ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, 2025 fomu ya urais kura za maoni CCM itakuwa moja?

    Ninavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030. Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya utaratibu wa chama. Nakazia tu 2025 itoke fomu moja tu kama ilivyokuwa 2020. Mungu ni mwema wakati wote!
  2. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM kuita gazeti la chama "vigazeti" ni kosa kubwa

    Nanukuu "Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema." Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana. Ila kama ndiyo...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Operesheni Ondoa CCM 2025 inanze sasa

    Ndugu zangu wapinzani nawaomba tuweke itikadi zetu mfukoni na tuendeshe Operesheni Ondoa CCM 2025. Katika operesheni hii siyo mbumbumbu kuzunguka wakiwatangazia watu ondoa ccm 2025 bali ni kwetu sisi kutazama ili tuwaondoe hawa tunahitaji kufanya nini? mkakati uko hivi 1. Tutazame makundi ya...
  4. H

    JamiiForums Tanzania CCM ingekuwepo enzi za Pilato

    Utawala wa CCM ni aibu kwa Afrika, ni aibu kwa Dunia. Ulimwengu wa leo ambapo Dunia imestaarabika na kutambua kuwa wewe kuwa kiongozi haimaanishi umekuwa binadamu zaidi, mwerevu zaidi, mwananchi zaidi, mzalendo zaidi au na utu zaidi, bado CCM haijalitambua hilo. Wakati Dunia ya wastaarabu...
  5. JamiiForums Tanzania Shule nyingi za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zadaiwa kufungwa kwa kukosa wanafunzi

    Shule za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zimeanza kufungwa na kubaki kuwa mazalia ya wadudu, baada ya wananchi kwa umoja wao kuzigomea kupeleka watoto kusoma humo. Hii ni baada ya wananchi hao kufahamu kwamba chanzo cha umasikini na dhuluma dhidi yao Kwa miaka yote ni CCM ...
  6. JamiiForums Tanzania CCM imechoka ikachokwa ikachochekana ! Wanachama wenye uwezo wa kuongoza wamebaki wachache mno! Orodha yenyewe hii

    Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii 1. Prof Mussa Assad 2. …………..
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM haioni aibu kudanganya juu ya kukamilika mradi wa Sgr Dar to Moro?

    Wakati wa hayati JPM tuliambiwa mradi utakamilika Nov 2019. Hapo tukapata uhakika wa kutembea na train Dar Moro kwa nusu saa. Baadae mambo yakabuma tukaambiwa mwaka 2020 mapema tu mradi utakamilika. Baadae tena baada ya JPM kufariki tukaambiwa April 2021. Lakini mpaka sasa ni kimya kizito...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye: CCM hata ikifanya vizuri kwa 100% ikumbuke kuna siku Watanzania Wataichoka tu na kuweka chama kingine

    Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye amewaasa CCM kujiandaa kisaikolojia kwani siku zinakuja ambapo Watanzania " Wataichoka" tu na kuweka chama kingine madarakani. Sumaye anasema ndio maana yeye, mzee Lowassa na hayati Kingunge walienda upinzani ili kuandaa mazingira mazuri kwa chama mbadala wa CCM...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

    MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu. Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe, hata viongozi kina Shaka hatuwaoni wakimtetea kama tulivyokuwa tunashuhudia wakijitoa ufahamu kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Salumu Mwalimu adaiwa kupewa Kitengo ndani ya CCM

    Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa. Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu. CHADEMA wanaachwa Solemba PM iko wazi sasa JM
  11. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kutoka CCM

    Taarifa kuhusu Kikao Cha Kamati Kuu ya CCM kilichokutana leo Ijumaa Septemba 10, 2021 Jijini Dodoma
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu ya CCM chakamilika Dodoma

    Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma. #ChamaImara #KaziIendelee
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM hivi Kesi ya Uwizi na Uuzaji wa Magari yetu ya Haji Manara hatuwezi Kuifufua ili akaozee tu Jela?

    Nasubiri majibu yenu CCM Makao Makuu au hapo Lumumba juu ya hili kwani Sisi wana CCM tunayahitaji yale Magari ili tuweze Kumtangaza zaidi Bi. Hangaya na Tanzania yake. Huyu Haji Manara anatakiwa awe Jela.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM iliahidi kutengeneza njia nne mlima wa Mbalizi Mbeya hadi leo kimya, Dr. Tulia sasa wewe ndio mbunge wa Mbeya, unasubiri vifo vingapi?

    Hakuna kitu kinakera kama ahadi za uwongo wa wanasiasa. Na mbaya zaidi ni pale ambapo wanaahidi uongo kwa vitu ambavyo vinagharimu maisha ya watu. Kwa nini wanasiasa wanapenda kusema uongo? Tuchukulie huu mteremko wa Mbalizi unapotoka Mbeya mjini kwenda Songwe airport, Mbozi Tunduma na hata...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

    Leo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Leo Mbowe ameitwa Gaidi, kesho sheria hii itatumika kuwanyamazisha wana-CCM wenye maono chanya

    Walitunga sheria ya uhujumu uchumi kwa shangwe ikaja kuwaweka ndani Tena bila Haki yakusikilizwa wakaporwa fedha na kunyamazishwa kisiasa. Wakatunga POTA wakiamini inalenga magaidi kumbe inaweza kuwalenga hata ambao siyo Magaidi kama ilivyo kwa Mbowe leo hii. Naamini Mbowe ametangulia ili...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CCM yampongeza Rais Samia kutunukiwa Uchifu

    CCM yampongeza Rais Samia kutunukiwa Uchifu "Chama Cha Mapinduzi kitaendekea kupiga vita sera za udini, ukanda na ukabila lakini hakitaacha kutowatambua machifu na watemi. Hivyo kinawapongeza umoja wa machifu Tanzania kwa kumsimika@ Rais Samia Suluhu Hassan uchifu mkuu wa machifu wote...
  18. JamiiForums Tanzania Sakata la mahindi litaondoka na serikali?

    Kumekuwa na kelele sana juu ya anguko la bei ya mahindi kote nchini. Kiasi ambacho imebidi CCM iingilie kati. Nimewaona wabunge wote hasa wa CCM wakionyesha kutorodhishwa kwao jinsi NFRA inavyonunua mahindi toka kwa wakulima. Ongezekeo hili la wingi wa mahindi ni mwitikio wa wakulima kwani...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Angola nchini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Balozi wa Angola nchini Tanzania Mhe. Sandro de Oliveira Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 09 Septemba, 2021 Makao Makuu ya CCM Dodoma, ambapo Balozi aliambatana na mwakilishi wa Chama Tawala cha Angola...
  20. JamiiForums Tanzania CCM ni kati ya vyama vikubwa duniani (nyuma ya India, China, Pakistan na Uturuki)

    - Wanasema "NUMBERS DONT LIE": Katika list ya mwisho ya MAY 2020, wazi ikionyesha chama cha 10 duniani zenye wanachama kati ya mil 5 mpaka 50: lakini ikiwa ya 12 kwa jumla ya vyama vyote duniani https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_largest_political_parties - CCM inapoendelea na sera zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…