ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Suala la Bandari tunajihujumu Sisi Wenyewe

    Katika siku za karibuni, taarifa zimeibuka kuwa Bandari ya Mombasa, Kenya, imeanza kupokea meli za mizigo ambazo hapo awali zilikuwa zikitia nanga Bandari ya Dar es Salaam. Kwa lugha nyepesi kabisa, mizigo imehama, yaani wateja wamehama. Lakini kwa lugha ya siasa nyepesi zaidi, lawama...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ruvuma: Spika Mussa Zungu anataka mtoto wa Jenista Mhagama kupendekezwa Ubunge jimbo la Peramiho?

    "Mkuu wa Mkoa uko hapa, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi upo hapa na Nyota Mtoto wetu yupo hapa. Nafikiri nikisema hivyo mmenielewa. Mmenielewa? Nyota ya mtoto wetu yupo hapa, nawashukuru sana Familia. Dodoma niliwaambia mshikamane, mpendane. Hiki ni kipindi kigumu kwenu." Spila wa Bunge la...
  3. JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa hivi CCM wakishirikiana na polisi kuzimisha mikutano ya vyama pinzani

    Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wajashtuka kuwa hiki chama kilianza michezo ya uhalifu tokea zamani. Kipindi cha kampeni kulikuwa kuna matokeo ya fujo na kuweka hofu watu wasiende kwenye mikutano ya vyama pinzani. Ilikuwa hivi CCM ilikuwa ikiandaa vijana wenye silahaa za kawaida na...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaosema CCM ni kikundi cha Kigaidi wasikilizwe wana hoja

    GT. CCM imejaa unyama haina ubinadamu hata kidogo. Hakuna mtanzania yupo salama chini ya CCM. Ni chama kinachohatarisha maisha ya kila mtu. CCM inatakiwa ipingwe kwa nguvu snaa kwa usalama wa Watanzania wote 1. Mdude 2.kibao. 3. Polepole 4.Mawazo 5. Ben saanane 6. Soka 7. Ndugai 8. Jenista 9...
  5. JamiiForums Tanzania Kupinduliwa kwa CCM hakujapatikana chanzo ila siku kitapatikana chanzo kidogo mfano TUNISIA

    Zipo nchi nyingi zilizopata chanzo kidogo mfano ufaransa ilishawai kupindiliwa kwa mkate tu. Tuje tunisia hapa kulifikia shida zote zao mpaka kunuka shida huku watawala wakila keki ya nchi. Ilitokea kijana mmoja baada kumaliza chuo kwa tabu na kukosa ajira ikabidi kujiajili mwenyewe kuuza...
  6. JamiiForums Tanzania Michango iliyofanywa na CCM kabla ya uchaguzi ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi na mauaji

    Zile pesa zilizochangwa za CCM na list kubwa ya matajiri mpaka timu ya mpira ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi wa uchaguzi. Pesa ile ilitumika kuonga idara za ulinzi na tume ya uchaguzi ndio maana ulisikia kashinda asilimia 98. Ilikuwa nilazima mauwaji yatokee kipindi cha uchaguzi sababu waliopewa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Kamonga: Je, Ni Mipira 193 ya Milioni 13?

    Ni masaa machache sasa kumekuwa na mjadala mkali uliosambaa kama moto porini kuhusu ununuzi wa mipira 193 kwa Sh. 13,510,000 na Mbunge wa Ludewa, Mheshimiwa Joseph Kamonga, akikumbwa na lawama kutoka kwa wananchi na wadau wa michezo. Ripoti zilizotengwa mtandaoni zinaibua maswali tele: Je, bei...
  8. JamiiForums Tanzania Mbinu za kujisafisha kwa mataifa mengine zinvyozidi kuonesha udanganyifu wenu serikali ya CCM. Na hili la UN limebuma

    Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kimya cha CCM katika matatizo makubwa ya kijamii ndiyo mwanzo wa kifo chake

    CCM sasa hivi ni kama bubu. Kuna matatizo makubwa ya kijamii, chenyewe kimya kama bubu. Watu wameuwawa wakati wa uchaguzi. CCM haijatoa tamko rasmi. Sasa hivi maji hakuna sehemu nyingi nchini, CCM kimya. Inaelekea sasa CCM ni gulio tu la uongozi na haisimamii matakwa na kero za wananchi. CCM...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je, CCM ni political party au aina nyingine ya taasisi?

