ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo za CCM

    Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Neno kwa huyu bodyguard wa CCM anayepiga miayo huku akiwa dhoofu

    Njaa inaonekana kuwa ni kali sana na yenye kudhoofisha mwili.
  3. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Rais Samia Suluhu amejua kuteka nyonyo za Watanzania. Eti "Watu wanasombelewa kwa costa kupelekwa Kawe"..Hili sio jambo la aibu hata kidogo ndugu zangu wa Chama cha Mapinduzi, bali kitendo hiki kinaonesha mapenzi makubwa ya CCM kwa wananchi wake.Fikiria, kuna wanachama wakereketwa haswa wako...
  4. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Ikiwa CCM imemtengeneza Mbowe mpaka mkamuamini ni mpinzani je watashindwa kumtengeneza Lissu

    Watu ambao hamuwajui CCM ndio nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na CCM na bado mnafata . CCM ndio chama pekee kina watu intelligent kuzidi chama chochote.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa soko la Sabasaba Sumbawanga tunadhulumiwa na Katibu wa CCM Mufindi

    Nawakilisha kwa Uchungu Mkubwa sana ukiwa ndani ya moyo wangu kutokana na Dhulma tunayofanyiwa na Katibu wa CCM Mufindi bwana Clement Bakuli. Soko la Sabasaba lilizuka baada ya sisi wahanga tuliounguliwa na moto katika soko la Mandela mwaka 2016 kupewa nafasi tuanzishe soko lingine. Tulianza...
  6. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Kushindana na CCM, unakuwa unashindana na Serikali na vyombo vyake, usipotumia akili utaishia kuumizwa bure

    CCM sio Chama cha siasa Ila ni Serikali, hivyo kushindana na CCM unahitaji akili Sana . Na sio hivi kama wanavyofanya hawa vijana akina Lissu na wengineo. Binafsi watu ambao hawaulewi ukweli nawapa pole. Hata hapa JF tumejificha kwa I'd fake lengo ni kuikwepa Serikali.
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hakuna tume huru. Luhaga Mpina angeanika ufisadi wa serikali ya CCM kwenye kampeni. Mabadiliko wanayoyataka CHADEMA ya Lissu yanahitajika

    Ni wazi kuwa Mpina angeeleza kwa kinagaubaga ubaya wa Serikali hii ya Samia na kundi lake. Act Wazalendo walichanga karata vizuri. Mfano wa hoja zake za msingi ambazo kila mtanzania anazielewa ni mikataba zaidi ya 47 inayohusu rasilimali za taifa hili lakini Bunge na wananchi...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama CCM na Samia wanakubalika kama tunavyoaminishwa, inakuwaje wamuogope hata Luhaga Mpina

    Sisemi mengi. Kichwa cha habari kinajieleza. CCM itangazwe mshindi kwa vile tume imeishaipa ushindi.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Haya wakuu wa shule pelekeni wanafunzi barabarani na nguo zao za nyumbani kama mlivyo elekezwa sawaaa!

    CCM bado ina mambo ya kishamba sana na haibadirishi mbinu ndio maana hata nchi miakabyote matatizo yale yale, haya tunasubiri hilo nyomi la wanafunzi maana nasikia tayari maelekezo yamesha tolewa huko wanafunzi kuanzia darasa la 6 hadi form five na six wajipange barabarani na wavae nguo za...
  10. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nacheka kama Mazuri vilee. Ni wangapi mmeing'amua hii Script iliyochezwa kati ya CCM, Tume na ACT Wazalendo?

