ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Vijana watajitokeza kwa wingi sana kumpigia kura Rais Samia uchaguzi Ujao, Ni uchaguzi utakaoweka Historia ya vijana kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Ndugu zangu kwa miaka mingi na kwa kipindi kirefu na kwa chaguzi nyingi vijana wa kitanzania wamekuwa wakijitokeza kwa kiasi kidogo Sana kupiga kura na kushiriki katika uchaguzi, Japo wakati mwingine wamekuwa wahudhuriaji Wazuri wa mikutano ya vyama vya siasa lakini wamekuwa wa mwisho linapokuja...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  3. JamiiForums Tanzania Je, huu Utamaduni 'Unaoboa' huwa ni takwa la Kikatiba, la Kiserikali, la Kichama ( CCM ) au ni la Kujipendekeza tu?

    Utamkuta Waziri, Mkuu wa Mkoa na Wilaya pamoja na Watendaji wengine kila wakiwa wanatolea Ufafanuzi wa Jambo fulani wakiwa Wanahojiwa na Waandishi wa Habari ni lazima tu Watalazimisha kumtaja Rais wa Nchi (mfano wa sasa Samia) na hata kwa Wengine waliotuongoza Watanzania huko nyuma. Hivi kwani...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie, Polisi wanatumaliza, Polisi ilindeni CCM itawale milele ila roho zetu tuachieni

    Najua Polisi wa Tanzania wamejipa jukumu la kuhakikisha rais unatawala Milele. Waambie wakutetee lakini roho zetu watuachie. Watanzania wote ni ndugu uwe Polisi Mgambo au Mpiga debe Soma Ujumbe kaandikiwq baba Askofu ===== POLISI WAFANYA MAUAJI YA KUTISHA KIJIJI CHA IKWAMBI, KATA YA MOFU...
  5. JamiiForums Tanzania Tusifurahie kufungwa kwa Mwana CCM, hakuna anayejua atayefuatia....

    Kada wa CCM amehukumiwa miaka saba jela na faini ya mamilioni kwa kile kinachosemekana ni kutoa maoni Yake kuhusu Utendaji wa Mwenyekiti wake ambaye pia ni Raisi. Wapo wanashangilia jambo hili ila ukweli ni kwamba, kama Watu wanazuiwa kutoa "maoni" basi hakuna aliyesalama na ni suala la muda tu...
  6. JamiiForums Tanzania SIMIYU: Levinus Kidanabi Jela miaka saba na faini mil 15 kwa kumkashifu Rais Samia

    VIjana wawe makini na mgroup ya Watsapp === Bariadi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  7. JamiiForums Tanzania ACT wajiunge CCM wawe chama kimoja

    Hivi vyama vinafanana Falsafa zake na husaidiana kupambana na CHADEMA na kwa kuwa ni vyama vya kijamaa, kwa nini chama kidogo cha kijamaa (ACT) kisijiunge na chama Kikubwa cha kijamaa (CCM) na kuwa sehemu ya chama hicho? Nadhani itakuwa vyema na haki ACT ikajiunga CCM.
  8. JamiiForums Tanzania DC Moshi kukosa kura za CCM awaangushia hasira maafisa elimu kata kwa kuwahamisha vituo vya kazi wote bila malipo

    Kasheshe la DC MOSHI Bw. ABBAS KAYANDA, huko Kilimanjaro kupata pigo la kukosa kura za CCM limechukua sura nyingine. Baada ya gazeti la mwananchi kumrusha hewani DC wa moshi kwa kukosa kura ndani ya chama cha mapinduzi, amewaangushia maafisaelimu kata na kuwahamisha wote vituo vyao vya kazi...
  9. JamiiForums Tanzania CCM Mwanza na Mkakati wa Kumpa Makonda Uenyekiti (M) ni Aibu ya Karne

    Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA wapo kimya, CCM wanawayawaya

    CHADEMA wapo kimya ila CCM wenyewe kila siku ndiyo wamekuwa wasemaji kwa niaba ya CHADEMA. Yaani CHADEMA wakitaka kusema CCM wanatumia vyombo vya dola kuwazuia kusema, wakikaa kimya bado inakuwa nongwa. CCM wanaanza kuuliza "Mbona CHADEMA wapo kimya".
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyotumia CCM kujiimarisha ingetumika nusu yake tu kuimarisha uchumi wa nchi tungekuwa mbali sana kiuchumi kama taifa

