Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
MOTO WAZIDI KUWAKA UWT K'NJARO,WANACHAMA WATISHIA KUREJESHA KADI ZA CCM
HALI bado si swari ndani ya Jumuiya ya wanawake wa Chama cha Mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake na wale walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kutishia kurejesha kadi za Umoja huo endapo mamlaka za juu za...
Wakuu,
Tume ya CCM, INEC ilikuwa imejitayarisha kurusha tukio la mgombea wa CCM kuchukua fomu ya Urais pamoja na mgombea mwenza wake, lakini wameifuta bana.
Kwanza mlianza kusema Uchafuzi badala ya Uchaguzi mlipotangaza tarehe ya kupiga kura, leo mmefuta live ya tukio mlilokuwa mrushe. Mnazidi...
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Msafara wa Magari...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anachukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya...
Wasalaam,
Ukisikiliza matamshi ya viongozi wa CCM wa sasa wengi utagundua kuwa hawa sio viongozi bali ni genge la wahalifu maana matamshi yao ni kuua na kupoteza watu kisa uchaguzi!
====
Maneno haya yalitolewa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM (UVCCM) Kheri James...
Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
Huu Utaratibu wa Viongozi kupewa dhamana na Kukiuka dhamana waliyopewa Umeanza kuwa ni Utaratibu wa kawaida sana.
Leo hii hakuna asiye fahamu Uchaguzi wa VITI MAALUMU MBEYA umeharibiwa na Wapuudhi waliopewa dhamana Ndani ya UWT MBEYA lakini cha ajabu Tuna kaliana kimyaa huku Mpasuko ukiendelea...
Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho
Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi
Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
Chama cha Mapinduzi CCM wilayani Handeni mkoani Tanga kimelaani kauli zinazotolewa na baadhi ya watu wanaotumika kuwasema vibaya viongozi wa chama hicho pamoja na wagombea walioongoza kwenye uchaguzi wa kura za maoni wilayani humo, kwa madai kuwa uchaguzi huo haukufanyika kwa uhuru na haki.
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu...
Kazi ya makamo mwenyekiti badala ya mwenyekiti wetu Tundu Lissu ni kutuambia hatuna imani na majaji,mahakimu pia hatuna imani na serikali ya Samia.
Kisha tuambiwe hatima ya mwenyekiti unatuachia sisi wananchi tuamue cha kufanya.
Kama ndiyo kupata uongozi ndiyo ulivyo tunaelekea pabaya. Katika zoezi la kura ya maoni Jimbo la Rorya RUSHWA ilitawala kwa kiasi kikubwa.
Kwa sasa kupata uongozi katika nchi hii aidha uwe Tajiri, uwe na connection na mengineyo mengi. Asilimia kubwa ya watia nia walioongoza kura za maoni...
Wewe dogo JF ni sehemu ya kuruka viunzi vya mtaani na wahusika kukupima uwezo wako.
CCM ina vijana luluki kutoka vyuoni, inabeba watu kutoka sekondari na vyuoni.
Kama umesahaulika huko; JF ni sehemu ya wewe kuonyesha unaweza, jenga nchi.
Be it in the process make CCM first and be yourself on...
Chama kinashambuliwa nyie mmetulia tu na posho mnakula.
1. Andaeni matukio ya kuhamisha attention kwa kila tukio la kuchafua Chama. Hususani siku ambayo polepole anafanya mikutano yake uchwara.
2. Tumieni Wasanii kusifia hususani kuandaa matamasha ya bure.
3. Andaeni kampeni kwenye social...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako.
Kwa sababu siku ya kesho CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.