ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM inaangamia kutokana na viburi vya watawala

    CCM hii sijui viongozi wake wana upeo wa aina gani! 1.Mtu kama Harbinder Seth unamuwalikaje achangie kampeni ukijua record yake ni chafu? Akili gani ilitumika hapa? 2. Unawezaje kukubali kuchangiwa na club ya soka ambayo sio tu ina mashabiki wasio wana CCM, bali unahatarijsha club yenyewe kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga hawajachangia CCM pesa yoyote!

    Mimi ni SIMBA damu najuikana hivyo.. Na kama mtani wa jadi wa Yanga! Inapopata madhila nafurahi.. Ila kwa hili la kuchangia million mia moja nawatetea hawajafanya hivyo Vilabu vyetu hivi vya soka vingi vinaongozwa na wafadhili na wadhamini, hawana vyanzo vya uhakika vya kuwaingizia mapato...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Licha ya kuongoza kura za maoni za udiwani CCM mchambuzi wa soka Zuberi lakini jina lake lakatwa

    Sakata la Zubeir Mkalaboko ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya soka lilianza mapema akiwa siyo sehemu ya majina yaliyoteuliwa kugombea licha ya kuwa ndiyo Diwani aliyekuwa anayemaliza muda wake Madarakani. Hata hivyo, busara za marekebisho ya Katiba na maagizo ya Kamati kuu CCM Taifa kutaka...
  4. JamiiForums Tanzania Turky Group of Companies (Vigor) Yachangia Tsh. Milioni 600 Harambee CCM Gala Dinner 2025

    TURKY GROUP YACHANGIA TSH. MILIONI 600 HARAMBEE CCM GALA DINNER 2025 Turky Group of Companies (VIGOR) imechangia jumla ya Shilingi Milioni 600 katika Usiku wa harambee ya CCM Gala Dinner 2025 iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti CCM Tabora atishia kuwafukuza wati nia ubunge, wanaopinga maamuzi ya vikao halali kupendekeza majina

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora, Said Nkumba, ametumia kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo kutoa onyo kali na kutishia kuwafukuza uanachama wati nia ubunge, wanadaiwa kuwatuma wapambe wao kupinga maamuzi ya vikao halali vya kupendekeza majina. Kupata matukio na...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Bundi ameweka kiota CCM: Mpasuko, Visasi, Tamaa ya Madaraka na Ufisadi vinaimong'onyoa

    Rasmi, Haya matukio yanayojiri ndani cha CCM ni kiashirio dhahiri kuwa jambo kubwa linaenda kutokea kwa manufaa ya Nchi. Jakaya aliwahi kusema kuwa makundi ndani ya CCM ni afya. Lakini ukweli unadhihiri kuwa makundi yaliyopo ndani ya CCM yameendelea kuwa kitanzi dhidi ya lichama hilo. Kwa mfano...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Zaidi ya wanachama 3000 wa CCM Kilimanjaro wajitokeza kumdhamini Rais Samia

    Zaidi ya Wanachama 3000 wa chama cha Mapinduzi CCM mkoani Kilimanjaro wamejitokeza leo agosti 13 2025 kumdhamini mgombea Urais wa chama Dkt.Samia Suluhu Hasan ambae pia ni Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tukio hilo limefanyika katika ofisi za mkoa CCM Kilimanjaro...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yapitisha Wagombea 208 wa Udiwani Dodoma kwa Uchaguzi Mkuu 2025

    Jumla ya wagombea 208 kati ya 209 wa nafasi ya udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma waliopata ushindi kwenye kura za maoni, wamepitishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya mkoa kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao. Hata hivyo, mgombea mmoja wa Kata ya Ihumwa jijini...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga ina mashabiki Waislamu, Wakristo, wapagani, wanachama wa CCM, CHADEMA, CUF, wasionachama n.k

    Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti Mfano Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani Kuna mashabiki wa Yanga ni wachawi Kuna mashabiki wa dini ya ki-hindu Kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Nashauri Tume ya Uchaguzi isiyo huru itangaze CCM washindi kuepuka kupoteza fedha na muda

    Kwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura. Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo Huru ya Uchaguzi (Indifferent National Electoral Commission-- INEC) itangaze CCM washindi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wasingeangalia kiasi cha fedha kilicholengwa kukusanywa badala yake wangeangalia fedha hizo zinatoka kwenye mikono gani!

