ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri na wazi kuwa hawapingani na CCM bali walikuwa Wanachuki na Hayati Dkt. Magufuli

    Wao kama wao sasa wameridhia CCM ikae madarakani na sasa wanaikubali impliedly. Kwa ni wazi kabisa wanaona CCM haina mbadala wa kuig'oa. Walimuona JPM kama kikwazo kwa siasa zao ndio maana wakawa hawamkubali. Maana kuna mambo yao ya ajabu ajabu aliyadhibiti. Kwa jinsi wanavyokenua na kufurahi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Siipendi CCM, lakini nawakumbusha wanaharakati wa Twitter kuwa huwezi kuua muziki mzuri, kujaribu kumshusha Diamond Platnumz ni uzuzu

    Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani, Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI. Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini viongozi wa upinzani wakiadhibiwa na chama wanakaidi ila wa CCM wakiadhibiwa na chama chao wanatii?

    Kuna swali nimejaribu kujiuliza kuhusiana na siasa zetu za Tanzania, mara nyingi vyama vimechukua hatua tofauti tofauti kwa wanachama wao. Lengo kuu la hatua hizo ni kudumisha nidhamu ya chama na kuhakikisha kuwa chama kinabaki kwenye misingi yake. Hata hivyo kwa kumbukumbu nyingi nilizonazo...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Tarimba Abbas (CCM) je, wana Kinondoni tulikutuma Bungeni kuzungumza matatizo yetu au kuizungumzia Yanga SC yako tu?

    Leo ni mara ya Pili (kama siyo ya Tatu) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC. Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas (CCM) ulipigiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara kuteuliwa kuwa Katibu Tawala Mkoa ni sawa?

    Rais Samia amemteua ndugu Rodrick Mpogolo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu BARA WA CCM kuwa Katibu Tawala mkoa wa Katavi, hii imekaaje? Kiongozi wa Kisiasa kupewa nafasi ya uongozi wa kiutawala Serikalini tena ni Technical post. Mhhh, nimeshangazwa Kama ilivyo kwa wanajeshi wasio wastaafu kupewa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Aliyevuruga Mahusiano ya Kimataifa ni Hayati Magufuli na CCM huku Rais Samia akiwa msaidizi wake

    Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu. Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

    Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA. My take: Nyani wapya msitu wa zamani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu wana CHADEMA wote si tu mmemsikia bali mmemuelewa vyema tu Kada wa CCM Pascal Mayalla

    " Ili CHADEMA tuwaamini kuwa AGENDA yao ya Kudai Katiba Mpya ina Mashiko na wana Hoja ya Msingi hebu wao kama Chama waanze Kwanza kuonyesha kuwa wanaheshimu Katiba ndani ya Chama chao ambapo kuna uvunjifu mkubwa tu wa Katiba " Pascal Mayalla Nukuu hii nimeitoa baada ya Kumsikia na Kumtizama...
  10. JamiiForums Tanzania Msanii Diamond Plutnumz akutana na Katibu wa Uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka

    "Wakati Mzuri leo katika ofisi Ndogo za Chama na katibu wa NEC, Itika na Uenezi Mpya wa CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka. Nimetumia wakati huo kumngata sikio juu ya matarajio yetu kwa chama na serikali katika sekta ya habari, sanaa na Burudani, ameniahakikishia changamoto zote zitafanyiwa kazi na...
  11. JamiiForums Tanzania CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine Magige. Mbunge huyo jana Alhamisi Mei 27, 2021 alikwenda makaburini yalikokuwa yakifanyika mazishi ya...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM wakiwa bungeni kupitisha bajeti, CHADEMA wako majimboni kwa mikakati

    Kwa hakika Chama hiki (CHADEMA)kina mipango, mikakati na dhamira ya dhati ya kuchukua dola. Wanajua njia waipitayo. Msimamo wa mwenyekiti Mbowe ni thabiti na haujawahi kuyumba. Wakati CCM wakiwa bungeni kupitisha bajeti, Chadema wako majimboni kwa mikakati madhubuti kidigitali kuipanda Imani...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza CCM na Chadema tunaweza kusimamisha mgombea mmoja 2025

    Ukipita mitandaoni vijana wengi wa Bavicha wanamkubali sana mama, wanamkubali wengine wanasema anaupiga mwingi kwelikweli yaani Messi huyu hapa. Hata viongozi kadha waandamizi wa Chadema wanasema mama ndiye rais waliomtegemea baada ya Chadema kuanzishwa. CCM pia wanamkubali mama ile mbaya na kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, CCM aliyoiacha mwlimu Nyerere itarudi tena?

    Ni swali gumu sana kwa kipindi hiki kupata majibu. Wakati wa Mwalimu Ccm ilikuwa ni chama ya watu. Wapenda binadamu wenzao. Wenye uchungu na taifa lao. Hawakubagua watanzania kwa elimu, ukabila au umaarufu. Ccm ya mwalimu ilikuwa makini maana ilijua wazi kiongozi ni mtu mwenye madaraka katika...
  15. JamiiForums Tanzania Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

    Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia. Walitofautiana...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ausoma upepo wa CCM

    MWENYEKITI WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE AUSOMA UPEPO CCM - Arusha muda huu: "Viongozi wa Chadema waliniambia nina misimamo mikali,nikawaambia kama mnataka misimamo milaini basi naomba nijiuzuru"- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. NB: Mbowe anaanza kuenzi Legacy ya JPM. "Makamanda wangu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CCM ingeruhusu demokrasia kwenye nafasi ya Mwenyekiti taifa ili marais wastaafu waweze kugombea pia!

    Ni swala la demokrasia tu. Marais wanastaafu wakiwa bado na nguvu mfano Dr Shein na JK. Hata mh Karume,mh Sumaye na mh Pinda hata yule Vuai Nahodha wa Zanzibar bado wako fiti. CCM ingebadili utamaduni wake ili kutoa fursa kwa wastaafu kuendelea kasaidia kukiongoza chama, hii inawezekana...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Muarobaini wa CHADEMA kuibwaga CCM chaguzi zijazo

    Ni ukweli usiopingika kwamba chama pekee chenye walau rasilimali za kutosha kuweza kupambana na CCM kwenye ulingo wa siasa za Tanzania ni Chadema. Hata hivyo kwa mtazamo wangu chama hiki lazima kijiangalie upya namna kinavyoendesha siasa zake. 1. CHADEMA iache kufikiri kwamba itashinda uchaguzi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa msisitizo na maelekezo kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MSISITIZO NA MAELEKEZO YA CHAMA KWA SERIKALI KATIKA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI SEKTA YA MIFUGO Chama Cha Mapinduzi CCM kimetoa pongezi kwa Wizara ya kilimo na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitisha makadirio na matumizi ya Wizara hiyo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Madiwani na wabunge walioacha nafasi zao na kurejea CCM walilipwa mafao kamili kwa kodi za Serikali?

    Lipo zoezi lililoendeshwa na Dkt. Bashiru na Polepole kwa udhamini wa mwenyekiti lililopewa jina la kuunga juhudi mkono. Zoezi lile lilijaa uhalifu ikiwemo matumizi ya vitisho kwa waliokataa kuunga juhudi mkono. Moja ya zawadi waliyopewa wale waliounga mkono juhudi ilikuwa ni kuakikishiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…