani...
Kulingana Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa;
"Vyama vinavyopata ruzuku ni vile vilivyopata angalau asilimia tano ya kura zote halali zilizopigwa katika Uchaguzi Mkuu na vyama vyenye Wabunge au Madiwani. Kigezo kinachotumika ili chama kiweze kupata ruzuku ni kuangalia matokeo ya uchaguzi kuona...
Wana-CCM wote wanaaomuombea Mabaya Lissu, inapofika siku ya kifo wanakuwa wapole kama wananyolewa. Wanajuta sana..
Pamoja na Ukwasi wao na kutunga Sheria zinazowalinda wanapofanya ufisadi lakini saa ya kifo ikifika wanajuta.
Dakika ya kifo wanasema, "Roho yangu imezimika, siku zangu...
Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni CCM na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu CCM na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.
Kama Mpina ni jasiri na ana nia ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi...
Mwl Nyerere aliwahi kusema dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuiacha.
Pia Mwalimu alisema kinachowafanya Watanganyika kusema sisi Watanganyika ni uwepo wa Wazanzabar, na kinachowafanya Wazanzibar kusema sisi Wazanzibar ni uwepo wa Watanganyika.
Aidha Mwalimu alisisitiza...
Kwa kuanzia Mh Polepole amehoji, Ilikuaje Wassira akajinasibu mbele ya Vyombo vya habari kua Alikua yeye ndio atakua Makamo Mwenyekiti??.
Sasa mnaweza kuunganisha Doti Doti !!!.
Nikiri katika mwaka huu wa kiuchaguzi wajumbe wa CCM wenye mamlaka ya kuchuja na kupendekeza majina ya wagombea ambao hatimaye ndio huchaguliwa kuwa wawakilishi wetu wamefanya kazi kubwa sana na ya kizalendo mno.
Nawashukuru!
Wakuu,
Baada ya kuambiwa kuwa hana uhalali wa kuzungumzia masuala ya CCM maana hana muda mrefu katika chama hicho, Pole pole leo amejotokeza kuhoji kuwa walitaka akae muda gani katika chama hicho ili ndio aweze kukosoa
Polepole anasema kuwa kuna wanataka wambague kwa sababu ya hoja ya kutokaa...
Katibu wa Wilaya ya Ilala CCM akimpigania Mgombea wake dhidi ya Mgombea wa anayekubalika na wengi, ambaye ameonekana kuwa mwiba kwa Mgombea wa Katibu huyo.
Najua wale chawa wa Jf,UVCCM,wasanii,CCM mafisadi na wengine tutapokea kila aina ya kumsifu Marehemu Ndungai usije shangaa mpaka Samia na genge lake la CCM wakasema alikuwa magufuri mwengine.
Naomba kukishauri Chama changu cha CCM kuwa tuheshimu maoni ya Wajumbe wa CCM waliowapigia watia nia kura.
Kama kweli mtia nia ameibuka kidedea na vigezo anavyo basi huyo ndiye ateuliwe kupeperusha bendera ya CCM. Tusiwe na upendeleo kuwapendelea watoto wa wakubwa hata kama ameshika nambari 2...
1. CCM imeshajua kuwa watanzania wana njaa, tena njaa kali.
2. CCM anapigilia msumari hapo hapo, anawa starve zaidi kwa mbinu ya vitisho, kukosa ajira kwa wasomi etc etc .
3. Then anawarushia vipande vya mkate, such as .ajira kidogo, baiskeli, pikipiki, visenti kwa timu za mpira etc...
Nimegundua kitu kimoja muhimu. Mikoa yote ambayo CCM imetamalaki majimbo yote kwa 100%, sio kipaumbele cha serikali kwenye kupeleka na kumaliza miradi ya maendeleo kulinganisha na mikoa ambayo wapinzani wameshika baadhi ya majimbo ya mikoa hiyo. Mifano ni mingi sana.
Kwanini imekuwa hivyo?
Naam habari ndio hio, anasema leo tukae mkao wa kula, anakuja tena na leo ana watu kadhaa wa kuwajibu.....
Hii ngoma imenoga, wacha tuone.
https://www.youtube.com/live/3RjbB6EGgsk?si=NLp9VuqDweX6RTuq
https://vm.tiktok.com/ZMSEv6VN6/
Ikiwa kama mustakhabali wa VITI MAALUMU Ndani ya Chama Utaamuliwa Kwa Rushwa tena
Rushwa ya Wazi Wazi basi hadhi ya Uwakilishi wa kundi Hili maalumu hauna faida yeyote Ile kwetu sisi Wanawake.
Hii ni Moja ya ripoti yenye Ukakasi na inayo vunja moyo Kwa Ustawi wa Wanawake Ndani ya Jamii zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.