    Kidogo nmeanza kuelewa ule msemo kwamba green and yellow wameishiwa mbinu kwa sasa na nadhani katika zile mbinu tulizoambiwaga kwamba jamaa wana mbinu takribani 1000 za kushinda Uchaguzi! Itakuwa hii ndio mbinu ya mwisho kabisa! Iko hivi! Baada ya balozi kutoka na kumwaga mchele kwenye kuku...
  11. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Kama utani ila hiki chama kinazidi kutuletea madudu, leo hii wanaanza kuforce watu kushiriki kampeni zao

    Nimeona hii kitu nimesikitika sana. ... ila TZ Inawenyewe.. kabla ya kampeni au baada atadondoka mtu
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Gwajima na Polepole, Chadema kesho CCM wanaanza kampeni rasmi

    Wanaukumbi. Gwajima na Polepole ni project ya mtu mmoja na script writter ni mtu mmoja ndiyo maana hawaishi kurudia rudia kuongea vitu vilevile kila siku kwa kuwa hawana ajenda ya kusema na kuongea. Siku 10 zilizopita alisema atarudi na kuongea mambo mazito sana na watu hawataamini. Hivi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sigrada Mligo amtuhumu mgombea CCM Njombe Mjini kuanza Kampeni Mapema kabla ya uteuzi

    Mgombea Ubunge kwa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo amelalamikia uvunjwaji wa kanuni za kiuchaguzi kutokana na Mgombea Ubunge wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) kwa Jimbo hilo Deo Mwanyika kuanza kufanya kampeni akiwa bado hajateuliwa bado na Tume...
  14. econonist

    JamiiForums Tanzania Niwatahadharishe ACT kwamba mwaka huu CCM wanakabia kwa juu kule Zanzibar

    ACT wajiandae kwa mapambano. CCM wameamua mwaka huu wakabie kwa juu msipate sehemu ya kupumua. CCM wamepanga yafuatayo. 1. Kumuwekea pingamizi mgombea urais Zanzibar kwa ACT. 2. Wamepanga kuwawekea pingamizi wagombea ubunge wote wa ACT kutoka Zanzibar. 3. Wamepanga kuwawekea pingamizi...
  15. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Wa kuitoa CCM madarakani ni CCM yenyewe

    Kweli wakuitoa CCM madarakani ni CCM wenyewe wakitofautiana kinyume na hapo sioni hilo kutokea. Nyerere alijua fika jitu alilo tengeneza ni jitu la namna gani. Na ndio maana alisema upinzani utatoka CCM maana nje ya hapo hakuona kabisa kwa mifumo ya nchi ilivyo.
  16. M

    JamiiForums Tanzania CCM Moshi mjini chukueni hatua kwa makada waliochapana makonde ndani ya ofisi za chama

    Naandika kuwataka viongozi wa CCM moshi mjini mwenyekiti wangu wa wilaya mzee Faraj Swai,chukueni hatua kwa makada hawa wawili Juma Raibu na Gadafi kuchapana makonde ndani ya ofisi ya chama. Wawili hawa walizozana wakati zoezi la udhamini likiendelea kwa mgombea wa chama cha mapinduzi Jimbo la...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: CCM Mnapaswa kuwa Mabalozi wazuri wa Demokrasia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amesema kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi mikutano yote ya hadhara katika mkoa huo imewekwa wazi katika viwanja na tarehe za mikutano kuanzia tarehe iliyotangazwa na tume hadi karibu na uchaguzi Mkuu RC Chalamila ameyasema...
  18. Informer

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Vyama yamkingia kifua Samia. Yadai suala lake kama Mgombea wa CCM lipo Mahakamani, haiwezi kuingilia

  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watanzania hasira zimekuwa kubwa sana jamaa kapata ajali ya pikipiki ambayo ni ya CCM imemlalia wanampita wakimwambia mitano tena.

    Siku hizi naona kama pikipiki za CCM zile za samia watu waliopewa wanaanza kuogopa kutembelea hata wakipeleka kwa mafundi na mafundi nao hawa zitaki,Mtaani zikipaki zinatengwa na wanazengo. Sasa kuna tukio limetokea jamaa kada mtiifu kapata ajali pikipiki anayotumia ikamlalia hakuna hata...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Lissu CCM yote ikavurugikiwa!

    Hivi wao wangendelea na mpango wao wa kuwafanya watu wao watiki, halafu Lissu aendelee kufanya harakati za NO REFORMS NO ELECTION, kwani kingetokea nini? Kishindo cha Lissu kimeifanya CCM nzima ichanganyikiwe na kukanganyikiwa.
Back
Top Bottom