Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Kampeni za kuwania kiti cha spika wa bunge la Tanganyika zimepamba moto. Kuna nyuso kongwe chakavu zinatajwatajwa na kujitokeza sana hasa huko vijiweni na mitandaoni baada ya spika mtangulizi kujiuzulu nafasi hiyo mapema wiki iliyopita.
Hata waganga wa kienyeji wameanza kufaidika na hizi...
Walishazoea kufanya ufisadi na kuiba mali za umma na wakati wa uchaguzi wanawalaghai wananchi. Sasa watanzania walishawashutukia.
Mwaka 2015 baada ya kuona kuwa walishachafuka kwa ufisadi wakafanya ulaghai kujifanya wanawakataa mafisadi, kumbe ndio walewale. Mwaka huu na kuendelea watanzania...
Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa?
Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu!
Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio...
Tujikumbushe kidogo!
Wakati wa spika Sitta,serikali ilisimamiwa ipasavyo na bunge!Ilipelekea mijadala mingi kupenya bungeni na kujadiliwa!Viongozi wa CCM walimlalamikia Sitta kwa kuiruhusu mijadala bungeni ambayo inaishambulia serikali!Sitta hakusikia na akaendelea kulisimamia Bunge kwa kufuata...
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa kumpata Spika wa Bunge la JMT,
Uchaguzi huu utafanyika kuziba nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge...
Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Ni dalili kubwa sasa hii ni CcM ya wapigaji na wajanja aka wazee wa kupiga madili kama ya Lugumi, kagoda na Escrow.
Mpaka tunafika 2025 wananchi watakauwa wameshachoka na kuikataa mioyoni mwao. Mjipange na kufanya kweli.
Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Hili lipo wazi kabisa uongozi wa taifa hili chini ya CcM ni kurithishana na kupeana mapande ya kupiga madili.
Mwaka 2025 ndio wakati muafaka wa kuwaadhibu.
Maana wanarithishana upigaji madili na uongozi kama taifa la kisulutani
Hawa ndiyo wanasadikiwa kuwa ni wana CCM waliotaka kuachana na utamaduni wao wa 'miaka 10' aachiwe mwanaCCM aliyepo Ikulu aendelee 2025.
Vigogo wazito kama Spika Job Ndugai, waziri mzalendo namba 2 Prof. Palamagamba Kabudi, mchapa kazi asiyechoka William Lukuvi, mawaziri na wabunge kadhaa wenye...
Wapo wanadani wapo na amani waishi maskini lakini wawe na uzima wa akili,mwili na nafsi. Lakini wapo wanadamu wanatamani waishi bila amani ila wawe na fedha.
Wapo wanadamu wameridhika na kile wanachopata Cha haki, wapo wanadamu wanakwenda Kwa waganga wapate Cha ziada bila kujali masharti...
Kitendo cha Spika wa Bunge la JMT kuandika barua yenye utata ya kujiuzulu na kisha kujitokeza hadharani kutamka kumwomba radhi raisi Samia Hassan, kina maana kubwa.
Job Ndugai ametojitokeza ameomba radhi na kisha amejiuzulu na kuondoka.
Huyu Spika si yule marehemu Adam Sapi Mkwawa na wala si...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada kutokana na madeni
Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni...
Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na ameokoa wengi kutokushughulikiwa. Kama mexence angeweka tumbo lake mbele wanajamii forum wengi wangekuwa...
Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama...
Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto.
Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha maamuzi cha chadema kimalize mchakato wa kuwafuta uanachama hawa covid 19 na tarehe 2 February Chama...
CCM kama chama kikongwe na kilichodumu kwa mda wa miaka, ni chama kinachoaminika kuwa na uongozi imara na makini.
Binafsi nimeshangaa kuona namna gani umeshindwa kushugulikia swala la Spika na Rais. Maswala haya ni ya mihimili miwili, Spika anatakiwa alindwe kwa nguvu na kama anavyolindwa Rais...
Kuwepo kwa vyama imara vya upinzani nchini na wabunge wengi wa upinzani bungeni ndiko kunakowaunganisha wanachama na wabunge wa CCM na kujiona ni kitu kimoja dhidi ya vyama na wabunge wa upinzani. CCM kwa kufanya dhambi ya kuviua vyama vya upinzani na kuwa na bunge la Chama kimoja kunasababisha...