ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  2. JamiiForums Tanzania Kuna jambo Serikali ya nchi fulani sasa inataka kuamua ni nchi gani iantaka kuishi nayo ya kuendelea. Naona wanaomba China na Urusi

    CODE DMZ: Kuna chama sasa kinaona kinaelekea kuwa msituni kuangalia upepo wao kuishi madarakani mpaka mayai yao na hiki chama? Kinachoelekea ni hatari sana.Siwezi kuwa muwazi kuna meri zitakuja na zengine zipo wakizani wanalindwa.
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHAUMMA, ACT na CCM mtandao na polisi muda wowote kuitisha press , kujaribu kumponda captain Tesha !!

    Tunaendelea kuwaonya ,Wote wanaotumika kuwakamdamiza Wananchi. Nyinyi mnaojifanya Wasaniii, kuita vyombo vya habari, kujaribu kuwasonga songa watu wanaosimamia Kweli. Jishikilieni Jishikilieni !!.
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: CCM inalenga kuboresha maisha ya watanzania

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali atakayoiunda endapo atachaguliwa itaendelea kwa kasi zaidi katika kutekeleza mpango wa kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii, kama ambavyo Ilani ya CCM...
  5. JamiiForums Tanzania Dalili za awali wa anguko la CCM

    Sasa sio siri tena, watanzania tumechoshwa na uonguzi uliokebehi uonevu, ufisadi na an oppressive one. Mungu isaidie tanzania. Mungu tuongoze. Revolution is a process, itachukua muda ila ikianza hakutokuwa na solution hadi tutapofikia matakwa yetu ya uongozi thabiti. Kwa haya yanayoendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Maswali kwa CCM kuhusu utekaji, uuaji na machafu katika taifa letu

    1. Utekaji na Uuaji Kwa nini viongozi wa upinzani, wanaharakati na waandishi wa habari wanapotezwa au kutekwa, halafu serikali yenu inakaa kimya bila majibu ya wazi? Mnaogopa nini hadi kufikia hatua ya kuua na kuteka watu wanaohoji mfumo wenu? 2. Utawala wa Sheria Kama kweli mnajivunia...
  7. JamiiForums Tanzania POTOSHI Olengurumwa: Katiba mpya inakwamishwa na CCM mtandao wanaonufaika na mfumo

    Wakuu Je, Olengurumwa aliyasema maneno haya au amemezeshwa? kwamba Katiba mpya inakwamishea na CCM mtandao wanaonufaika na mfumo.
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Hali inazidi kuwa mbaya kwa yule mama yule mgombea wa kiti cha Urais chama kile cha hadaa

    Kuelekea tarehe 29.10.2025 itakuwa ni birthday ya mwamba yule anaye sadikika kuwa alufanyiwa figisu Morogoro na wana mtandao kisha kukatisha uhai wake. Jamii baada ya kutonywa na yule kijana mjanja wa shule ya uongozi wananchi wameapa kutoshiriki haramu tarehe tajwa ,siku hiyo wengi itakuwa ni...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yalaani waliochana mabango ya mgombea urais Samia

    Chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Musoma Mjini kimelaani tukio la watu wanaotajwa kikundi cha vijana waliochana na kutoboatoboa mabango ya mgombea wao wa urais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambayo yamebandikwa maeneo mbalimbali ya Mji wa Musoma na kudai kitendo hicho hakikubaliki. Hayo yamejiri ikiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Awamu hii Vijana Wanahasira sana wamefika huku, CCM ijitafakari mara mbili

    GT Jionee mwenyewe mbogamboga wanalazimisha tu mambo hali ni mbaya sana.
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Battle Kali: KUTIKI vs MAANDAMANO. Hakuna CCM vs CHADEMA tena, ni CCM vs Maandamano

    Nature acha iitwe nature. Kama ulishawahi sikia dunia hii ina kitu kinaitwa "Natural Laws of the Universe" ndiyo hiki sasa. Kwa ground battle ni kali sana la Oktoba Tunatiki vs Oktoba Maandamano linaendelea nchi nzima. Siku zote Universal Phenomena ikikosa balance, basi nature inajiamulia...
  12. JamiiForums Tanzania Gen Z Tukiamua CCM na police wao ni Wepesi sana. Huwezi kupambana na umma kwa risasi ukashinda hata siku moja

