ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Asasi za kiraia zaiomba CCM ikubali, tume huru ya kuchunguza kupotea kwa raia

    Asasi Za Kiraia (AZAKI) zaidi ya 300 nchini zimewasilisha mapendekezo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikitaka kuundwa kwa tume huru ya kiraia kuchunguza matukio ya utekaji na kupotea kwa watu, pamoja na serikali kusaini mikataba ya kimataifa ya kulinda watu dhidi ya kupotezwa kwa kulazimishwa...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Azaki zaishauri CCM kuunda tume ya kuchunguza utekaji

    Si dhani kama wanashaurika hawa watu? Ila mimi najuwa wanafahamu kila kitu kinachoendelea na wanauwezo wa kukomesha kabisa hata bila kuundwa hiyo tume ambayo itachukua kodi za wananchi. =================== Asasi Za Kiraia (AZAKI) zaidi ya 300 nchini zimewasilisha mapendekezo kwa Chama Cha...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania MwanaFA aposti wimbo wa Juma Nature unaozungumzia muungano wa CCM na CUF

    Nadhani hali ni tete, leo MwanaFA amepost wimbo wa Juma Nature ft Prof Jay. Huu wimbo ni wa zamani lakini wameuboresha kidogo ili kwenda sawa na siasa za sasa. Ikumbukwe wimbo huu ulikuja baada ya fujo na sio kabla. Kumuona FA amepost nimestuka maana unazungumzia masuala ya maandamano. Kwa...
  4. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tumeshashinda Uchaguzi huu

    Mapema asubuhi Tu. Tunaandaa sherehe ya Uapisho Uwanja wa Amani
  5. M

    JamiiForums Tanzania John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM hawawezi kutupa Katiba Mpya nzuri

    Nasema hivi kupitia sababu zifuatazo Katiba hii ya mwaka 1977 ilitengenezwa na mwalimu julius Nyerere, ila cha ajabu miaka ya mbeleni kwa nyakati tofauti Nyerere amekuwa akionyesha mapungufu ya hii katiba ila hakujaribu kuibadilisha sanasana aliiendelea kuifanyia amendment mpaka anafariki...
  7. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Watu wapata ajali ya Trekta wakiwa wanaenda kwenye kampeni za CCM

    Ivi una jua kuna watanzania wanazingua sana unakubalije kupanda TREKTA halafu wenzako wamepanda V8 na viyoyozi ndani wewe na vumbi lako kwenye TREKTA na ka Tsh. 10000 uliyoahidiwa hii ni mbaya JF tusambaze elimu kwa watanzania ambao bado wamelala. ====== CCM mnabeba watu kwenye matrekta kama...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CCM kuchele

    MIMI NI MTOTO WA KADA WA CCM, KATI YA CCM NA CHADEMA KAMA NIKIAMUA LEO BILA UNAFIKI KUWA NA CHAMA NINAWEZA KUVUTWA ZAIDI KIHISIA NA CCM, ILA HILO HALINIFANYI MJINGA KUUNGANA NA CCM MTANDAO YA SAMIA, KIKWETE, ROSTAM, ANGELA KIZIGA, ABDUL NA KUNDI LA WATEKAJI NA WAUAJI LINALOFANYA MAIGIZO...
  9. braza bonge

    JamiiForums Tanzania Kama CCM wataendelea kubaki madarakani, Nini hatma ya mamia ya watu waliotekwa?

    Habari Wana bodi, kama tittle inavyojieleza, kuelekea uchaguzi mkuu tumeona mamia ya watu wakitekwa na kwa isivyo bahati, serikali ya CCM haijatoa ushirikiano katika hili jambo, aidha mgombea wao amechagua kukaa kimya. Je, watu ambao wanatamka kulinda utu wa Mtanzania kwa maneno tu bila vitendo...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Kagera: Kuna watu wanasema nasapoti ACT Wazalendo niseme wasiwadanganye. Nimezaliwa CCM nitafia CCM

    Mimi kaniacha hoi baada ya kusema hadi mwanae kama akihama chama cha CCM na kwenda upinzani basi yeye hatohusika naye! Yani kisa chama kweli kabisa unaikataa damu yako? ================ MKUU wa Mkoa wa Kagera, Hajat Fatma Mwassa, amekanusha madai ya kushiriki siasa katika Jimbo la Bukoba...
  11. Kiranga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura?

    Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura? Tuna siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Uchaguzi huu umegubikwa lindi la kukosa uhalali pengine kuliko uchaguzi mwingine wowote Tanzania. Hata mgombea wa CCM ameshutumiwa na mpaka kufunguliwa kesi kuwa kajipitisha bila...
  12. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Wachagueni Madiwani wa CCM, mkiwachanganya na wa vyama vingine mtajicheleweshea Maendeleo

    Akiomba kura kwa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge kwenye majimbo na Kata za Mkoa wa Rukwa leo Jumapili Oktoba 19, 2025, mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi kuwachagua wagombea hao na kutowachanganya na wengine, ili iwe...
  13. Criss

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbinu ya CCM yashtukiwa

    Ukitazama kwa umakini utagundua kuwa hakukuwa na sababu za msingi za kumkamata John Wegesa Heche. Sasa sababu ni nini? Wanatamani maandamano madogo ili kukwepeaha yale makubwa. Tusikubali . Jamaa kama kuna kitu wanaogopa ni maandamano ya pamoja ya Tanzania nzima ,lengo lao wapate kamaandamano...
  14. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Video: Tangazo la uchaguzi kama uchawi, Oktoba tunatoka hakuna mganga zaidi ya wananchi

    Amkeni watanzania Bongo Movie ya CCM imetoka Rami ebu watuache kidogo hahahahahahahahahaah
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ewe mwana CCM umeshindwa kupinga yanayoendele basi tambua unajenga chuki kwa Watanzania

    Kama wewe ni mwana CCM na umeshindwa kupinga yanayoendelea, Chuki waliyonayo Watanzania ni kubwa sana, kuna siku wataanza kuingia ndani ya nyumba zenu
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Jeshi la Polisi Tanzania, Kukamata watu na kulazimisha wajiunge CCM

    Salaam Jeshi la Polisi Tanzania, Linakamata watu wa Upinzani then linawalazimisha wajiunge CCM. Ukikubali wanakuachia na ukikataa hupatikani. Polisi wanakuja bila jezi zao za Polisi, wanakukamata(kuteka) na ndugu wakipiga simu wanakana kukukushikilia.. Baadaye wanakuambia kwanini unaunga...
  17. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yawaonya CCM Kigoma mjini, 'Msiharibu uchaguzi'

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kupitia kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini, David Rwazo, imetoa onyo kali kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kigoma baada ya Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Jimbo hilo kubaini vitendo kadhaa vinavyokiuka maadili ya uchaguzi vinavyofanywa...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Tunafurahi kwa ujio wa Rais Samia, Rukwa, ila tunachangamoto ya maji afanye atutue ndoo kichwani

    Wananchi Mkoani Rukwa wamepata hamasa kubwa kufuatia tangazo la ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa kampeni mkoani humo tarehe 18 na 19 Oktoba mwaka huu katika viwanja vya shule ya sekondari ya Kizwite...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vitisho vinavyotolewa na Majeshi na wanasiasa likiwemo himizo la kulinda amani ni ishara tosha Serikali na CCM wanayaogopa Maandamano!

    CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa. Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Election Predictions: Unaweza usiamini, Kura za ACT Wazalendo kwa Urais wa JMT, ni kwa Samia, Mgombea wa Urais wa CCM!.

    Wanabodi Mimi ni Mzee wa trends and analysis, trends and analysis ya kwanza ya uchaguzi huu ni hii Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to...
Back
Top Bottom