Na Wewe pia utakuwa tayari kama hao hao wana CCM wakikuita 'Kukuchamba' katika Vikao vya ndani ya Chama?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
"Nitoe wito kwa chama changu cha Mapinduzi, watumie vikao badala ya kuwa wanasemana hadharani huo sio utaratibu wa chama cha Mapinduzi"-Mhe. Dk. John Magufuli - Mgombea Urais wa CCM.

Radio One Stereo / ITV Tanzania.

Kama wana CCM hata Wewe ( Mwenyekiti ) tu umeambiwa kuwa 'Wanasemana' vibaya basi kwa wenye 'Akili' tumeshajua Chama Kimegawanyika.
 
Mkuu GENTAMYCINE miaka ya early 80's hii andishi lako limenikumbusha hii stori ......Mbona unakanyaga watu kama majani...wa pili Mbona wewe unasema...watatu heri mimi sijasema:)
 
Mkuu GENTAMYCINE miaka ya early 80's hii andishi lako limenikumbusha hii stori ......Mbona unakanyaga watu kama majani...wa pili Mbona wewe unasema...watatu heri mimi sijasema:)

Tena kwa jinsi CCM ya sasa ninavyoiona na ninavyokutana na 'Waandamizi' kabisa huenda Siku wakamchoka na kumuita ili 'Wamchambe' bila Aibu.
 
Tena kwa jinsi CCM ya sasa ninavyoiona na ninavyokutana na 'Waandamizi' kabisa huenda Siku wakachoka na kumuita ili 'Wamchambe' bila Aibu.

Sijui itakuwa lini watakuwa na huo ujasiri kwani huyu jamaa ni jeuri mpaka watoto wa mjini waliomba radhi...comrade AK ?
 
Back
Top Bottom