ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2020 Video: CCM yaanza kutumia maudhui ya kanisa kuomba kura, wadau wasema ni kejeli kwa Mungu

    Hii hapa jionee mwenyewe
  2. S

    Wananchi wengi wajitokeza kuiaga CCM

    Sio siri tena ,wananchi wengi hujitokeza kuiga CCM kwa sherehe ,sherehe ambazo zinatokea kwa kufanywa matamasha ya muziki,asie na mwana abebe jiwe kumuona Raisi wa mwisho wa CCM, muungano wa vyama viwili vilivyotupatia uhuru. Wengi wakisema mwaka huu kila kitu ni historia hivyo kushiriki kwake...
  3. S

    CCM inaanikwa Zanzibar -Wakuu wa Jeshi, polisi na vyombo vingine vya usalama kuweni nayo makini Itawazamisha

    Kwa sasa sio siri hakuna mpango wowote wa CCM kwa upande wa Zanzibar usio julikana kuhusiana na mipango ya kuchezea daftari la wapiga kura. Mitandanoni kumejaa ushahidi uliowazi na wa kuaminika kabisa kuwa waajiriwa wa vyombo husika hapo juu wanapangwa kutumiwa ili kuiletea ushindi CCM,mambo...
  4. W

    Tetesi: Wafanyakazi Serikalini Zanzibar Walazimishwa Kuichagua CCM

    Salaam, Hii ni mara ya tatu naandika huu uzi lakini unafutwa sijui kwa nini! Ujumbe ninaotaka kuufikisha kwenu ni kwamba wafanyakazi wa serikali Zanzibar na hasa Pemba wameelezwa na mabosi wao wa kazini kwamba ni lazima wamchague Magu pamoja na Mwinyi kwenye uchaguzi huu. Kwa mujibu wa...
  5. Rais Magufuli anajaribu kuifutia CCM dhambi zake

    Tanzania ilipata Uhuru kutoka kwa mkoloni miaka karibu miaka 60 iliyopita. Miaka 60 Ni mingi sana, inatosha kwa wananchi wote kupatiwa maji, umeme, viwanda, hospitali, shule, mabwawa ya umeme na umwagiliaji, reli, barabara kutokana na wingi wa rasilimali zilizoko nchini. Kwa miaka 60 CCM...
  6. K

    GE2020 CHADEMA inahitaji political strategists kuishinda CCM

    CHADEMA inahitaji wataalamu wa stratejia ya siasa (Political Strategists) kuweza kuitoa CCM madarakani kwa urahisi. Vyama vikongwe na vyenye dola kama CCM vinahitaji kufanyiwa mkakati maalumu ambao hauhitaji nguvu. Kama ningepewa fursa ya kutoa ushauri wa kimkakati wa kuitoa CCM ningeshauri...
  7. GE2020 Orodha ya kamili ya Viti Maalum Ubunge na Udiwani kutolewa baada ya ushiriki wa kampeni - Katibu Mkuu CCM Dkt. Bashiru

    ORODHA KAMILI YA VITI MAALUM UBUNGE NA UDIWANI KUTOLEWA BAADA YA USHIRIKI WA KAMPENI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa msimamo wa Chama katika kuteua wabunge wa viti maalum, ambapo ameeleza kuwa, kwa upande wa Udiwani aliyeshinda kura za maoni ndio...
  8. Maneno wasiyopenda kuyasikia CCM

    Huu ndio ukweli wa watanzania kama wawakilishi walivyowakilisha
  9. Q

    GE2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

    “Tumepata taarifa kwamba zipo Taasisi za Umma zinaratibu na kugharamia Kampeni za Mgombea wa CCM Ndugu Magufuli, tunakamilisha uchunguzi na ushahidi tutaweka hadharani”. @salummwalimtz Viwanja vya Mnadani Igunga,Tabora.
  10. VIDEO: Msemaji wa CCM aisifia CHADEMA mbele ya mama Samia Suluhu

    Haya sasa, msemaji mwingine kaunguza mboga huku!
  11. GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Mgombea Urais wa JMT, Dkt. John Magufuli yupo Kigoma leo Septemba 18, 2020. Updates zote zitawekwa hapa: Video: Ngoma ya kinamama wa kabila la Wabembe wa kata ya Kitongani Kigoma mjini wakitumbuiza katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo katika kunogesha mkutano wa kampeni wa JPM leo...
  12. Sisi CCM ndo wenye Serikali, kama imekuuma jinyonge kwa udenda, Magari yetu na Wanachama ni wetu

