Gerson Msigwa aache kiherehere, yeye si Msemaji wa CCM wala mgombea wao wa Urais

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
Nadhani Gerson Msigwa ni mtendaji mwingine incompetent aliyejikuta yuko Ikulu ya Tanzania.

Tumkumbushe kuwa yeye ni Mtumishi wa Umma si mwanasiasa, na wala si Msemaji wa CCM wakati wa Kampeni na wala siyo msemaji wa timu ya kampeni ya CCM, na wala si Mtangazaji wa TBCCM kama ilivyokuwa 2015...

Nafikiri kama hajitambui afikishwe Kamati za Maadili ili asaidiwe kujitambua
IMG_20200902_100714.jpg
 
Hivi kuomba kura nayo ni ahadi?Maana naona ahadi tano kwa wanasingida lakini kati ya ahadi hizo,ya tano inasema naomba kura!!!!Huyu Msigwa ana akili kweli?
 
Amepost kwenye akaunti yake binfsi halafu unataka umpangie cha kupost. Mleta mada acha kiherehere. Hiyo akaunti ni ya Gerson Msigwa na siyo akaunti ya Rais au Urais kama ulivyosema.
 
Huwa nikikosoa CCM wananiitaga ufipa.Pia nikikosoa Upinzani wananiita kijana wa rumumba nisubilie posho ya alfu 7.Ki ukweli ishakuwa tabu tupu.
 
Back
Top Bottom