ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hata kama wakishinda uchaguzi Polepole ameanika wazi uchafu wa CCM

    Njama za kumuua hayati JPM Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga. Kuporomoka kwa maadili Wizi wa kura kupitia Inec na Nida Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kamba za Polepole: Kama Membe alipatikana na hatia za kupanga kumuua Magufuli, kwanini hakushtakiwa kwa kosa la jinai, akafukuzwa tu CCM?

    Pole pole anadai membe alipatikana na tuhuma hizo nzito, tena dhidi ya JPM ambaye alikuwa hafikiri mara mbili. Eti kwamba alipanga kumuua, imagine upange kumuua JPM, ajue halafu akufukuze tu CCM akuache mtaani wakati Ben Saanae aliuliza tu kuhusu PhD pole pole akamuondoa juu ya uso wa nchi Pole...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Huenda CCM ndio Chama Cha siasa kinachopendwa zaidi Duniani kwa sasa

    Huu ni uchunguzi wangu huru Kwa sasa Kwa kuangalia Ratio kati ya Idadi ya watu kwenye nchi dhidi ya chama Cha siasa kinachoongozwa kwa kupendwa. Sasa na wewe uko huru kufanya utafiti wako ila ukweli CCM is the most current Loved Political Party in the World.
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM waliponunua mabasi sikuwaelewa, Sasa nawaelewa

    CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!? Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao. Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM hawaoni aibu jinsi kampeni zilivyopooza halafu hakuna anayefuatilia?

    Kweli binadamu akilitaka lake jambo huwa haoni aibu. Hivi CCM mmekosa kweli washauli, heri mngebaki na uzoefu wenu wa kuiba kura lakini siyo kwa kampeni mnayoifanya isiyokuwa na mvuto, yaani mmechokwa mnajaribu kujilazimisha kucheka nafsi inawasuta, hamna furaha, uchaguzi umepoa, hakuna...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wakikutana na Polepole kitatokea nini?

    Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Actually, to be sincere, hata wagombea wote wa CCM kwa nafasi za Ubunge/udiwani hawana ushindani wa kupoteza resources as long as Chadema haipo

    Mshindani wa kweli ni chdema. As long as chadema haipo, basi hakuna mshindani wa nguvu. Hawa wengine ni mpango wa kando ambao hauna nguvu kwenye ndoa kisheria na kimila...ni mdabwada so to say!
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mnapozima Internet, Wanaoteseka ni nyie CCM. Watoto wa Kambo tuna VPN🤣

    Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu.. Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu. Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya...
  9. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole, kumbuka kuwa Mwana CCM kumpinga mgombea wa CCM, unaitwa USALITI

    Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais. Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwenye Kila chama cha siasa ccm Wana watu wao na Kila kamati kuu ya chama chochote cha siasa ccm Wana watu wao hao mashahidi wa Siri ni makada wenu !

    Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya vyama vya upinzani vyote wanapeleka watu wao na wengine ni usalama wa taifa wanakuja kama raia...
  11. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Polepole ana watu na ana hoja, sijui CCM wafanyeje ili kumdhibiti?

    Nimefuatilia hatua kwa hatua mijadala ya Pole pole na kugundua wazi kuwa, kuna mamilioni ya watanzania wanamfuatilia kwa kina Pole pole kile alichokiongea na wengi wao wanamuelewa na kumuamini. Kama kuna namna CCM ilipaswa kumdhibiti kabla lakini kwa sasa imechelewa mnoo, sijui wafanyeje? Hapa...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nokia ilikufa kwa huu mfumo wenu CCM

    Kuweka kampuni nyingi ila tunaweka DMZ ili kutosumbua wapuuzi wa CCM wenye cable zao hapa JF. Hivi nyie mnaosifu mama zenu mnajua soko la madini mfano Dhahabu kwa nini inapanda bei au uchumi wenu basi rudini kwenye forex mnayosema Betty kutoka benk kuu
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Huyu Angela Kizigha ni nani hasa huko CCM au serikalini?

    Anaemfahamu kwa undani huyu mama tunaomba uzi wake hapa ! Katajwa san na inaonekana anamkaribia Rostam kwa Upigaji
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni Mwenyekiti gani wa CCM "B" aliyetajwa na Polepole?

    Kwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B. Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mipango ya kando ya CCM

  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM mnakwendaje kwenye kampeni hatusikii kupiga vita rushwa na ufisadi havisikiki?

  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mzee Mangula angekuwa na uthubutu angezungumzia utaratibu wa mgombea Urais CCM. Wazee wa CCM walijisahau wakapinduliwa na wanamtandao

    Polepole: Mzee Mangula angekuwa na uthubutu angezungumzia utaratibu wa mgombea Urais CCM. Wazee wa CCM walijisahau wakapinduliwa na wanamtandao
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Joke: Mfano likapinduka, CCM watasema nini?

    Naeleza mfano 😂
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 All in all, kwa CHADEMA kugoma kushiriki huu uchaguzi, kunawatesa na kuwafedhehesha sana CCM

    Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao kuaachia madaraka kwa hofu ya kushughulikiwa na kwahiyo wanalazimika kuhakikisha wanabaki madarakani...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wanabadili midundo tu lakini ngoma ni ile Ile!

    Ukichambua vizuri kile kinachoitwa Ilani na sera za CCM 2025-2030. Utakuja na jibu moja tu kwamba, waandaji wamechomoa chomoa kwenye Ilani na sera zilizotumika zamani, wakaunda kakijitabu haka wanakokatumia Leo kuomba kura. Waziri Mkuu wa zamani, marehemu Edward Lowassa aliwahi kuonya akiwa...
Back
Top Bottom