    Salaam, Nashangaa watu wanalalamika eti CCM inabeba watu kwenye Malori. Kwahiyo mtu kumsaidia kufika sehemu husika tatizo liko wapi? Sisi tunajali wanachama wetu na hatutaki wapate tabu. Hivyo tutawabeba kwa kila aina ya usafiri tuitakayo. Iwe lori, Guta, Basi au Baskeli muhimu wafike eneo la...
  13. M

    GE2020 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM atukana viongozi wa dini nchini, asema washike adabu zao!

    Katika hali inayoonekana kulewa madaraka na utovu wa nidhamu nchini, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Kheri James ametoa maneno yasiyo na staha kwa viongozi wetu wa kiroho nchini kwa kuwaambia kuwa washike adabu zao. Hii inafuatia baada ya viongozi hao akiwemo Sheikh Ponda, Baba Askofu Niwemugizi...
  14. GE2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

    Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua. Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya? Je, kama nikweli, kwanini tozo...
  15. D

    GE2020 Tuseme ukweli maendeleo yaliyoletwa na CCM siyo ya kubeza. Tukumbushane kisha tuwapigie kura ya ndiyo CCM

    Kipindi hiki cha uchaguzi mengi yanasemwa na baadhi ya watu kuhusu maendeleo madogo yaliyofikiwa, mimi niwa muwazi tu kwamba ukilinganisha na yapata miaka 30 iliyopita tangu tuingie vyama vingi nchi imebadilika hususani kwenye maeneo yafuatayo: 1. Uwepo wa Mtandao wa barabara DSM - Mwanza-...
  16. S

    GE2020 Tulimjaribu Magufuli na CCM yake miaka mitano - Tumeangukia pua sasa tunaijaribu CHADEMA - CCM tulieni

    Tume waacheni CCM waangalie hali yao na sio mnawabeba,mnajua wananchi kwa kigezo cha uchaguzi walimchagua Magufuli fundi wa barabara mjenzi mahiri miaka mitano ya Uraisi kuwaongoza wa Tanzania inamalizika mwezi ujao,kwa kweli hakuna maendeleo na hela mfukoni imekimbia au imezidi kukimbia. Kama...
  17. Hongera Ihungo Secondary,Kagera kwa kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru Ally Katibu mkuu CCM Taifa

    Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru...
  18. GE2020 Hawa wakienda kupiga kura Oktoba 28, CCM hatuna chetu!

    Kwa ngazi zote za Urais, Ubunge na Udiwani. Kama chama tawala kinachoomba ridhaa ya miaka mitano mingine, tukeshe tukiomba kuwa hawa wafuatao wasiende kupiga kura Oktoba 28 mwaka huu. Wakienda na wakipiga kura, CCM hatutakuwa na chetu. Watapiga kura za uchungu na kuukataa uchungu zaidi. Zitakuwa...
  19. GE2020 Namshauri mgombea wangu wa Urais CCM, Dkt. Magufuli aache kufanya kazi ya kumjibu Tundu Lissu, ni kazi ya kina Polepole

    Mimi nawashangaa sana hasa vijana wa CCM tuliokaa kimya tukimwacha mgombea wetu anajibizana na mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Hivi tunaelewa maana ya hili? Mnaelewa mitego anayotengeneza Tundu Lissu? Vijana wenzangu wa CCM tuache kutanguliza maslahi mbele, tumsaidie Rais na mgombea wetu...
  20. J

    Rais Magufuli ataka Polisi kumwachia mmiliki wa shule ya Waislamu Byamungu iliyoungua Kyerwa wakati wakiendelea na upelelezi

    Rais Magufuli amelitaka Jeshi la polisi kumtoa mahabusu mmiliki wa shule ya Waislamu iliyoungua moto huko Kyerwa mkoani Kagera wakati wakiendelea na upelelezi. Rais Magufuli amesema siyo rahisi mzee huyo anayemiliki shule kuwahujumu watoto anaowalea hivyo ni vema uchunguzi wa kina wa tukio hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…