Sio kama siku za mwanzo za mwezi huu wa hekaheka za uchaguzi njano na kijani utafikiri msimu wa maua, ila hivi sasa wanaovaa njano na kijani hapa mtaani wamekuwa adimu sana.
Wengi niliokuwa nawafahamu wamebadilika kimawazo na fikra zao sasa zinaona mbali,wamegundua shida na dhiki za maisha...