    Je CCM ni political party au ni organization nyingine tishio??? Hii ni case study!!!!!!
  11. JamiiForums Tanzania Huu mpasuko ndani ya CCM ndio ukombozi wa taifa letu. Bila CCM kupasuka hatuwezi kupona

    Tangu tumepata uhuru zaidi ya hayati Nyerere kupata msukomsuko ule wa 1964 mimi binafsi sijawahi kumsikia mkuu wa nchi yetu akitamka hadharani kuwa watu walitaka kuangusha dola. Utawala wa Hayaji Julius nimeushuhudia. Utawala wa mzew Mwinyi ndio kabisa. Nisiongelee juu ya Mzee Mwinyi, Mzee...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM kimekuwa chama cha hovyo sana

    Hili lichama limekuwa kituko sana. Kuna mambo linafanya hadi unajiuliza hivi hawa jamaa hawana hata aibu? Mnakumbuka yale maandamano yaliyoandaliwa na Diaspora wa Marekani? Eti nayo maccm yakaandaa maandamo ya kumpongeza Samuya kucounter attack. Yakakodisha wameksico (Mexicans) waandamane...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia. CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Hii kete walioisukuma CCM ni kama inataka kufanikiwa

    Ni kama wamekata maji makusudi ili hii habari itrend zaidi watu wasahahu yaliotokea Oktoba 29, mimi nikishaona habari mbaya mbaya zinapostiwa hadi na TBC kila saa na vyombo vingine machawa vya Tanzania ujue kuna walakini. Shtukeni huu ni mchongo. Wametengeneza tatizo halafu baada ya muda mfupi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya: Majizzo kalewa mabilioni ya CCM, Diamond na wenzake wamelewa sifa za kijinga

    Godfrey Tumaini, a.k.a. Dudu Baya amefunguka kwa kina akielezea jinsi Majizzo anavyonufaika na Kampeni za CCM huku akiongelea dharau za Diamond na wenzake kwa watanzania tokana na kujaa sifa za kijinga. Msikilize vema
  16. JamiiForums Tanzania Mtindo wanaotumia kikosi cha propaganda wa kutetea serikali za CCM

    Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code. Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao. wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki...
  17. JamiiForums Tanzania CCM walisema Samia hana deni, Sasa atafanya kazi gani?

    Luhaga mpina aliposema kuwa watu wa Kisesa bado wanamdai Samia Suluhu Hassan maendeleo, baadhi ya wana CCM walilipuka kwa hasira mithili ya Volkano. Kama wana CCM waliamini kuwa Samia Suluhu Hassan Hana deni la kuleta maendeleo Kwa watanzania nchi nzima, Kwa miaka mitano hijayo akiwa Rais ...
  18. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM mlikataa mabadiliko ya Katiba kwa umoja wenu mkiamini mnawakomoa CHADEMA, sasa msitupigie kelele

    Nakumbusha CCM mlikataa mabadiko ya katiba kwa umoja wenu mkiamini mnawakomoa CHADEMA, sasa msitupigie kelele mna mchango mkubwa kwa yaliyopo sasa Yaani nyuma ya pazia kelele ni nyingi sana za wana CCM tena nyingi kweli kweli wakati mabadiliko ya katiba waliyakataa wenyewe huko bungeni kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ndio inavujisha mbinu ndio maana anazikwepa yeye na CCM

    Kuna kitu naona hawa marunga marunga uja kuchota taarifa na maarifa kisha ujimaarisha. Mfano kuhusu D9 wangekuwa hawapuuzi wasingeweka wanajeshi barabarani sababu nao wapo wakifatilia. Umeona kitendo cha kutishia kuwa anaweza kufa kimemfanya kuongeza ulinzi wa hali ya juu ukilinganisha...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmetengeneza mazingira ya utendaji ambayo kesho yakiwakuta hakuna lawama.

    Nime msikiliza waziri mkuu mwiguru japo uchaguzi mliofanya ni haramu na wadamu. kuwa unasimamia maadili ambayo kampuni ya Ester ya mabasi sio yangu ila jina la kampuni ni la mke wangu ambaye ni neema. Kwa serikali ya CCM ambayo sasa inawatafuna wenyewe sasa haya ni mambo ambayo muwezi kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…