    CCM wamefanikisha harambee yao kwa ajili ya Kampeni. Wamepanga kukusanya bilioni 100, wamekusanya bilioni 86 na ushee, ni mafanikio makubwa. Mtindo huu wa kufanya harambee kwa Vyama vya Siasa kwa ajili ya kugharamia Uchaguzi Mkuu si mgeni wala haujaanzishwa na CCM upo na unatumika kote duniani...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM nakaribia kutokuhitaji kura za Watanzania ili ibakie madarakani

    CCM imejiupgrade ubabe CCM imetoka kutoka chama cha WAKULIMA na wafanya kazi hadi kuwa kikundi cha mabillionaire . Kama budget ya chama cha siasa inaweza kuchangiwa na watu ambao uadilifu wao unatiliwa shaka unadhani nini kitarajiwacho hapo? CCM ya Babu yangu Bye-bye Kwa muundo wa siasa za...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni aibu kwa CCM kufanya maagizo ya kukusanya bilioni 86 ndani ya usiku mmoja ili kuuhadaa ulimwengu kuwa wanakubalika na wananchi

    Ndugu zangu watanzania, Ni kweli watanzania wote kwa pamoja, tumeona sinema iliyokuwa ikiigizwa Jana na kweli mwandaaji wa sinema alipatia namna ya kuandaa sinema yake na kuwa andaa vyema waigizaji wake na ukweli sinema ilikuwa ni ya kuvutia Uhuni na maigizo yaliyo kithili mithiri ya sungura...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwa ile michango ya CCM jana, Nimegundua inawezekana kuwa na Harambee CCM kulipa deni la Taifa (Deni la Taifa Gala Dinner)

    Wakuu wa JF, Hawa ndugu zake Lucas Mwashambwa walipe tu deni la Taifa wenyewe Kwa namna ambavyo jana mawaziri, wafanyabishara na makundi mbalimbali ya CCM walivyokua wanataja kiasi cha fedha kwa ajili ya Michango ya kampeni za uchaguzi, nimewaza kuhusu Uongozi wa CCM ulivyochangia kuongezeka...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna watu walikuwa na fedha sasa wamepata pa kuzitupa hawakatwi Tena CCM ijayo ni Yao hawatagusika kamwe

    SI dhambi CCM kufanya harambee ya kuchangia kampeni zake, Lakini Kwa chama kama ccm chenye kupata matirioni ya ruzuku tulitakiwa kupewa taarifa wanapoomba bilioni 100b basi wao kama wao wanachangia Kiasi Gani kutoka kwenye mfuko wa ruzuku. Nakumbuka CHADEMA walichangisha tone tone baada ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania CCM walipe kodi kwa hiyo harambee yao

    Walipe Kodi kwanza 86 b bila Kodi ni wizi
  17. JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya CCM itaweza kumuwajibisha GSM endapo akikosea kwa mchango aliowapa kipindi hiki cha uchaguzi?

    Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue...
  18. JamiiForums Tanzania Kuwananga / Kuwasema vibaya Yanga SC kwakuwa tu wamechangia CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu na Unafiki uliovuka mipaka

    Leo Yanga SC wameichangia CCM ambayo ndiyo inatengeneza Serikali Wapumbavu, Washamba na Wanafiki wote mmekasirika mbona hiyo hiyo Serikali inayoundwa na CCM ikiipa Yanga SC msaada wa Ndege kwenda Kucheza Mechi zake za Kimataifa huwa hamchukii tena huwa mnafurahi na kukenua hovyo na kila Kona...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga hatarini kuadhibiwa na FIFA kwa kuichangia CCM Tsh. 100 Milioni

    Wakuu! Kabla hili la Yanga SC halijapoa, tuzungumze kidogo kuhusu kilichotokea. Labda wengi hawakutarajia kwamba klabu maarufu ya Yanga (Wananchi) ingejikuta katikati ya mjadala mkubwa wa Kitaifa hivi karibuni. Yanga imejikuta ikijadiliwa sana na kukosolewa vikali baada ya kuchangia kiasi cha...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Gala ya CCM imegalagala kwa mafanikio. Tone tone ya “wahaini” iachwe ili itoneshe fikra za mshikamano wa akina “PANGU PAKAVU”

    Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook. HII SIYO GALA NI KUGALAGALA Nawapongeza CCM kwa dinner gala ya kuchangisha fedha za kampeini. Hatujaambiwa zimepatikana ngapi mpaka sasa, lakini matokeo ya awali yanaonyesha ushindi. Tuombe mtangazaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…