ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Samia atosha tukutane2030

    Polepole amechanganyikiwa anapoona mipango yao imefeli. Walitaka wajumbe wa CCM waseme uchaguzi urudiwe wampitishe Gwajima

    Wajumbe wa CCM walimpa Samia ushindi kwa 100%. Mlikuwa mnasambaza video ile jamaa anasema mgombea (Rais Samia )atoke chumba cha kupigia kura mukiwa na lengo la kuuaminisha umma kuwa Samia hakubaliki na wajumbe. Samia honestly alisema kama hawamtaki wamkate tu mbele zake hana shida . Wote 100%...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CCM Dodoma: Hatuwasafirisha wananchi kwenye mabasi kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni, wanajitokeza kwa hiari yao

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Jawadu Mohames amepinga madai ya baadhi ya wanasiasa na wanaharakati kwamba chama hicho kimekuwa kikiwabeba wananchi kwa mabasi na kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni ili kuonyesha idadi kubwa ya wafuasi. Jawadu amesema wananchi...
  3. Blender

    Msikilize BaBa Aminata, afunguka siri nzito

    Zakuambia changanya na za kwako. je kwanini ni kipindi hiki za lalasalama. CCM wana wasiwasi kuwa wananchi watasusuia kupiga kura, Na muona baba aminata akiilaumu chadema kuwa ni wakaidi na wasio kuwa na adabu. Kadri upepo unavyopuliza ndivyo uchi wa kuku unavyoonekana...
  4. Andromeda Galaxy

    Uhuni wa CCM ni mazalia ya mfumo wa kijamaa uliosisiwa na Nyerere

    Ipo wazi sera ya Ujamaa aliyoasisi nyerere ndiyo iliyozaa Chama ovu kisichojua misingi ya demokrasia na kilichojaa rushwa, na udikteta wa kiimla, ni wazi nchi zote zilizokulia katika mifumo ya kijamaa Zina mifumo ya kiimla au kidikteta hasa katika ugawaji wa madaraka, Pamoja na mazuri yake ila...
  5. McLaren

    GE2025 Nchimbi: Mwambieni Mpina arudi CCM haraka. Akirudi nitampokea mwenyewe

    Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpiga kurejea CCM haraka. Hivyo, amewaagiza wananchi wa Kisesa mkoani Simiyu kumfikishia salamu hizo Mpina, kwamba siku ya kurudi atampokea mwenyewe ( Dk. Nchimbi) na...
  6. Parabolic

    GE2025 Ahadi za CCM zinavyobua mjadala

    Tangu Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipozindua kampeni zake za uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 katika uwanka wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kuhusu ahadi zinazotolewa na mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan. Miongoni mwa ahadi zilizotolewa na...
  7. M

    Shida ni Facts au nini? Kama Rais Samia alisema uchumi wetu ni zaidi ya USA, CCM wakaitikia ndiyoo..! Akisema gesi ya Cuba ni milioni watabisha?

    Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi wetu kwa sasa ni mzuri kuwashinda hata wamagharibi na Wamarekani watashindanaje na hoja za polepole...
  8. chamilo nicolous

    CCM mkubali tu:- Ukweli, Haki na Uhuru lazima vitafutwe

    Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi? 1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa atajibu nini?? 2: Nikimuuliza Mh Samia tuko wapi na unataka kutupeleka wapi je utakuwa na jibu!! 3: Hoja...
  9. B

    Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao? Polepole kasema mengi yenye...
  10. L

    Watanzania Wasema wangeandamana na kugoma kabisa Kushiriki Uchaguzi kama CCM isingempitisha Rais Samia Kugombea Urais.

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu. Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
  11. Elius W Ndabila

    Umadhubuti wa CCM unategemea upinzani imara

    Udhaifu wa vyama vya upinzani nchini unatutisha CCM wajibu mkubwa sana wa kuwa kiongozi na mhimili mkubwa na wa pekee wa umoja, maendeleo na ustawi wa Watanzania wote, hata wale ambao siyo WanaCCM. Hilo ni jambo la kwanza muhimu la kuzingatia tunapotafakari haya maneno ya Mwalimu Nyerere...
  12. tonicimmobility

    GE2025 Nchimbi: CCM Itahakikisha Katiba Mpya inapatikana

    Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya. Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba...
  13. maganjwa

    CCM inaweza kuendelea kutawala?

    Kama Kuna wakati ccm imebanwa kutoka ndani ukiacha upinzani ni wakati huu. Mimi najiuliza kama wakiendelea namna hii na sioni kama wanaona hatari inakuja mbele yao. Je wakichukua Dola kama walivyokaza watatawala nchi ya aina Gani? Maana wamekataliwa kabisa na watanganyika na wanaforce kabisa...
  14. M

    Ni kitu gani kitawafanya watanzania kuondoa uoga na kuungana kuukataa uongozi wa CCM?

    Watanzania bado tunaogopa. Zaidi ya miaka 60 tumewaamini, tumewavumilia, na tumewapa mamlaka ya kutuongoza. Lakini mpaka leo hali za maisha ni ngumu, ufisadi umetamalaki, rushwa imekuwa mfumo wa maisha, vijana hawana ajira, huduma za jamii ni dhaifu huku wakizidi kujiongezea mishahara na posho...
  15. Idugunde

    Sijaona MwanaCCM wa kumjibu Polepole. Mtu Kamwaga anajidhalilisha. Makada wa CCM hawajibu hoja wanamshabulia Humphrey

    Jibu hoja kwa hoja. Hii ndio kanuni ya kulumbana dunia nzima. Mfano Polepole ameeleza kinagaubaga. Angela Kiziga alifanya ufisadi wa bil 40. WanaCCM wajibu kama hakuna ufisadi huo. Na kwa nini afanye kazi ofisi ya rais. Gesi huko Cuba zinauzwa kwenye maduka serikali kama ilivyokuwa enzi za...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Dkt. Nchimbi: CCM kugharamia matibabu ya saratani na figo ndani ya siku 100 za kwanza madarakani

    Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewakumbusha Watanzania kuhusu ahadi za Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizoziahidi kutekeleza ndani ya siku 100 baada ya kuapishwa endapo atapewa ridhaa ya kuongoza tena nchi. Amesema hayo...
  17. and 998 others

    REDETI tupeni Tafiti za kupaisha Wagombea wa CCM

    Mmesahau wajibu wenu wa kusifu Wagombea wetu CCM kipindi cha Uchaguzi kwa asilimia (%). Mnakwama wapi?
  18. USSR

    Biharamulo kuwa kituo kikuu cha kampeni za CCM mkoa wa Kagera

    BIHARAMULO KITOVU CHA KAMPENI ZA CCM KAGERA Hapa Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi anasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo ndio kitakuwa kituo kikuu cha kampeni cha Chama Cha Mapinduzi katika kampeni za mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi...
  19. Tlaatlaah

    Kama CCM ikishinda, ni chama kipi cha upinzani kitaibuka nafasi ya pili na ya mwisho kwenye uchaguzi ?

    Katika vyama vya siasa 17 vyenye wagombea urais waliothibitishwa na tume huru ya Taifa ya uchaguzi kushiriki uchaguzi mkuu wa October 29,2025, ni wazi CCM itaibuka mshindi wa jumla kwenye urais, ubunge na udiwani, kwa namna ilivyojipanga na kujiandaa. Kama mdau wa jukwaa hili makini la siasa...
  20. Lord Denning

    Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi. Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised. Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi...
Back
Top Bottom