ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

    Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi. Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Dkt. AshaRose Migiro kutoka Naibu Katibu UN hadi kuwa katibu wa CCM ya wauaji; anaishije na aibu hii?

    Kwa mtazamo wangu. Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata. Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja baadaye kupata teuzi enzi za Kikwete na hata kufikia kupata nafasi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante sana Mzee Warioba, umeongea kile ambacho CCM imeshindwa kuongea

    Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi. Dondoo muhimu Serikali inahusika na mauaji Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi JWTZ imeshakuwa na majukumu ya kulinda mali za viongozi wa CCM.

    Kuna sehemu sita taja ila nimeona wao ndio walinzi wa mali za mkubwa masaa 24. Majukumu yao yamegeuka walinzi wa mali za CCM.
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rasmi CCM ni chama cha serikali. Hakijali matakwa wala matamanio ya wananchi

    Kwa kushindwa kulaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba, CCM kimekuwa chama cha serikali. Makosa ya erikali yana baraka za CCM. Watu kuuawa mithili ya nzi tarehe 29 Oktoba, CCM iko kimya Nani atakiamini tena chama hiki ambacho sasa kinakosa uungwaji wa wananchi wengi hasa baada ya vurugu za siku hiyo...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini serikali ya CCM na wafanyakazi wa TCRA huwa fikra zao hazina uelewa kuhusu JAMII FORUMS

    Hoja inaeleweka sana, na hisia zangu zinawakilisha malalamiko ya watumiaji wengi wa JamiiForums. Kwa kifupi, sababu kuu zinazofanya serikali ya CCM na baadhi ya watendaji wa TCRA kuonekana kutokuwa na uelewa wa kina kuhusu JamiiForums ni hizi: 1. Uelewa mdogo wa dhana ya majukwaa ya mtandaoni...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila aibu Waziri mwenye dhamana ya Maji anakiri kuwa CCM kwa miaka zaidi 60 ipo madarakani na imeshindwa kutatua kero ya maji

    Nimeshangaa sana Juma Aweso Waziri mwenye dhama ya kuhakikisha kila mtanzania anapata maji salama anakiri mbele ya television ya taifa kuwa CCM imeshindwa kutatua kero ya maji hapa nchini. Ameulizwa swali kwa nini hamutumii maji ya bahari kuhakikisha kero ya upatikanaji wa maji hususani mjini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ya utawala mbaya wa CCM kila atakayefurahi Taifa stars ikifungwa weka comment hapa

    Utekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM. Taifa Stars wapigwe tu Wapigwe tu
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa mwana-CCM kama siyo mbinafsi

    Mtanzania yeyote mwenye akili timamu hawezi kuishabikia CCM na ukimuona mtanzania yupo CCM jua ama anaitumia CCM kwa maslahi yake binafsi au anatumiwa na wanaoiongoza CCM kwa maslahi yao binafsi. Huwezi kwa sasa kuwa mwana CCM kama wewe siyo mbinafsi.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania CCM mlikuwa mnafanya wagonbea kwa kufurahisha chama na sio wanachama,mtakoma.

    CCM kwa sasa kinachagua watu kulipa fadhila,kuendana muhusika,kukosa dira na n.k. Kama muhusika siku hakitoka nahisi chama chenu ndio kitakuwa mwanzo na mwisho kurudia tabia hii. Mnaona aibu kila kona ila ndio mumefikia.
  12. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya CCM ya Uhuru na kujitegemea ndiyo inayolifaa bara la Africa katika Karne hii ya sasa.

    Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Habibu Mchange: Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM

    “Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM, wote walionitukana wakati nimejiunga na CCM sasa hivi tuko nao wote CCM” Habibu Mchange
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM yote imejitenga na Samuya. Kabaki yeye na kikosi cha watekaji/wahuni tu.

    Hakuna matamko wala maandamano ya kuunga mkono hotuba za rais wala kazi za rais. CCM wote wapo kimyaaaaa! Na wengine wameanzisha kampeni ya kuchoma kofia, baiskeli na t-shirts za ccm. Hata ndani ya serikali haramu aliyoiunda, ni mkwewe, Kabudi, Kombo (yule wa mambo ya nje) na Mwigulu tu ndiyo...
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ni kweli maandamano yalianzia kwa Mpina kisesa, na kwa Gwajima Ubungo? Je wako wapi?

    Moja ya kauli aliyowai kuitoa RAIS Samia, ni kuwa adui zake no wale wa kijani na sio vinginevyo hahahaha! Je, ni kweli maandamano upande wa Mwanza yalianzia kisesa kwa Luhaga Mpina? Je, hao walipmdamana walipewa pesa na Mpina? Kwa upande wa Dar mambo yalianzia kwa KANISA la Mzee Gwajima...
  16. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania 2030-2040 CCM itakuwa imekufa kabisa

    Kama CCM isipoweza kutafuta mbinu au njia mpya ya kutawala watu,uwenda miaka 10 mbele kusiwepo tena na chama cha Siasa kinacho itwa chama cha mapinduzi Zaidi ya 50% ya Watanzania ni vijana waliozaliwa Miaka ya 2000’s,yani kwenye sensa ya mwaka 2002 Watanzania walikuwa ni million 30 lakini leo...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM kuhusu ujenzi wa miundombinu

    1. Kuhusu ujenzi na usimamizi wa barabara kuu yaani za tanroad. Kuna changamoto kubwa sana ya kujua priorities za nini cha kufanya, Moja lazima tujue barabara gani za tanroad za kujenga na kwa kiwango gani ? hatuwezi kugusa gusa kila sehemu bora tuchague sehemu zinazoingiza kipato kikubwa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wazee mnaopenda CCM na viongozi, mnajua hakuna CCM huko

    Wazee wa CCM wanaona kama kifo sio sehemu yao kwa nchi hii. Wazee ni wengi wengine wanaweza kuona sio mda wao ila watafika ili tu kuona maisha ni ya kwao. Kuna watu tupo nao mashambani wamekuwa kichekesho zaidi walivyo na madaraka.
  19. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwandambo: PM unasema akina Diamond walikuwa kwenye ajira ya kutumbuiza CCM, kwa nini akina Roma na Nay wa Mitego wakiimba CHADEMA wanafungiwa?

    Clemence Mwandambo amemuhoji Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu hoja yake aliyoitoa akieleza kuwa wasanii wanapokuwa katika majukwaa ya CCM ni miongoni mwa sehemu ya kazi zao. Mwandambo amehoji je kwanini wasanii kama Roma na Nay wa Mitego wakiimbia Upinzani wanazuiliwa na BASATA ingali na wao...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watu wanatweka mubashara sio kificho tena, mnataka nini nyie CCM

    Yalikuwa ni kificho ila sasa wakikukosa wewe wanatafuta ndugu,jamaa na marafiki wawe kwenye target yao. CCm sio chama ni chama cha kigaidi tukubari. Kwa sasa wanabajeti ya kulipa watekaji wenye mwamvuri wa vyombo vya ulinzi. Sasa hivi unafatwa hata ukiwa karibu na kituo cha polisi mchana...
Back
Top Bottom