ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Wanahabari wapata Ajali wakitoka kwenye sherehe ya CCM

    Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Iringa wamepata ajali ya gari leo Februari 5, 2026, wakati wakirejea kutoka kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), yaliyofanyika kimkoa katika Kata ya Idodi, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Kwa mujibu wa taarifa...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 49 ya CCM: Imebaki kutegemea Dola kubaki madarakani

    Chama cha Mapinduzi kinaadhimisha miaka 49 tangu kilipoanzishwa Februari 5, 1977 baada ya kuunganishwa vyama vya TANU iliyokuwa Tanganyika na ASP iliyokuwa Zanzibar. Kwa hiyo CCM ni zilezile TANU na ASP zilizopambana wakati wa ukoloni. Ni miongoni mwa vyama vikongwe vya ukombozi barani Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna wana CHAUMMA ambao wanaomba kukubaliwa CCM

    Habari za uhakika kuna waliokuwa Chadema wakaenda Chauma sasa wanaomba kwenda CCM kupumzika huko maana Chauma hakuna kilichobaki kwao. Hali si nzuri kifedha maana zile pesa ambazo walikuwa wanapewa that time zilishasitishwa na chama kimekuwa hakina tena mvuto na wao hawana namna ya kuishi tena...
  4. JamiiForums Tanzania Channel Ten Maktaba: Historia ya African Association 1929, TANU 1954 hadi CCM 1977

    https://youtu.be/ewcNFGSVWAw?si=DKrusLtx0EUpYPa5
  5. JamiiForums Tanzania CCM na tume kutoa zawadi kwa watakaoshiriki kutoa ushahidi, rudisheni na maisha ya wapendwa wao basi

    Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao. Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29
  6. JamiiForums Tanzania Uwezi kuwa mpinzani, ukajiunga ccm UNAENDELEA na akili zako? Mtatiro amekuwaje hivyo hivi?

    Leo mtatiro anawaamisha watumishi walio kuwa na shida ya ubadhifu na matumizi mabaya ya MADARAKA alafu mtatiro anaamua kama jitu la CCM na sio Cuf? Hivi Mtatiro Ujui ukifa UTAKUTANA maelf self?Ujui kama lipumba yupo Alie kujenga?kweli ccm imekubadili akili? Naumia sana WIZI ULIO kuwepo...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini CCM inataka kuongea kwa niaba ya wahanga wa Oktoba 29?

    Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa? Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa Kwa haraka? Kwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu...
  8. JamiiForums Tanzania HOJA Wajua Tanzania Haijawahi Kuwa na Katiba ya Wananchi?. Katiba Hii Iliyopo ni ya CCM!, Pongezi Katiba ya Samia, Ndio Katiba ya Kwanza ya Wananchi!.

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
  9. JamiiForums Tanzania John Heche ashiriki mazishi ya Mama Robahi Samson, akemea utekaji na mauaji yanaendelea

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), ameshiriki mazishi ya Mama Robahi Samson yaliyofanyika leo tarehe 3 Februari 2026 katika Kata ya Sirari, Kijiji cha Buriba Sirari wilayani Tarime Mkoa wa Mara. Marehemu ni mama mzazi wa kada wa CCM, Sinda Geteba, aliyetekwa. Sindar Ghiteba, ambaye...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Katavi: Unaazimisha pikipiki ya Samia kwa Upinzani halafu tukusamehe?

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta, amewataka vijana nchini kuwa na uchungu wa kukilinda na kukitetea chama hicho, huku akionya dhidi ya tabia ya kubeza au kuwasema vibaya viongozi waliopitishwa na vikao halali. Akizungumza leo, Februari 3, 2026, katika...
  11. JamiiForums Tanzania CCM kusuka au kunyoa kwenye maridhiano

    Wakati Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya uchaguzi Mkuu ikiendelea kukamilisha kazi yake ya miezi mitatu, picha inayojionyesha kwa sasa, CCM ina machaguo mawili tu, ama kuiendesha nchi kidikteta au kukubali kuachilia mabavu yake na kuwapa nafasi wapinzani. Kuna kila dalili...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Munde Tambwe, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) afariki dunia

    Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa. Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa mbunge wa viti maalum kutokea mkoa wa Tabora.
  14. JamiiForums Tanzania Ndele: CCM inakerwa sana na Ufisadi, ubadhilifu wa mali za umma, na inachukia uonevu wa watu

    “CCM inakerwa sana na Ufisadi, ubadhilifu wa mali za umma, na inachukia uonevu wa watu”Mjumbe Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa NEC Mkoa Wa Mbeya Mwaselela Ndele. Video: Mbali TV
  15. JamiiForums Tanzania Dhahabu yetu iko chini ya CCM ama Benki kuu?

    Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu? Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu? Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
  16. JamiiForums Tanzania Wapinzani walitaka kumlipa Rais Samia malipo ya ubaya waliofanyiwa na Magufuli 2015- 2021

    Unaposema mnyama fulani ana akili sana maana yake ni kwamba mnyama huyo ana uwezo wa kutunza kumbukumbu ipasavyo. Kinyume chake pia ni kweli. Hii pia iko applicable kwa watu. Kama huna kumbukumbu basi wewe ni tahira. Kuna watu si Matahira ila hujifanya matabira kwa makusudi. Magufuli ndiye...
  17. R

    JamiiForums Tanzania CCM walitoa ahadi nyingi sana za kujenga miundombinu ya kisasa kipindi cha Uchaguzi, wamefikiria kuhusu madhara yake kwa mazingira?

    Ahadi za ujenzi wa miundombinu ya kisasa zilikuwa sehemu kubwa ya kampeni za uchaguzi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hata sasa hazina inatakwa kuuzwa ili kujenga miundombinu, pengine wanadhamira ya kukuza uchumi, kuboresha huduma za kijamii na kurahisisha usafiri na mawasiliano. Miradi kama...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Chadema mna document historia mnayopitià katikà utawala wa CCM

    Tafiteni historian mzuri, actually awe historian wa chama. Aweke rekodi madhubuti ya madhura mnayopitia. Kwa.mfsno, mna.list ya watu waliouawa na ccm / serikali wakipigania uhuru wa TANGANYIKA? 2. Matendo ya ukatili mliopitia 3. Historia ya chaguzi mlizopitia 4. Kufungwa jela mlikopitia 5. Etc...
  19. JamiiForums Tanzania Kiongozi yupi wa CCM akisema utaamini kasema UKWELI?

    Kati ya viongozi wa CCM unaowajua ni yupi akisema jambo kuhusu Taifa letu la Tanzania utaamini kuwa anasema ukweli?
  20. JamiiForums Tanzania CCM waliongozana na Kabudi kwenda kwa Papa walijifanya wamesafiri kutoka Tanzania kwenda kupeleka malalamiko yao, WOTE waliishia mapokezi

    Hawa ni wahuni wa CCM Jana waliongozana na Kabudi kwenda kwa Papa walijifanya wamesafiri kutoka Tanzania kwenda kupeleka malalamiko yao, WOTE waliishia mapokezi waliulizwa mmewasiliana na ofisi ya TEC Tanzania wakasema HAPANA wakaambiwa hatuwezi kuwasikiliza, walijua kwa Papa ni Buza kwa Mpalange.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…