ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. N

    GE2020 CCM Tarime: Mtia nia Dittu Manko yuko Kenyamanyori anagawa Tsh. 10,000

    Mtia nia wa Ubunge jimbo la Tarime mjini, Ndugu Dittu Manko muda huu yuko Kata ya Kenyamanyori, amezungumza na wajumbe na kuwagawia rushwa ya 10,000 kwa kila mjumbe.
  2. GE2020 Hata CHADEMA wasiposhirikiana na ACT-Wazalendo, bado CCM itapigwa chini. Membe na Lissu “watakula vichwa vingi” vya wanachama wa CCM

    Wanajamvi, Kama heading ya uzi huu inavyojieleza, ni kwamba hakuna haja ya upinzani ku panic kabisa! Hayo ni ya wana ccm kuyafanya, na kamwe siyo upinzani. Wao ccm, kwani wamezuiwa kufanya siasa? Wamekuwa wakifanya kampeni toka awamu hii iingie madarakani. Wakati vyama vingine vikizuiwa kufanya...
  3. J

    GE2020 Polepole aongea na Waandishi wa Habari kuhusu mazingatio kwa wagombea wa CCM, aweka wazi ratiba ya uchukuaji fomu ya Wabunge na Madiwani

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole ataongea na waandishi wa habari kuanzia saa 10.00 jioni. Kikubwa ni nidhamu ya kuzingatiwa kwa watia nia ya kugombea Ubunge na udiwani kwa tiketi ya chama tawala yaani chama dume CCM. Baba Lao. Mkutano unafanyika katika ukumbi wa Jakaya...
  4. CCM ili kuokoa jahazi Bukoba Mjini Ubunge, Mch. King James atafaa

    Mimi si mzawa wa Bukoba ila nazijua vizuri siasa za Bukoba. Kwa sasa hivi CCM haina mtu wa kumtikisa mgombea ubunge wa CHADEMA Ndg. Chief Kalumuna. Nasema ukweli kabisa bila kuficha, Chief anatakiwa apambanishwe na vichwa vyenye nguvu ya ushawishi kama King James otherwise wanaCCM tujiandae...
  5. N

    Siri ya utitiri wa wanaCCM kujazana kugombea majimboni yatajwa

    Nimedokezwa na Mnec kutoka Zanzibar, kumbe Siri ya watu wengi CCM kurundikana kugombea majimboni ni wanataka au wametarget kupozwa na teuzi like Rc, Dc, DED, DAS na wadhifa wa mashirika mbalimbali ya umma. Ni kana kwamba wameshamjua huyu Rais kuchukua makada wa CCM kuwapa teuzi so wengi...
  6. Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania

    VYAMA MFU VYA UPINZANI KUITOA CCM MADARAKANI HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MILELE, ILA IKITOKEA HUO NDO MWISHO WA TANZANIA....Na Joseph Yona. MbagalaZmaHome yonapavea@gmail.com 0713802226 Kama ingetokea maajabu wananchi wa Tanzania wakafanya maamuzi ya kizwazwa kukitoa madarakani Chama Cha...
  7. J

    CCM tukumbushane majimbo yaliyotopea kwa umaskini baada ya kuongozwa na upinzani ili tuyakomboe tukianza na Rombo

    Ikumbukwe kuwa sasa tupo kwenye uchumi wa kati mdogo hivyo jitihada zinahitajika ili tuweze kupanda na kufika $4000 per capita. Hivyo niwaombe tuorodheshe majimbo maskini ili tuyafanyie mkakati maalumu bila kujali itikadi zetu na misimamo yetu ya kisiasa na kimaendeleo. Mimi naanza na jimbo la...
  8. CCM they used the word "Wanyonge" to deceive ignorant

    To be honest Hon JP, has already lost influence, so he used the Word " "Wanyonge" in order to find sympathetic .
  9. NCCR sasa ndiyo chama kinachohitaji kujiimarisha vizuri kupambana na CCM

    1. Ndicho kilichoanza harakati za vyama vingi- kwa kiwewe changu hata mimi nilisukuma gari la Mrema mwaka 1995, halafu siku moja pale Uhuru nilipaki gari langu sehemu ya Breweries ambayo almanusra nivunjiwe kioo cha gari kwa watu kuegemea gari hilo sehemu ambayo nilidhani ni mbali na mkutano...
  10. World Bank estimates Tz economy to grow by 2.5%, while CCM campaign gimmick states 5.5%

