ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katika sifa na tabia hizi alizowekewa Samia, kiuhalisia ana zipi kati ya hizi ukitoa na mfano?

    Wakuu, CCM wametoa bandiko kuonesha sifa za mgombea wao Samia, na kwanini Watanzania wamchague. Kwamba Samia ni: 1. MNYENYEKEVU 2. MPENDA HAKI 3. MCHAPA KAZI 4. MZALENDO NAMBA MOJA 5. ANAPENDWA NA WENGI 6. MWENYE UTU 7. MTETEZI WA WANYONGE :KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: Kiuhalisia ni sifa...
  2. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole pamoja na kutekwa ninaamini watekaji hawatomfanya kitu. Ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama na CCM (ukitoa Polisi) ana kishindo kikubwa

    Vyombo vya habari tangu jana vimeripoti aliyekuwa balozi nchini CUBA hampfrey polepole kutekwa na kupelekwa. kusipojulikana na shuhuda mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina la augustino polepole alimtaja waziwazi mhusika mkuu wa utekaji kuwa ni mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la MAFWELE hata hivo...
  3. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM wanapata wapi nguvu za kuendelea na kampeni wakati kuna mtanzania hajulikani alipo?

    Nakishangaa sana chama cha mapinduzi CCM kinapataje nguvu yakuendelea na kampeni na wakati hatujui na wala wahajasema yuko wapi Polepole ina maana kampeni ni muhimu kuliko uhai wa Polepole? au ni dharau tu kwamba hakuna kitu watanzania tunaweza kufanya? Hapo utaona kuna wasanii wataanza kuimba...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kasesela: Ukichukua maoni ya mtandao ukageuza ndiyo maoni ya taifa unajisumbua

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Richard Kasesela ametoa wito kwa watu kutotafsiri maoni ya mtandaoni kama ndiyo maoni ya taifa zima. Haya ameyasema baada ya kuulizwa juu ya uwepo wa maoni hasi(negative comments) kwenye baadhi ya machapisho yanayohusu vifo vya makada wa CCM. "ukichukua...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hata kama Hali itatulia CCM hawatakuja tena na uwezo wa kuwafokea Watanzania

    Kwa haya yanayoendelea hasa huko jeshini, CCM imepoteza kujiamini kwake Kwa asilimia kubwa sana. Hawawezi tena kuwakoromea wananchi kibabe. Maana jeshi limeshaonyesha halipo na CCM ila lipo na wananchi. Hii itafanya CCM iwe mpole na asiye jiamini tena.
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jeshini kwa moto: Wakataa kutumika kisiasa na wanahoji kwanini Magari ya Jeshi yanapigwa Chata za CCM pale Keko?

    Tanzania Hii wasio na vyeo ndo wanaweza ikomboa, achana na hawa ambao wana vyeo na wana access ya ikulu hao wanaona wana cha kupoteza, Ila vijana zaidi ya 320 ndani ya jeshi na wenye ushawishi wanahoji kwanini UVCCM na CCM imeingilia shughuli za jeshi na kuanza kupeleka magari ya jeshi keko...
  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tamaa za muda mfupi zinaondoa utu kwa wasanii wengi na machawa wa CCM na yule mama yao

    Kipindi hiki cha uchaguzi pesa zinamwagwa si mchezo ili kuhakikisha mama yule anapita kwenye uchaguzi mkuu japo hakuna anayeshindana naye. Utu umewatoka wasanii na machawa wa ccm kujifanya hawaoni yanayoendelea nchini, damu za watu zinavyozidi kumwagika wao ndio kwaaaanza wanashangilia na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ni kauli ngapi za Wana CCM au uvccm zinazo ongelea au kuhamasisha uvunjifu wa Sheria na hatua hazichukuliwi

    Ningependa kuwa uliza Polisiccm na Waendesha mashtaka, kuna kauli ngapi za Wana CCM na uvccm ambazo zinaingelea uvunjifu wa Amani na Sheria lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi yao
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Wananchi Mnaweza kuiondoa CCM Madarakani

