ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi CCM mnakwenda kushindana na nani?

    Wanajamvi Kama kichwa cha uzi kinavyosema Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani???? Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi? Binafsi naona aibu Nasoma comment.
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Machifu Morongoro wafanya tambiko kumuombea mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu

    Wazee wa kimila pamoja na Machifu mkoani Morogoro wamefanya tambiko maalum kwa ajili ya kumpokea na kumuombea mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kampeni zake mkoani humo. Akizungumza wakati wa tukio hilo...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nimezichambua Picha za Mkutano wa Leo wa Samia, ITOSHE kusema Sasa Watanzania wameamua Kuikataa CCM waziwazi

    Licha ya wapiga picha kujitahidi kutafuta Picha Kwa engo inayoweza kuonyesha Umati ni mkubwa Licha ya Wasaniii wote kuwepo. Licha ya matangazo kufanyika Kwa miezi na miezi. Licha ya kutumia Mwamposa Licha ya Kwamba Siku alipochukua Fomu na kurudisha Fomu bado hakua na Nyomi. Licha ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kigoma niwaelewa sidhani kama watachagua huyu comedian wa CCM na kumuacha Zitto Kabwe

    Yaani wapeleke bungeni commediana na chawa kama huyu Alafu waache msomi kama Zitto Haiwezekani japokuwa ana mapungufu.
  5. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Polepole CCM ilifanya jitihada kubwa kumdhalilisha

    Wakati ule walipomtoa katika Ile kazi ya Katibu Mwenezi. Wakampeleka kwenye Kamati ya Maadili for no clear reason. Baadaye CCM wakaamua kwamba they will rehabilitate him . Wakampeleka Malawi kuwa balozi halafu Cuba. Ile ilikuwa change of heart for CCM. Kwa Polepole ilikuwa restoration and...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ikulu Tanzania katika mtandao wa X, washambuliwa kwa ku-post picha za uzinduzi wa kampeni za CCM

    Ni baada ya account hiyo ya serikali ku-post picha za uzinduzi wa kampeni za CCM ambapo asilimia 99 za comments ni mashambuli kwa kuhusisha ofisi hiyo na kazi cha chama cha siasa. Watanzania wanajitambua sana na mitandao ni moja ya tool muhimu sana katika kuleta ukombozi wa pili wa Taifa hili...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Ikulu mawasiliano wanapost kampeni za CCM, kwahiyo watapost na za ACT au ndio tayari wanamjua mtu wao?

    Ikulu mawasiliano wanaendelea ku-update kinachoendelea kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM, Swali la kujiuliza Ikulu ni mali ya serikali au ni mali ya CCM? Je watapost kampeni za vyama vyote? Maana kwa sasa ikulu haina mwenyewe, kwanini iwe inapost kampeni za CCM? Watanzania hadi haya pia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi mkuu kuhusisha CCM na vyama vingine bila CHADEMA, ni sawa na ligi kuu huku mmoja kati ya Simba au Yanga akiwa amefungiwa

    Huu ndio ukweli mchungu na ni aibu na fedheha kwa CCM . Yaani kama ambavyo ligi kuu haiwezi kunoga ikiwa mojawapo ya timu kati ya Simba au Yanga ikiwa haishiriki kwa kufungiwa au kususia ligi. Tunaamini wazee ndio watu wenye busara na hekima, ila hii CCM imetu- prove wrong kabisa. Wazee...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao?

    Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao? Yaani Rais mzima unaruhusu mtu mwenye bandari kavu kukupa pesa halafu TRA watamdai vipi kodi??? Mama na Kikwete bila watanzania kuamka
  10. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa CCM hajaongea jipya lolote, ameshindwa kujinadi vyema

    Amepata fursa ya kuzindua kampeni mbele ya umati uliosombwa ukasombeka halafu ameshindwa hata kujinadi vizuri. Anaonekana amechoka, ,kama kalazimishwa kuongea kama vila Bora liende watajua wenyewe. Daa! Nawezaje kupigia kura mtu wa namna hiyo? Kama ni hivyo, basi hii itakuwa mara ya nyingine...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za polisi za kusindikiza misafara ina maana gani kubadilishwa kuwa rangi ya chama cha CCM kwenye kampeni

    Nimeangalia clip nusu nitukane ------------ Hii ni kinyume na kanuni na taratibu za uchaguzi, na kama sheria zimebadilka basi Tume huru ya uchaguzi NEC itoe ufafanuzi. La sivyo tutarajie kuona hizi pikipiki kwenye misafara ya wagombea wa vyama vingine tena kwenye rangi zao kama CCM ilivyofanya
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kujenga barabarani ya chini ( Subway road ), kutokea Posta mpaka Mbezi

    JF Nasikiliza hapa mpoto anawaelekezea wana Dar es Salaam, kuwa katika Ilani mpya ya CCM, chama kinatarajia kujenga barabara ya chini ( subway road ) kutokea Posta kuibukia Mbezi Yaani unadumbukia Posta, unajikuta Mbezi Kwa kweli MAMA mitano tena , nani kama CCM Muwe na jioni njema
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM na ze comedy ni Abdallah na Dullah au Ismail na Suma

    Hivi ni kweli CCM imekosa viongozi wa dini wa kuomba neema ya Mungu katika ufunguzi wa kampeni leo?? Mwamposa amejitahidi kusimama kama mtumishi wa Mungu, Sala/ Dua amezielekeza vizuri. Yule shekhe na Hananja. Dua/ Sala zao hadi nimecheka. Kenani Kihongosi nae alijisahau kama ni Sala eti...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: CCM inatumia sheria kwasasa haikubaliki

    Hali ya Tanzania ya sasa ni hii hapa Nyerere quoted 😰😰😰🤝 https://www.facebook.com/share/v/17PEnm9VsA/
  15. D

    JamiiForums Tanzania Halafu Inawezekana hii CCM ikawa ni mpango wa chadema mjue

    Kuna mambo kadhaa yananipa mashaka mjue, Kila siku hisia za kwamba hii CCM inaweza kuwa ni project ya chadema zinazidi kujaa akilini mwangu. Hebu angalieni vizuri mambo haya machache makubwa; 1. Mbona viongozi wote wa chadema baada ya muda wanajiunga ccm?!! Hii CCM sio project ya chadema...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo za CCM

    Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni sijui ndo mtapewa afu tatu ya maji 😂 hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo za CCM

    Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Neno kwa huyu bodyguard wa CCM anayepiga miayo huku akiwa dhoofu

    Njaa inaonekana kuwa ni kali sana na yenye kudhoofisha mwili.
  19. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Rais Samia Suluhu amejua kuteka nyonyo za Watanzania. Eti "Watu wanasombelewa kwa costa kupelekwa Kawe"..Hili sio jambo la aibu hata kidogo ndugu zangu wa Chama cha Mapinduzi, bali kitendo hiki kinaonesha mapenzi makubwa ya CCM kwa wananchi wake.Fikiria, kuna wanachama wakereketwa haswa wako...
  20. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Ikiwa CCM imemtengeneza Mbowe mpaka mkamuamini ni mpinzani je watashindwa kumtengeneza Lissu

    Watu ambao hamuwajui CCM ndio nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na CCM na bado mnafata . CCM ndio chama pekee kina watu intelligent kuzidi chama chochote.
Back
Top Bottom