CHADEMA kupoteza halmashauri zote inazoziongoza kabla ya mkesha wa mwaka mpya mamia ya madiwani wake kuhamia CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,872
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!
 
Budget kutoka burigi
 
Hivi kwa leo tu, hii ni thread ya ngapi umeianzisha kuhusiana na CHADEMA?
Vipi, na hii issue, hajakuambia MZEE MGAYA?
 
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!
We kibwengu wa Lumumba una tatizo......so what?pumbavu kabisa wew
 
Boss johnthebaptist Kwanini wasisubiri tu Uchaguzi Mkuu tu??? !!!
Madiwani 100 na Wabunge zaidi ya 20, kurudia Chaguzi ni Pesa ndefu sana.
Wamepima Upepo kwenye Manunuzi, wameona WaTanzania wajinga,
Wamepima Upepo kwenye Chaguzi za Mitaa, wameona WaTanzania ni wapumbavu,
Sasa wanaendelea ....
Ngozi nyeusi sijui ... tumelogwa na nani??? !!!

Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!
 
kwa hiyo wakihamia ccm ndo watasaidia ni au wataongeza nini ambacho nyie ccm hamna? saa zingne ccm mnaboa!
 
Boss johnthebaptist Kwanini wasisubiri tu Uchaguzi Mkuu tu??? !!!
Madiwani 100 na Wabunge zaidi ya 20, kurudia Chaguzi ni Pesa ndefu sana.
Wamepima Upepo kwenye Manunuzi, wameona WaTanzania wajinga,
Wamepima Upepo kwenye Chaguzi za Mitaa, wameona WaTanzania ni wapumbavu,
Sasa wanaendelea ....
Ngozi nyeusi sijui ... tumelogwa na nani??? !!!
Mkuu kwa sasa hakuna uchaguzi tena hadi October 2020!
 
Back
Top Bottom