Opinion: CCM shall be removed only in a Ghadafi style uprising

ngusillo

JF-Expert Member
Nov 5, 2019
1,064
2,014
Naileta tena hoja ya kukiondoa madarakani chama kinachojisimika madarakani bila ridhaa ya wananchi wa Tanzania.

CCM imevurubuni vyombo vya usalama na kupora haki ya msingi ya watanzania wote ya kuchagua na kuchaguliwa.

CCM imesimamia uporaji wa haki ya wananchi kujipatia viongozi wanaowataka. Badala yake imesimika kwa lazima na kidikteta viongozi wa vitongoji, vijiji na mitaa kwa kuengua wengine wote.

CCM imeukataa hata ule mpango wa mwalimu Nyerere wa kura za ndiyo na hapana. Imenajisi ardhi na hewa tunayopumua.

CCM imetusababisha sisi kama taifa tuonekane tunanuka. Tunanuka kama kinyesi mbele ya mataifa ya dunia. Tutawekwa kando au kufukiwa kama kinyesi mbele za mataifa.

Kwa sababu hizi, ni haki ya raia kujiandaa kwa namna zote ziwazo kuiondoa madarakani CCM kwa staili iliyomwondoa Comrade Muamar Ghadafi, mwamba wa Afrika.

Raia wanapaswa kujiandaa kwa namna zote ili itakapoondolewa tusifikie kusambaratika kama Somalia na Libya.

Taasisi za kiraia zianze maandalizi murua ya kuandaa watu wa kuokoa jambazi lisizame kabisa siku CCM inaangushwa rasmi.

Nawasilisha.
 
Kitendo cha Mbowe kujimilikisha chama cha CHADEMA kinanifanya niione ccm kama chama mkombozi Tanzania.
Ukiitoa Ccm unaweka chama gani ? Bora CCM kuliko vyama vya wafalme.
 
Nakuunga mkono ccm bila kuitikisha kamwe haitaondoka marakani itatesa vizazi na vizazi.
 
Unadhani hajui? Anajua haswa ndo maana kaamua hamia na kuhamishia kila kitu Dodoma. Anajua fika ipo siku Dar itavimba na walivyo wengi wangemkamata pale ferry kirahisi
 
Ukiambiwa weka ushahidi hapa kusapoti hoja yako utaanza kujambajamba tu...
Sitegemei bavicha kuongea positively kuhusu sisiemu hii ya jpm...endelea kuumia maana sisiemu hií utaiacha madarakani kama hoja zenu ndio hizi mfu.
 
Mkuu Ngusilo, bwana mkubwa kasema kumwaga damu ni mbali sana yaani ni hatua ya juu kabisa kama mnazo balls mwageni kwanza mkojo.

Hiyo mikwala ya Ghaddafi awamu hii hakuna mwenye jeuri ya hata kuota kuitekeleza, tunao keyboard warriors wengi sana.
 
Swala la maansamano tu mmeshindwa mtaweza ya Libya? Nadhani subirini amalize vipindi vyake ndio mpange hiyo mipango iliyoshindwa kukamilika kipindi cha Mkwere
 
Sasa hao wa ccm mtawapeleka wawe wananchi wa wapi?
Hao ni viongozi wachache tu. Kwa sehemu kubwa CCM ikiondoshwa ndipo utajua rangi halisi za hao wanaoishabikia CCM. Wananchi tulio wengi tutaendelea kuwa na mshikamano na kudumisha amani ya nchi,.
 
Back
Top Bottom