Wiki iliyopita Mkurugenzi wa Uchaguzi, Wilson Mahera, alitangaza kwenye vyombo vya habari kumuita mgombea wa Urais CHADEMA, Tundu Lissu kwenye kamati ya uchaguzi kabla hata ya kumuandikia barua ya wito.
Baada ya Lissu kusema kwamba hatoitikia wito wa mitandaoni, ndio wakamwandikia wito rasmi...