ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Wanaousaka urais, ubunge CCM kabla ya wakati waonywa

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amewaonya wanachama wa chama hicho tawala walioanza mikakati ya kusaka kupitishwa kuwania udiwani, ubunge na urais akibainisha kuwa kufanya hivyo ni makosa. Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Desemba 3, 2019 katika ziara yake kisiwani Pemba, Zanzibar wakati...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM, angebana zaidi upinzani kuliko ilivyo hivi sasa

    Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015. Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais...
  3. JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Uvumilivu sasa basi, wanachama lindeni ofisi na mali za chama

    UVUMILIVU SASA BASI, WANACHAMA LINDENI OFISI NA MALI ZA CHAMA MAELEZO YA MSHAURI MKUU WA CHAMA CHA ACT – WAZALENDO, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI OFISI KUU YA CHAMA ZANZIBAR – TAREHE 2 DESEMBA, 2019 Chama cha ACT – Wazalendo kinazo taarifa za uhakika za kuwepo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Al Bashir akabiliwa na hukumu ya kifo kwa kupindisha taratibu za kidemokrasia

    Kufuatia mapinduzi ya mwaka 1989 yaliyomweka madarakani rais wa Sudan aliyeondolewa madarakani Al Bashir, sasa atashtakiwa kwa makosa ya kuhujumu mfumo wa kidemokrasia. Endapo atatiwa hatiani, basi hukumu yake ni kifo au kifungo cha maisha jela. Hii ni taa nyekundu kwa CCM wanaovuruga mfumo wa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Opinion: CCM shall be removed only in a Ghadafi style uprising

    Naileta tena hoja ya kukiondoa madarakani chama kinachojisimika madarakani bila ridhaa ya wananchi wa Tanzania. CCM imevurubuni vyombo vya usalama na kupora haki ya msingi ya watanzania wote ya kuchagua na kuchaguliwa. CCM imesimamia uporaji wa haki ya wananchi kujipatia viongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Madiwani watano wa CHADEMA jiji la Arusha wajivua madaraka

    Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za kujiuzulu za madiwani watano wa Chadema Jiji la Arusha. Mbali na barua hizo za kujiuzulu, madiwani hao pia wamemuandikia barua katibu wa CCM Wilaya ya Arusha wakiomba kujiunga na chama hicho tawala nchini Tanzania...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kupoteza halmashauri zote inazoziongoza kabla ya mkesha wa mwaka mpya mamia ya madiwani wake kuhamia CCM

    Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli. Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na...
  8. JamiiForums Tanzania Inatarajiwa madiwani kumi na wawili wa Chadema Arusha mjini watajiunga na CCM kuanzia kesho

    Acha wale watano waliounga juhudi leo kuna namba kubwa zaidi tena ikitarajiwa kuamua kwa pamoja kurejea CCM muda wowote kuanzia kesho. Duru zinatabanaisha maombi ya madiwani hao yapo mezani yakifanyikiwa kazi na Ofisi ya CCM Mkoa wa Arusha na hata wangeruhusiwa leo kufanya hivyo wangefanya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani hana madaraka wala majukumu yoyote kama aliyonayo yule wa CCM

    Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote. Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo. Chadema kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kuingiliwa siasa zetu na nafasi yetu katika kukemea na kudhibiti, Katibu mkuu wa CCM kafungua njia tuifuate. Case study: uchaguzi S/M

    Zikiwa zimepita takribani siku tano tangu kumalizika kwa amani uchaguzi wa serikali za mitaa na matokeo kutangazwa na washindi kusheherekea ushindi wao, sasa muda wa kuliangalia swala la uchaguzi katika upana ili kuyaziba mdomo mataifa yanayoonesha kupingana na uchaguzi huo. Baada ya matokeo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wazazi CCM: Rais Magufuli ametufanya tukipita tumevaa sare za chama mitaani tunashangiliwa kabla yake tulikuwa tunazomewa na kupigwa mawe

    Jumuiya ya wazazi wa CCM imetoa shukrani maalumu kwa Rais Magufuli kwa namna alivyoibadilisha CCM na kuifanya iheshimike mbele ya jamii. Kabla ya mwaka 2016 ilikuwa haiwezekani kuvaa sare za chama ( CCM) mtaani kwani tulizomewa na kupigwa mawe lakini sasa hata tukipita mtaa wa Ufipa na sare...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwa uhalifu wa demokrasia unaofanywa na CCM, bado kinastahili kuitwa chama cha siasa?

