Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu?
My friends, ladies and gentleman,
Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
Hadi sasa CCM imefanya vitendo vya kushangaza wananchi wake khasa wale ambao hufuatilia siasa za nchi hii, lakini kwa wale ambao hata kama walikuwa na shauku ya kutaka kushiriki michakato ya kisiasa nchini kwa sasa watakuwa wamekatishwa tamaa ya yote yanoendelea kutendwa na CCM.
Israel pamoja...
Katika wagombea 163 waliotia nia kugombea udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Moshi ni 21 pekee wamepitishwa kuendelea na mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, sawa na asilimia 12.9 ya waliokuwa wakiwania nafasi hizo.
Aidha, nafasi za viti maalumu zimechukuliwa na...
Diwani mstaafu Petro lobora wa kata ya Themi mkoani Arusha kupitia chama cha Mapinduzi CCM amefunguka baada ya kuhamia CHAUMMA na kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo hiyo ya udiwani katika kata yake hiyo ya Themi.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekana kuhusika na matumizi ya namba feki za magari zenye alama SSH 2530. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, alisema chama hicho hakina mamlaka ya kutengeneza vibao vya namba za magari...
Mwanasiasa mwandamizi aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalumu CCM mkoa wa Simiyu, Mkuu wa Wilaya ya Meatu na pia Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Serengeti, Rosemary Kirigini amejiunga na chama cha ACT Wazalendo.
Kirigini amejiunga na Chama hicho na kutangazwa mbele...
Katika kikao cha hivi karibuni cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro, katibu wa mkoa, Mercy, alikabiliwa na hali ya kushangaza na kusikitisha.
Kikao hicho kilikuwa na jukumu la kukutana na kupitisha majina ya wagombea wa udiwani wa kata na viti maalum kwa kata mbalimbali za mkoa huo...
Aliyekuwa diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Themi,Petro Lobora, ametangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Agosti 16.
Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mgombea Urais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Othman Masoud Othman amesema chama hicho kimedhamiria kuiondoa CCM madarakani ili kuwakomboa watanzania na kadhia ya umaskini.
Akizungumza na wananchi wa Mwandoya Jimbo la Kisesa Mkoani...
Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema amekihama chama cha Mapinduzi (CCM ) kwa sababu kimepoteza msingi wake, muelekeo na kuwa chama cha uonevu na dhuluma kwa wananchi usiku na mchana.
Soma Pia: Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM
Luhaga Mpina Amezungumza...
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu haya wameyafanya zanzibar miaka yote lakini tuliamua kupambana nayo na tukawashinda tangu 1995. Lakini sasa tuseme iwe mwisho
Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM.
Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini?
Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo uwanja mashabiki anao wa kujaza kwa mkapa na uhuru kwa mpigo
Apereke kondoo wake wakaiombee timu ya...
Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini.
Baada ya kuona huungwi mkono na Makanisa kwa kujifanya una Akili (wakati huna) ukatafuta Kanisa lililo na Ushawishi na Kubwa la...
Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC.
Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli yako uliyosema kuwa hapa duniani tuogope sana Vitu viwili Mungu na Teknolojia inaishi na itaishi...
Salaam!
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,
Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa...
Salaam!
Nimesikia speech ya Leo ya Askofu Gwajima, nimeona
1. Uongozi,
2. Maono.
3. UWEZO WA kuunganisha makundi yote na uongozi thabiti.
4.Weledi wa Hali ya juu.
5. Uthubutu.
6. Uzalendo na upendo wa Hali ya juu kwa nchi.
Na kwa kuwa ameshauri reforms zifanyike ndani ya chama na...
Salaam!
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Swali Hilo hapo juu limeambatana na swali lingine kuwa, ikiwa unazo njia zingine za kushinda uchaguzi bila hayo makundi,( wizi wa kura),
Je utatawala vipi nchi ambayo imegawanyika?
Kwa ufupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.