GE2025 CCM wanashindana na nani na kwanini watupotezee muda na pesa?

GE2025 CCM wanashindana na nani na kwanini watupotezee muda na pesa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,708
1761248165413.png

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala.

Kinashiriki uchaguzi sijui uchakachuaji sijui uchafuzi, wala sijui.

Kimelazimisha mgombea wake wa urais hata kwa kuvunja na kuvuruga kanuni zake chenyewe.

Kinapoteza fedha na muda kutupigia makelele kwa kisingizio cha kampeni za uongo na vitisho.

Kinadai kitadumisha amani ambayo kimeivunja kwa miaka.

Kinatuaminisha kuwa kitatenda haki wakati ni bingwa wa kudhulumu, kuteka, kupoteza, na kuua.

Kinajiridha na kutaka kuturidhisha kuwa kinayofanya ni sawa.

Kinasifiwa na kujisifu hata kinapostahili kulaumiwa na kulaaniwa!

Kimetumia serikali zake kuandaa na kusimamia uchaguzi wake na si wa wote.

Kinatumia mahakama zake kuwaengua na kuwafunga wapinzani wake.

Kinatisha wananchi.

Kinajivua nguo kikidhani kimevaa,

Kinaturudisha nyuma kikituaminisha kinatupeleka mbele na kusikojulikana.

Kinajinasibu kama chama cha wananchi wakati ni cha watawala.

Kinatumia fedha za umma kugharimia kampeni zake

Kinatumia wafanyakazi wa umma kuiba haki ya umma.

Yote katika yote, CCM inashindana na nani?.
 
Ninaipa asilimia 60% CCM kushinda uchaguzi huu hakika Samia kafanya kampeni nzuri anaweza kushinda Urais tumuombee
 
Ninaipa asilimia 60% CCM kushinda uchaguzi huu hakika Samia kafanya kampeni nzuri anaweza kushinda Urais tumuombee
Usemayo ni kweli. Kwa kila chawa, funza na kunguni, Samia 'katenda' miujiza haijawahi kutokea. Kkkkk!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Waonyeni kabla ya 'kuwatembelea' na kitu inayong'ara na kutema mooshie
 
Back
Top Bottom