ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2020 Yaliyojiri Uwanja wa Kambarage Shinyanga: Dkt. Magufuli asema Miaka 5 haitoshi, mpimeni kwa miaka 10

    Leo kishindo cha awamu ya tano kitakuwepo uwanja wa Sabasaba Kambarage ambapo mgombea wa CCM, Dkt. John Pombe Mafufuli atakuwa jukwaani kunadi sera zake. Dkt. Magufuli: Miaka 5 haitoshi, nipimeni kwa miaka 10 MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  2. GE2020 Uteuzi wa Van Zeland kuwa Mgombea Ubunge Mvomero kwa upande wa CCM, haujatutendea haki wananchi wa Wilaya ya Mvomero

    Mvomero sio Wilaya kongwe,na kwa hiyo kimaendeleo iko nyuma sana.Wilaya hii ina matatizo mengi, ya msingi yakiwa upatikanaji wa maji,migogoro ya wakulima na wafugaji ambayo imedumu kwa miaka mingi sasa.Awamu zote zinaonekana kushindwa kabisa kutatua tatizo hili,sababu kubwa ikiwa viongozi kuwa...
  3. J

    GE2020 Je, Membe atapunguza kura za CCM au za CHADEMA?

    Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa 2015 Lowassa alipunguza kura za CCM na hivyo CHADEMA kufaidika. Mwaka huu ACT wazalendo ina mgombea urais mwenye nguvu zaidi ya yule wa 2015 naye akitokea CCM mh Bernad Membe. Tunajua kwa rekodi ya 2015 CCM tayari ina mtaji wa kura zaidi ya milioni 8 na...
  4. GE2020 Wapo wagombea wa CHADEMA ambao wakirudishwa na Tume basi kwa hawa CCM weupe moto utawaka. FA hamna kitu aisee

    Huyu mgombea wa ubunge Jimbo la Muheza kwa tiketi ya Chadema akirejeshwa na Tume na naamini atarejeshwa, basi kuna wana CCM nyeti zitaonekana waziwazi. Huyu Mwana FA ni mweupe mpaka anatia huruma, hapa ndipo ninapowaza Magufuli alitumia vigezo vipi kuwapitisha hawa utopolo. Ila na yeye si...
  5. GE2020 Wakati CCM ikinadi sera yao kuu ni kudumisha Amani na Utulivu, wao wenyewe ndiyo mabingwa wa kuivunja Amani hiyo

    Katika maandiko ya Biblia takatifu katika kitabu cha Mithali 14:34 kinasema hivi "Haki huinua Taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu. Kutokana na maandiko hayo na sera hiyo kuu ya CCM, wao wanafanya "vice versa" ya sera hiyo. Kwa kuwa haiwezekani kwa chama kinachodai kuwa...
  6. N

    GE2020 Kwanini CCM itashinda kirahisi sana

    1. Ina Watu wengi wenye mvuto. Hapa Unaweza kuona ambayo mtu kama Mwana FA anaweza kukusanya watu sawa na anaokusanya Lissu kwenye miji mikubwa. Sijui kama Salum Mwalimu atembee bila Lissu kama atapata watu tofauti na mtu kama Majaliwa, Mama Samia. Nk Hizi kampeni za CHADEMA viongozi wote wako...
  7. J

    GE2020 Bwege na Chaurembo wanaisambaratisha na kuifuta CCM mikoa ya Kusini

    Unaweza kusikiliza video clip yote. Lakini Chaurembo yuko kuanzia dk 10:44. CCM watafute watu wa kuzima hoja za Chaurembo. Wakichelewa watajikuta wamefutika mikoa ya kusini.
  8. Hii ndo sababu Mahakama kuonekana kichaka cha Wanasiasa hasa CCM

    Amani iwe nanyi wana Tanzania! Moderators naomba msiunganishe wala kufuta huu uzi! Maana ni wa kipekee Leo nimemsikia Jaji Mkuu akiongea na majaji na mahakimu huko Morogoro. Kilichonishangaza ni maneno aliyosema Eti wajaji na Mahakimu hasa kwenye kutoa haki wawe makini ili mahakama isionekane...
  9. C

    GE2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  10. J

    CCM Wilaya ya Tabora yampa onyo kali Komanya kwa kuwatishia wajasiliamali na askari ili wanunue vitambulisho!

    Katibu wa CCM wilaya ya Tabora mjini ndugu Mrema amemtaka mkuu wa wilaya hiyo mh Komanya kuacha mara moja tabia ya kuwavamia wajasiriamali akiwa na polisi na kuwataka wanunue vitambulisho kwa lazima. Mrema amesema wamempa onyo DC Komanys kwa sababu kila wakimwita kwenye vikao anapiga chenga...
  11. A

    Habari Leo na Daily News ni magazeti binafsi ya CCM?