    Ccm inajisufu na kujitutumua kuwa ni chama kikubwa sana Afrika, kwa kuangalia historia wafuasi na mtindo wake wa kubadili viongozi wao kwa njia ya amani na utulivu. Hata hivyo makusudi makubwa ya chama chochote duniani ni kwa ajili ya kushinda uchaguzi ili kuunda serikali na kushika dola. Lengo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tunauomba uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukarabati wa uwanja wa Jamuhuri mkoani Morogoro ili mechi za Ligi Kuu zirudi kuchezwa mkoani hapo

    Amani iwe nanyi. Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita toka dimba la Jamuhuri lilipofungiwa kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu nchini Tanzania, kutokana na...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Hayati Magufuli isiwe sikukuu ya kitaifa, ifanywe na CCM

    CCM IWEKE KUMBUKUMBU YA JPM NA SIO TAIFA!!! Kuna wito unatolewa na wabunge na makada wa ccm kuwa Rais mwendazake John P. Magufuli atengewe sikukuu ya kitaifa kuenzi mchango wake kwa taifa,hoja ikiwa kwamba amefanya mambo mengi sana mazuri kiasi cha kumuwekea siku maalum ya kumkumbuka ambayo...
  14. JamiiForums Tanzania Kila Rais toka CCM humuachia mwingine Serikali mbovu?

    Mbali ya kwamba ni tabia ya wana CCM kuwatukuza viongozi wa chama chao au wale wanaoongoza Serikali kutokea kwenye chama hicho, lakini imekuwa ni kawaida ya Marais ama wasaidizi/wapambe wao toka chama hicho, kuongea maneno kuashiria kwamba Rais aliyetangulia amemuachia mzigo mzito wa kurekebisha...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tusaidie huyu kigogo wa CCM Kilosa anatuonea wananchi

    MIWA YA KIKUNDI CHETU IMECHOMWA MOTO KABLA YA MUDA WA KUVUMWA NAKUTUSABISHIA HASARA YA MAMILIONI YA SHILINGI. Huyu ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Kilosa. Ukweli ni kwamba yupo hapo kwenye uongozi siyo kwa nia ya kusaidia wananchi anaowaongoza bali ni kwa ajili ya kujilinda...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mwana CCM atagombea Urais mwaka 2025 dhidi ya Samia Suluhu?

    CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM? Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Hamdu Shaka, hivi kazi yako haswa ni nini, kumsifia Rais Samia au kuelezea Itikadi ya CCM?

    Tusije jisahau kuwa chama chetu cha CCM ni chama cha wananchi, zamani tukiita Wakulima na Wafanyakazi. Yametokea mabadiliko mengi katika misimamo ya chama kiasi ambacho watendaji ndani ya chama ni kama wanakengeuka katika misimamo yao kiutendaji. Alipoingia mzee Abdulrahman Kinana ingalau...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo

    Jimbo la Hai, Kilimanjaro mbunge wake ameamua matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ni zake na fedha hizo zimekuwa siri, kwa mbunge na ameamua kutokuweka wazi matumizi yake kwa kuunda kamati ya kusimamia mfuko huo. “ kamati ya mfuko wa jimbo, ingehusisha madiwani wote na watendaji wa taasisi...
  19. JamiiForums Tanzania Chuki na uoga wa CCM kwa CHADEMA ni zaidi ya chuki na uoga wa Mkoloni kwa TANU ya Nyerere

    AIBU AIBU Chama kikongwe chenye Miaka 60 Madarakani CCM kinaogopa kukosolewa, kinazuia Mikutano ya Hadhara kinatengeneza Wabunge fake 19 wasio CHAMA Bungeni. Kinateua Wenyeviti wa Serikali za Mitaa badala ya KUPIGIWA kura kwa hofu ya KUSHINDWA na Chadema (Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019)...
  20. JamiiForums Tanzania Kanali Lubinga: Uchaguzi Mkuu wa CCM Jimbo la Hai haukuwa huru na wa Haki

    Mimi ni muumini wa haki . Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki. Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…