    Sote tumeshuhudia uvuruga wa demokrasia unaoendelea nchini chini ya usimamizi wa CCM. CCM imesimika sheria za kiimla na za kidikteta ambazo hata wakoloni hawakutunga sheria za kihalifu za kiwango kikubwa kiasi hiki. Sote tumeona kwa macho na tumesikia kwa masikio katibu mkuu wa CCM akiikana...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

    Uchaguzi uliofanyija Jioni hii Kibaha Pwani wa kumpata mwenyekiti wa Kanda ya pwani, Chadema umekanilika Kwa nafasi ya Mwenyekiti, Mgombea alikuwa Mzee Sumaye Peke yake ndipo zikapigwa kura za Ndio au hapana Matokeo: Kura za Ndio kwa Mzee Sumaye ni 28, na kura za Hapana ni 48 Hivyo, nafasi ya...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wasiige vyama vya upinzani wenyeviti wake Kitaifa kukaa madarakani muda mrefu?

    Si vibaya kujifunza kutoka kwa chama kikuu cha upinzani kwani mimi naona wanafanya jambo zuri sana kwa maslai mapana ya Chadema, kwani Freema Mboe atakuwa na miaka zaidi ya 30 ofisini. Hivyo CCM nao waige wampe Magu hata miaka 20 au 30 tu kama wanavyofanya vyama vya upinzani kwani huu uwe...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

    Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru: Wale wote waliomtukana Rais Magufuli bado wana mashtaka ya kujibu mbele ya CCM, msamaha waliopata ni wa Dr Magufuli siyo CCM

    Katibu mkuu wa CCM, Dr Bashiru Ally amesema wale wote waliomtukana Mwenyekiti wa CCM, Dr. Magufuli bado wana kesi ya kujibu mbele ya kamati ya nidhamu ya chama. Dr. Bashiru amesema wale walioomba msamaha na kusamehewa walifanya hivyo kama watu binafsi na Dr. Magufuli aliwasamehe kama mzazi...
  17. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM atoa onyo kwa Membe akimtaka kutokuwa juu ya katiba ya chama

    Bernard Membe, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Onyo hilo limetolewa leo tarehe 27 Novemba 2019 na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM, wakati...
  18. JamiiForums Tanzania CCM kutawala toka uhuru ni udikteta

    Wanajamvi, kwanza nianze na definition hii hapa chini. “Single-party dictatorships are regimes in which one party dominates politics. In single-party dictatorships, a single party has access to political posts and control over policy.” Kwasababu nchi yetu ni ya kidemokrasia, na inayotakiwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Bora CHADEMA ni ruksa kugombea uenyekiti kuliko CCM ambako ni kosa kugombea Urais mpaka Rais aliyepo amalize kipindi chake cha pili

    Cha ajabu, watu hawa ambao kwao ni mwiko kum-challenge Rais alie madarakani katika kugombea uraisi kupitia chama chao,ni watu hawa hawa wako busy kumshambulia Mbowe na CHADEMA kwa ujumla kisa tu Mbowe kaamua kugombea tena. Hawa watu ni wanafiki sana na lengo lao kubwa sio kutetea demokrasia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa kishindo uliopata CCM umemuongezea Rais wetu hamasa ya kuendelea kututumikia vyema zaidi. Tanzania ipo nawe, tuvushe twende mbali zaidi

    Hakuna ushindi wenye raha kama wa kishindo. Ushindi wa namna hiyo unatoa hakikisho kuwa chochote unachofanya kinapata baraka kutoka kwa watu. Kila mmoja hawezi kukupongeza kwa kazi nzuri unayofanya lakini kupitia sanduku la kura ndio utajua mwitikio wa kile unachofanya. Wiki hii ni ya shangwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…