ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

    Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge. Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCM wanaogopa Tume huru ya uchaguzi ya ukweli

    Tunakusudia tume huru ya ukweli iliyoridhiwa na wadau wote was uchaguzi vikiwemo vyama vya siasa. Hatukusudii hii ya Sasa ambayo mwenyekiti wa CCM ndio huwachagua mwenyekiti wa NEC na mkurugenzi wake. Hatukusudii tume huru hii ya Sasa ambapo serikali ya CCM inakataa rulling ya mahakama ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Propaganda za CCM zinawafanya Watanzania waamini kuwa hakuna korona nchini

    Viongozi wa CCM wanashangaza, wanatuhimiza kunawa mikono, kuvaa barakoa, kuepuka mikusanyiko na kukaa Nyumbani Kama hauna sababu ya kutoka, lakini wakati huo huo wanatuambia kuwa Tanzania Hakuna korona. Cha kushangaza idadi ya Madereva wanaopimwa na kukutwa na virus vya korona kwenye mipaka ya...
  4. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu NCCR ahamia CCM kwa mara ya pili

    Hapa alihama Agosti 2018 akipokelewa na Bashiru Leo tena 2020 amehama tena NCCR Mageuzi na kuhamia CCM
  5. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnajipanga vipi kuzikabili hujuma kama za uchaguzi wa Serikali za mitaa, maana ndiyo nguzo ya CCM uchaguzi wa Oktoba

    Unaona wimbi kubwa la wana Chadema njaa kukimbia kwenda CCM. Si kwamba wanaipenda CCM, la hasha. Wanasoma trend kuwa wabunge wote walionunuliwa wame-retain nafasi zao bungeni. Na wanajua kuwa hata uchaguzi wa October mbinu hiyo itatumiwa na serikali/CCM kupora ushindi wa Chadema. Au mbinu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

    Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri. Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Musa Utaona ya Ndugai. Wanakufa wabunge CCM ila wanalindwa wa Chadema wakapime afya zao

    Siku zote huwa naamini kwenye usemi ule wa kwamba ukiwa na hasira jaribu kujiepusha kufanya maamuzi, kwani unaweza ukaonekana kituko. Hakuna ubishi kuwa wiki hii yote au tokea wabunge wa Chadema waondoke bungeni kwa ajili ya kuji-quarantine kuna mtu mmoja pale bungeni na si mwingine bali Job...
  9. S

    JamiiForums Tanzania CCM according to its action,is dancing to devil`s tune,the dance which will eventually lead to its downfall

    Hivi ndivyo naweza kusema kuhusu chama hiki cha kijani ambacho,kwa matendo yake, kinaonekana kukosa maarifa na sasa kinacheza tu muzik unaopigwa na devil,muziki ambao,japo wao wanaufurahia,lakini mwisho wa siku utapelekea anguko lao. Midundo inayopigwa na devil na wanayoonekana kuifurahia na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Endapo John Mnyika atahamia CCM atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu "mfululizo" kuhamia chama tawala na wa 4 kwa muda wote

    Napenda tu kuwakumbusha wanasiasa na wananchi kwa ujumla kwamba endapo Katibu mkuu wa sasa wa Chadema mh Mnyika atafanikiwa kuhamia CCM basi atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu mfululizo kufanya hivyo. Lakini pia atakuwa ni Katibu mkuu wa 4 katika orodha ya wanachama wa Chadema waliowahi kushika...
  11. B

    JamiiForums Tanzania CCM Mbeya yalaumiwa kwa kukosa utaifa

    May 15, 2020 MWASISI wa shirikisho la Vyuo na vyuo vikuu, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Amani Kajuna amesema Jimbo la Mbeya kuendelea kushikiliwa na chama pinzani ni kutokana na baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM kuweka...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA mnaohamia CCM, huku hakuna kuandikiwa hotuba, hoja wala maswali itawalazimu mjifunze kutema " madini"

    Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema. Kuna wakati...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA mnarudia Makosa ya 2015

    Nakumbuka Maxine Mello akitoa tathmini juu ya mchango wa media katika uchaguzi 2015 aliweka wazi kuwa CCM Ilitawala media na kusambaratisha wapinzani. Kuelekea October 2020 sijaona juhudi za dhati za chadema Kukamata kiungo yaani media. Japo ilionekana kuzidiwa na CCM Chadema walikuwa na nguvu...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ya hovyo, Bunge la hovyo na Mahakama ya hovyo. Tumefika hapa kwa CCM kwa kuiba kura na kumlazimisha kuwa rais

    Tuliambiwa hapa kazi tu. Imekuwa kinyume. Serikali hii ya Magufuli inaendelea kukopa pesa kwa matumizi yasiyo sahihi, kuna miradi inaendelea kufanywa bila idhini ya hilo bunge dhaifu la Ndugai. Huyu bwana naye amekuwa kichekesho. Rais amekimbilia Chato wiki ya 7 bila ya maelezo ya kutosha (Kuna...
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM ina wanachama zaidi ya milioni 15 lakini bado inachukua wapinzani na kuwapa ubunge, shida ni nini?

    Hili swali nimemuuliza kada mkongwe mzee Mgaya lakini majibu aliyonipa yamenitatiza kidogo, amedai huenda CCM kuna Binadamu wengi lakini " watu " ni wachache. Kwa kunifafanulia amesema binadamu huzaliwa lakini mtu hutengenezwa. Mdau wa siasa wewe unalionaje hili la wapinzani kuhamia CCM na moja...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa madiwani ACT Wazalendo ahamia CCM

    -Jimbo tutalichukuwa.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunaona sana tu, tena sisi wengine ni CCM wenzenu!

    Inasikitisha sana sana. Kuanzia Mkulu wa Nchi, Spika, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Sirikali, Mkuchika wa Utumishi, Waziri anayehusika na masuala ya kazi. Hawa wote wamejaa ukomoaji. Wanaendesha uongozi wa ki-imla. Wakati Mkulu akidai ananyoosha nchi wananchi wananyanyasika hasa. Hawa wengine...
  18. JamiiForums Tanzania Swali: Hivi nini kitafuata baada ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa na wabunge wa CCM tu?

    Habari waungwana, Huhitaji kuwa na Degree ya Political Science kuamini hili. Kwa hakika kabisa majimbo yote Tanzania bara yanakwenda kuchukuliwa na CCM kwa gharama yoyote. Ninaposema kwa gharama yoyote nadhani mmenielewa. Labda tu Rais kwa sababu zake yeye mwenyewe aamue kuchagua baadhi ya...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM. Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana. HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...
  20. JamiiForums Tanzania CCM Imepoteza dira, haina hoja tena

    Eti wangepewa muda wajitetee! Majibu ya kujitetea kwa Membe yako wapi? Lissu alijitetea wapi? Nasari alijitetea? Meya wa Jiji mpaka anafungiwa ofisi!, Meya wa Iringa Je? Meya wa Ubungo je? Ccm mmepoteza dira ni chama ambacho hakina hoja mbele ya umma. Naunga Mkono Mbowe Safisha Chama bado kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…