KWANINI NISIICHAGUE TENA CCM?
Na, Robert Heriel
Ni lazima tuIchague tena CCM kwa kura nyingi za kishindo. Sisi wanaume, wake zetu, vijana wetu wote tutamchagua. Hatuwezi kuchagua vyama vingine kwa sababu haviwezi kufanya kama CCM ilivyofanya;
ZIFUATAZO NI SABABU KUNTU ZA KUICHAGUA TENA CCM...