Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Siombi msamaha. Urais wa Samia, chama chake na nchi vimejaa damu.
Ni ubatili.
Ni ukatili,
Ni unyama,
Ni ujambazi.
Ni udikteta.
Ni dhuluma
Ni mauajai,
Ni unyang'anyi.
Je, Samuya atatawalal damu?
Je, damu isiyo na hatia iliyomwagwa itawaacha?
Je, wahanga na ndugu zao na taifa visamehe na...
CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii nchi kote ni lazima iwajibike na kufutwa na jeshi. Mateso yote yameletwa na CCM
CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo.
Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
Ikumbukwe, MADAI YA WAANDAMANAJI ni:
1. Uchaguzi 2025 ufutwe
2. Katiba Mpya
3. Tume Huru ya Uchaguzi
4. Waliotekwa waachiliwe huru
4. Kesi za kubambikia watu zifutwe
Kama pamoja na nguvu kubwa inayotumika kuwatisha wananchi bado wananchi wanatoka kila kukicha maana yake ni kuwa risasi hazijawavunja mioyo.
Nakumbuka maneno ya mwandamanaji mmoja miaka ile kule Morogoro..
"Polisi wanajifunza kuua na sisi tunajifunza kufa". Watanzania sasa wamehitimu...
Inawezekana kwa Sasa CCM ndio inaongoza kuwa na Wanachama Wajinga Duniani.
Kamati kuu na Halmashauri kuu tokeni mseme Samia akae pembeni nchi ipone, msibashiri kuwa atabaki madarakani awaue wasaliti, Samia ataumia beyond repair first akiendelea kushupaza shingo.
CCM tokeni kabla ya hoja ya...
CCM ilishajifia kitambo tangu mwaka 1995 ilizoea kushinda kwa kutumia vyombo vyao vya Dola na kupandikiza mimamluki mi Double Agents.
Kwenye vyama vikubwa vya upinzani nchini pamoja na kusajili vikaragosi vyao 17 CCM inavyoviita ni vyama vya upinzani. Vinavyolindwa na tume ya uchaguzi...
Nasema kwa mara ya mwisho.
JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais.
Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu.
Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
Hili swali hata mtoto mdogo angelijibu kwamba inchi ilikuwa imebakiwa na masaa tu ya kulipuka,kiburi utekaji,dharau mahakamani hasa kesi ya Tundu Lissu na ufisadi ulishawachosha wanainchi lakini watawala walizidisha kiburi
Kinachofwata sasa yatakuwa mauaji kwa famiria zao eiza iwe wao au huko...
Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
Watu na Washauri wa Samia nini msichoelewa na kuona
Jeshi limesema sasa kwa njia za Kiraia, haliko tayari kufanya kazi na Samia.
Msione Aibu, Rais hana nguvu bila kuungwa mkono na Jeshi, simple and clear.
Tumechoka na huyu Samia na wapumbavu wenzake, Huyo hana hata ile elimu ndogo ya form IV, amefeli kama walivyofeli police wake wauaji, wafiraji na wabakaji. Leo mmetutambua kuwa enough is enough, ameshaharibu na hatutaishia hapo, serikali ya CCM imetunyanyasa sana.....tumechoka.
Niwatahadharisha...
Nawashauri CCM na Samia kusitisha uchaguzi, kupendekeza iundwe serikali ya mpito ikiongozwa na jaji Warioba, kuwaomba radhi watanzania na kutubia ili mambo yaishe. Mmeshindwa, mmekataliwa na mmeona wenyewe. Shukrani kama mtasikiliza na kuzingatia ushauri huu mfupi na muhimu katika wakati huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.