    CCM inang'ang'ania madarakani, haitaki kutoka jumlajumla, nyinyi wananchi mnaweza kuiondoa CCM rejareja kwa kuanza na wabunge. Geuzeni uchaguzi huu kuwa ni kura ya maoni, kura ya kutokuwa na imani na CCM kwa kuwachagua wabunge wa ACT Wazalendo, na kule kwenye udiwani madiwani wa ACT Wazalendo"...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CCM Gairo, Ahmed Shabiby afanya kampeni zake kwa helikopta

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CCM: Tutahakikisha Kawe inapiga kihatua kimaendeleo

    Ile standi ya daladala naona mmekuja kumwaga michanga miaka mitano ijayo muache kumwanga miachanga muweke stendi ya kueleweka maana mnapokea kodi za wananchi. ===================== Mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey Timoth, ameahidi kuimarisha maendeleo...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Samia alimweka pembeni Nchimbi akatishwa na CCM mtandao, ''Ukimtoa huyu na wewe unaondoka''

    Polepole Septemba 30, 2025 aliendelea kusisitiza kuwa uteuzi wa Dkt. Nchimbi kama mgombea mwenza wa Rais Samia, ulikumbwa na kashikashi ambazo zilipelekea kutaka kumtoa. Lakini wale anaowaita CCM mtandao walimtisha mama Samia kuwa hatakiwi kumtoa Emmanueli Nchimbi. Polepole anasisitiza kuwa...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI John Heche amesema CCM ya Rais Samia ndiyo yenye unafuu zaidi

  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM tokeni hadharani Mlaani kauli ya Kapteni Tesha

    Chama changu CCM kimenisikitiisha sana. Kwanini wameshindwa kutoka hadharani kulaani kauli za uchochezi za kuvunja amani ya Nchi za Kapteni Tesha? Yaani hata Murilo Kaufyata!? Ni huzuni Huyu afande anasema yoyote ajitokeze alite fyefyefye au fyofyofyo.. Anasema wapo kwaajili ya kulinda Nchi
  15. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Nadhani huu ndo uchaguzi Mgumu sana kwa ccm kuwahi kutokea.

    Naona Ccm Kama watatoboa safari hii kurudi ikulu, basi sioni Kama ccm itatoka madarakani kirahisi tena.
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge (CCM) Kigoma Kusini, Nuru Kashakari aahidi kujenga kituo cha Afya kwa fedha zake mwenyewe ndani ya miezi 6 akipewa ridhaa

    Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Kusini, Nuru Kashakari (Kandahari), ameahidi kujenga kituo cha afya ndani ya miezi sita baada ya kuapishwa, akitumia fedha zake binafsi, ili kusogeza huduma za afya karibu na wananchi ambao kwa sasa wanalazimika kusafiri zaidi ya saa...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM ajichanganya! Atoa salamu ya "people's power” badala ya “CCM hoyeeee”

    Kada wa CCM Iringa ambaye hapo nyuma alikuwa ni kiongozi wa juu wa chadema ngazi ya mkoa na kanda ajikuta akiishiwa pawa na kuipiga salamu ya “Peopleeeees power” badala ya ile ya “CCM hoyeeee”
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamati Kuu CCM kukutana usiku huu. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta

    Baada ya TAMKO la Capt. C. J. Tesha kuwa amemuandikia CDF Jeshi lichukue nchi kabla mambo kuharibika. Tumeona pia Kaimu msemaji wa JWTZ akiongea kwa CODEX kuhusu tamko hilo. Zipo taarifa kutoka ndani ya mzunguko, CCM Taifa imeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu usiku huu tarehe 04 Oktoba...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo Serikali ya nchi fulani sasa inataka kuamua ni nchi gani iantaka kuishi nayo ya kuendelea. Naona wanaomba China na Urusi

    CODE DMZ: Kuna chama sasa kinaona kinaelekea kuwa msituni kuangalia upepo wao kuishi madarakani mpaka mayai yao na hiki chama? Kinachoelekea ni hatari sana.Siwezi kuwa muwazi kuna meri zitakuja na zengine zipo wakizani wanalindwa.
Back
Top Bottom