    Leo tuwapumzishe TBC kidogo. Nimekua nikifuatilia mwenendo wa magazeti ya serikali na nimesikitishwa na upendeleo wa wazi unaofanywa. Kwa msiojua kisheria, Mhariri mkuu (chief editor) wa magazeti ya serikali ni Rais wa Tanzania. Kwa hili, hutakiwi kushangaa kuona habari za kusifu serikali kila...
  12. M

    GE2020 Ya Mwenyekiti wa CCM Tarime kumuita mgombea mwanamke ni malaya, na ukimya wa Chama changu

    Kitendo cha Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime kutumia lugha isiyo ya staha jukwaani kwa kumuita mgombea wa CHADEMA "mwanamke malaya" ni cha kidhalilishaji na hakipaswi kunyamaziwa pasipo kukemea. Tupo katika mchakato wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu na Tume imekuwa...
  13. GE2020 Ni kama wagombea wengi wa Vyama mbali na CCM wameenguliwa na wote kupingwa kuliko mwaka 2015, tatizo ni nini hapa?

    Mwaka 2015, kwenye uteuzi wa wagombea udiwani na wabunge mambo yalikuwa kama ifuatavyo: 1. udiwani, rufaa zilikuwa 223, nyingi zikiwa za CCM (83) na Chadema (87). Hakuna mgombea wa udiwani wa CCM aliyekatwa, wakati wale wa vyama vingine waliokatwa walikuwa 11, na wengi wao (9) ni Chadema...
  14. GE2020 Uzinduzi wa Ilani ya ACT–Wazalendo, Kutoa Ajira mpya milioni 10. Zitto asema CCM ilitekeleza 31% ya ilani ya mwaka 2015

    Leo Chama cha ACT–Wazalendo kinazindua Ilani yake ya mwaka 2020 katika Hoteli ya Protea Courtyard. Pamoja na mambo mengine Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Bernard Membe na Mgombea Mwenza, Ndugu Omar Fakih Hamad watakabidhiwa ilani hiyo. Tutawaletea kila kinachojiri hapa...
  15. S

    GE2020 Mgombea Urais CCM hafai. Ametunyima haki ya kufuatilia hoja za Wawakilishi wetu Bungeni (Bunge Live)

    Mgombea huyu wa ccm miaka 5 aliyotumikia ikulu inamtosha. Katika miaka 5 hiyo amefanya mambo mengi ya kibabe yanayoenda kinyume na matakwa ya wapiga kura wake. Moja kubwa ambalo lililalamikiwa sana na watanzania wote ni hili la bunge kutooneshwa live (mubashara). Baada ya kelele nyingi sana...
  16. A

    CCM versus Opposition: Political Lessons to Learn

    Tanzanians will vote for president, members of Parliament and councilors later October this year. We have witnessed the opening of political campaigns for all partipating political parties. The rulling CCM has two tasks: selling their 2020/25 election manifesto and showing how the 2015/20...
  17. Gerson Msigwa aache kiherehere, yeye si Msemaji wa CCM wala mgombea wao wa Urais

    Nadhani Gerson Msigwa ni mtendaji mwingine incompetent aliyejikuta yuko Ikulu ya Tanzania. Tumkumbushe kuwa yeye ni Mtumishi wa Umma si mwanasiasa, na wala si Msemaji wa CCM wakati wa Kampeni na wala siyo msemaji wa timu ya kampeni ya CCM, na wala si Mtangazaji wa TBCCM kama ilivyokuwa 2015...
  18. Songwe: 16 Mahakamani tuhuma kuua kada wa CCM

    Watu 16 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Songwe juzi, wakikabiliwa na shtaka la mauaji ya anayedaiwa kuwa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Briton Mollel. Mauaji hayo yalitokea baada ya kuzuka vurugu kati ya watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CCM na Chama cha...
  19. GE2020 Ushindi wa CCM Oktoba 2020 itakuwa ni fedheha kwa CHADEMA na ACT Wazalendo na upinzani wote

    USHINDI WA CCM OKTOBA 2020 ITAKUWA FEDHEHA KWA UPINZANI HASA CHADEMA NA ACT. Niliwaambia wapinzani waungane waunde Umoja utakaoitwa MUMAFI (MUUNGANO WA MABADILIKO YA FIKIRA) lakini wamekubali kugawana kura kiulani Sana, kwa ubishi huu wa kujifanya mnajua Sana kuliko watazamaji wanaojua Nini...
  20. S

    GE2020 Shiriki katika historia hii itakayoandikwa siku ya upigaji kura

    Si wananchi, si Polisi, si Wanajeshi si Vyombo vya Usalama si wafanyakazi serikalini,wote wameshaichoka CCM kwa jinsi inavyowahangaisha, njooni huku twendeni kule watu hawana raha na maisha wapo mbioni tu wakitakiwa kuilinda CCM, ambayo bila ya kuwatisha watu kwa barua za kuhudhuria mikutano na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…