ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Hongera Polepole, CCM itamisi nafasi yako - Bungeni nako ng'aa

    SalaamJf, Hope wote bila kujali itikadi za vyama vyetu vya siasa tunamfahamu fika CDE Hamphrey Polepole ambaye ameteuliwa kuwa mbunge. Aidha, kwa mtizamo wangu kiongozi huyu tangu kuasisiwa kwa vyama vingi vya siasa huenda ndiye kafanya kazi kubwa sana ya kuwafanya CCM wafurahi na upinzani...
  2. J

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM vs Mbunge/ Waziri kipi ni cheo kikubwa?

    Naomba tu kuelimishwa uhusiano wa ukuu kati ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na mbunge/waziri kupitia CCM. Naingia ibadani Mungu awabariki sana. Maendeleo hayana vyama!
  3. K

    Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

    1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa kwamba Jamhuri ambayo ni Mimi na wewe hatuna haja ya kuendelea na kesi yake. 2. Mahakama kwa Tarehe...
  4. Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  5. Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

  6. J

    Pamoja na yote CCM imshukuru Mbowe kwa kuwatengenezea viongozi akina Shonza, Profesa Kitila, Dkt. Mollel, Katambi, Waitara nk

    Baniani mbaya kiatu chake kizuri na usione vyaelea vimeundwa. Unapoona mtu anatoka kwenye chama kidogo kama Chadema na kwenda chama dola na moja kwa moja anapata uteuzi wa Rais basi elewa chama alichotoka kimemjenga akajengeka. Binafsi huwa simfagilii Mbowe lakini kitu kimoja huwa nakikubali...
  7. M

    Itakuwaje kama Halima akiamua kusema ukweli kuwa amehongwa na CCM kufanya yale aliyoyafanya?

    Najaribu kuwaza, hivi itakuwaje kama Halima Mdee akaamua kuweka mambo yote hadharani. Yaani akaamua kutaja mchezo mzima ulivyokuwa i.e. kuwataja wote wahusika, kiasi alichohongwa, makubaliano na kuivua nguo ccm. Na hapo hapo kutangaza kuwaomba msamahama wanachadema kwa kuwaambia watanzania na...
  8. Z

    Maamuzi ya Wakinamama yasiingiliwe

    Viti Maalum vya wabunge Wanawake vimewekwa ili kulipa fursa kundi hilo la jamii kwenye ulingo wa siasa. Mantiki yake ni kuwa, katika vurugumechi za siasa, wanaume huwazidi wanawake kutokana na sababu mbalimbali za kijamii na kitamaduni. Katika kuheshimu misingi ya malengo hayo ya kuwa na viti...
  9. S

    CHADEMA leo wana nafasi ya kuweka historia ya kusimamia maadili ya chama kwa kuwafukuza Wanachama wake 19 kwa mpigo

    Ni imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza Wanachama Waandamizi 19 kwa mpigo ili kulinda Katiba ya chama. Hakika leo itakuwa ni siku ya historia kwa CHADEMA na...
  10. J

    Mbowe ndiye kiongozi pekee wa upinzani ambaye wabunge wake zaidi ya 20% walihamia CCM

    Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM. Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa. Hapo CHADEMA kuna biashara gani. Morrison funga hao Nigeria. Maendeleo hayana...
  11. Mgombea Umeya Arusha alalamika wapiga kura kutekwa

    Diwani wa kata ya Daraja Mbili kupitia CCM, Prosper Msofe ambaye aligombea Umeya wa jiji la Arusha na kupata kura 9 amelalamikia yaliyotendeka katika uchaguzi huo. Msofe amelalamikia wapiga kura kutekwa na kuwekwa kwenye ‘bar’ ambao pia walikatiwa mawasiliano naye. Amesema viongozi kuingilia...
  12. Kila moja Anamshangaa Halima Mdee, si CCM au Wapinzani lakini uzalendo na harakati mnazotaka afanye hata Mitume ziliwashinda

    Kwenye vipande vya fedha na Hofu usimwamini mtu yoyote. CCM wamejua pa kushika. Biblia inasema Yesu aliteua Mitume 12 tu aliowaamini Sana miongini mwa wanafunzi wake. Walishuhudia miujiza ya kila Aina na ishara nyingi kutoka mbinguni. Kama taswira za Elia na Mussa kilimani na Petro akashauri...
  13. B

    Dola ikifumba macho CCM inasambaratika

    Natabiri kifo Cha CCM kitatokana na dola kutumba macho. Chama Cha siasa kisichokuwa na wanasiasa kimekufa. CCM inakimbia kwa kasi ya ajabu sana kuikumbatia dola na kuachana kabisa na siasa. Hakuna chama Cha siasa kinachokuzwa na dola, dola inalinda tu kwa kuzingatia matakwa ya amri za mara kwa...
  14. GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  15. GE2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma. Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020: 1. Halima Mdee 2. Grace Tendega 3. Ester Matiko 4. Cecilia Pareso 5. Ester...
  16. Ushauri wangu kwa Wanasiasa wa kweli walio ACT Wazalendo na CHADEMA

    Huu ushauri wangu hauhusishi wanasiasa njaa/ Wanasiasa Maslahi, bali wanasiasa kweli wenye uchungu na nchi yao. Waliopo kwenye siasa kwa dhumuni la kuleta itikadi mbadala inayoenda kuleta mabadiliko ya kweli nchini katika maendeleo ya wananchi yanayoongozwa na demokrasia ya kweli na sio...
  17. S

    GE2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

    Ameandika hivi kupitia twitter: Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
  18. A

    Mbona wanaoshangilia Viti Maalum vya CHADEMA ni CCM?

    Nimekua nikijiuliza, hivi kwanini CCM wanashangilia sana kuapa kwa wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA kuliko hata wanaCHADEMA wenyewe? Jibu lililowazi ni kuwa Uchaguzi wa October umefanya viongozi wateule kukosa uhalali wa uongozi ndani na nje ya nchi (haswa nchi za magharibi). Hili sio tatizo...
  19. Wazanzibari wawataka CCM bara, Lissu na Zitto na watu wa bara waache kuongelea mambo ya Zanzibar

    Mida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo mambo waachiwe wenyewe wazanzibari sababu uchaguzi wa Zanzibar pekee sio wa muungano hivyo sio sahihi...
  20. Amekua jinamizi kwa serikali ya CCM

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…