    GT. Wazungu wanasema "You can't defeat the mass" umma ukiamua we mtawala dharimu lazima ukubali kuchutuma maana umevuliwa nguo na hutakiwi kuwa na hasira. Sasa Police wetu huwa wanajisibu kwamba eti kama kuna mtu anataka.kufa ajitokeza kufanya vurugu.ah ha 😄 😆 huwa nawaangalia nawashangaa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havikuanzishwa vije kupambana na CCM

    Wakuu Jana ndiyo nimekutana na mtu nyeti kwenye taasisi ya kulifanya taifa kuwa salama katika mazishi kijiji kimoja Kule Kilimanjaro Kulizuka malumbano wengine tunatiki wengine tunatoka Kama kawaida yangu mimi nikasema sitiki na sitoki na huu ndiyo msimamo wangu mda wote yule Mwamba...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kashakari: Nitahakikisha Kigoma kusini mnapata daraja Mto Malagarasi na Barabara ya lami

    Ahadi tulizozoea kusikiliza tukidanganywa kama hatuna fikra na kubaki kuwa ndoto kwa wananchi kutoka kwa wabunge wa Chama cha Mapinduzi zinaendelea kwenye Kampeni Kigoma Kusini ----------- Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakari maarufu Kandahari, amesema...
  15. JamiiForums Tanzania Butiama ya Mwl Nyerere iko ziwani lakini Maji hawana, Hadi Hospital Mpya ya Wilaya Haina Maji, Ikataeni CCM, Msishiriki Uchaguzi

    Nyinyi WATIAMA, Niambieni Baada ya Hayati Magufuli Kufa, kitu gani Samia kawafanyia?. Barabara ni Magufuli. Hospital ni Magufuli. Ujenzi wa Chuo Kikuu ni Magufuli. Magufuli angalau alijitajidi sana, angekua hai Maji yangekuwepo 24hrs. Miaka Minne ya Samia, Hata Maji safi na Salama yamemshinda...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: CCM inamuogopa Mpina na sababu walikuwa nae ndani ya chama chao

    "Mnajua kwamba tunapambana kwa ajili ya mgombea wetu wa urais, kesi inaendelea. Tunatarajia hivi karibuni tutapata maamuzi, na sisi tumejiandaa kesi itakapokishwa tu. Hata kama zimebaki siku kumi, tutatumia hizo hizo kuendelea kutafuta kura, na tunafahamu Chama cha Mapinduzi kinamuogopa sana...
  17. JamiiForums Tanzania Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri halafu CCM inanunua mabasi ya gharama

    Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri wa umma kisha chama ambacho kinajinasibu kipo kwa ajili ya kusaidia wananchi kinanunua mabasi mengi kwa gharama kubwa huku wananchi wakiteseka na usafiri wa umma. This has to end OKTOBA 29 MAANDAMANO
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM waja na tamthilia (bongo muvi) ya kusifia serikali ya Samia, kweli vuguvugu la maandamano linawanyima usingizi!

    Wakuu, Kuna tamthilia imeanza kurushwa Septemba 30, 2025 ambapo waliachia episode ya kwanza. Tamthilia hiyo inaitwa Hatua na kama kawaida wasanii chawa ndio waliyoipamba tamthilia hiyo. Kwenye episode ya kwanza wanaonesha maendeleo yaliyofanywa kwenye sekta ya kilimo, na jinsi wakulima...
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: ‘Hatuitaki CCM, hatumtaki mama’ ni hasira za muda mfupi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ametoa wito kwa watanzania kuwa wavumilivu kwa changamoto ya uchache na ubovu wa mabasi ya mwendokasi kwani changamoto hiyo inakwenda kupatiwa ufumbuzi muda si mrefu. Ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara katika kituo cha mabasi...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Mara nyingi sisi CCM Vijana huwa tunachagua viongozi wa aina hii. Sijui kwanini?

    Nimeona wamekuwa wakijipenyeza sana hawa watu kwenye uongozi miaka ya hivi karibuni. Najua watasema nao ni haki yao lakini inaleta picha mbaya sana kwa jamii. Tukumbukeni yule mama wa Tanga alisema kitu kuhusu hawa watu kuwa wanajiingiza sana kwenye uongozi. Na kwa sasa ndo wanapata sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…