    UPDATE 1-Tanzania raises 2020 growth forecast to 5.5% from 4% -finance minister Nuzulack Dausen DAR ES SALAAM, June 11 (Reuters) - Tanzania now expects its economy to grow by 5.5% in 2020 compared with a previous estimate of 4%, finance minister Philip Mpango said on Thursday, after the...
  11. J

    GE2020 UDP yawahurumia CHADEMA kwa kujiita wapinzani, yawaomba CCM wawaachie walau majimbo mawili

    Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure. Cheyo amesema UDP inamuunga mkono Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu kwa 100% na ameiomba CCM iwaachie walau wabunge wawili watakaowapigania wakulima wa pamba...
  12. Comments za mitandaoni: Comment gani ilikufurahisha zaidi?

    Habari wanna JF. Mtu anapopost video, picha au andiko lolote mitandaoni lazima apokee comments tofauti tofauti, Kuna zingine nzuri, zingine mbaya na zingine za kufurahisha. Ni comment gani ilikufurahisha zaidi?
  13. J

    Nafasi ya John Komba imezibwa na wasanii zaidi ya 100 kuhamasisha uchaguzi CCM

    Kiukweli msanii John Komba rip mchango wake ndani ya CCM katika siasa na nyimbo za uhamasishaji hautasahaulika. Nimewafuatilia waimbaji wa sasa zaidi ya 100 bado sijamuona wa kuvaa viatu vyake japo kuwa Mrisho Mpoto anajitahidi. Kazi iliyokuwa inafanywa na Komba sasa inafanywa na wasanii wa...
  14. Hussein Mwinyi kukosa Kura zote za Zanzibar za Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) inafikirisha sana. Haki ya Wazanzibar kuchagua iko Wapi?

    Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar...
  15. Hongereni CCM kwa uchaguzi wenu, watu wana hasira

    Hasira za watu ziko hapa:- 1. Chama chenu kimetawala kutoka uhuru. Hivi mnaposema mmefanya maendeleo mnalinganisha na nani au chama kipi? Ninyi ni mapimbi lazima uwe na variable utonyeshe ni kwa ulinganifu upi utaonyesha kuwa kuna juhudi. Kinachowasaidia ni ajira za waliofeli kuingia idara ya...
  16. J

    Politics is a game of dynamics, Urais, Ubunge, Udiwani turufu ni CCM na TLP Tu, Siasa za Itikadi Tanzania hazipo tena! kikubwa mkono uende kinywani tu

    Wanasiasa hasa Wa Upinzani naomba mpitie huu Uzi kwa makini sana, MADA :"Politics is a game of dynamics,Urais,Ubunge,Udiwani turufu ni CCM na TLP Tu,Siasa za Itikadi Tanzania hazipo tena! kikubwa mkono uende kinywani tu" Jana nimefuatalia kwa kina Mkutano Mkuu Maalum Wa CCM uliofabyika Jijini...
  17. K

    GE2020 Ongezeko la watia nia CCM 2020 mfano jimbo la Rorya

    Kipindi kinachohusu somo hilo hapo juu kinarushwa muda huu na katika mahojiano yao wametoa mfano wa Jimbo la Rorya kuwa na Watia nia zaidi ya 60. Mimi nijikite kwenye ongezeko la watia nia katika Jimbo la Rorya. Jimbo la Rorya Mbunge wetu ni Lameck Airo kwa kifupi Lakairo. Nitatoa sababu...
  18. K

    Kuhamasisha watu wavae Barakoa kujikinga na Corona wakati wewe huvai si sahihi

    Dalili mojawapo ya binadamu mpumbavu ni pale anapokuwa anafanya matendo kinyume na uhalisia wake akiwa na hofu dhidi ya mtu mwingine au kujipendekeza kwa Mtawala wake. Nimetumia neno mpumbavu na sio mjinga kwani mjinga ni yule mtu asiye na uelewa juu ya jambo fulani lakini akieleweshwa...
  19. J

    John John Mnyika kwanini hajashiriki mkutano mkuu wa chama Tawala yaani CCM?

    Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba. Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko? Maendeleo hayana vyama
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…