Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna.
Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua Watanzania.
Ufisadi na ubadhirifu usiokemewa na kudhibitiwa huruudisha nyuma maendeleo ya...
WanaJf,
Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023!
Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka.
Hii kweli inatuonesha kwamba...
Ndugu zangu,
Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete Ndiye Aliyenishawishi Kujiunga na CCM Mwaka 2005 Nikiwa mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga vijijini, mji mdogo wa Laela Jimbo la Kwela lililokuwa linaongozwa na Marehemu Chrisant maji ya Tanga Mzindakaya. Nilikuwa huko kwa baba yangu mdogo ambako...
Kutokana na mlolongo wa matukio yanayotokea nchini, nimekuwa nikijiuliza Sana, je kipaumbele Cha CCM, ni kuendelea kubaki madarakani au ni kuwaletea maendeleo watanzania?
Kipaumbele Cha utawala wowote wa serikali ni kuwaletea maendeleo wananchi wake na kama wasipofanya hivyo, watajikuta...
Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu.
Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu, lakini kitabu cha ufunuo, nyoka anatambulika kama JOKA kwa sababu moja tu, nyoka, hakushughurikiwa...
CCM ni chama kikongwe kwa vyama vya ukombozi kusini mwa jangwa la sahara na Afrika kwa ujumla. Kilipaswa kuwa mfano bora kwa vyama vingine vya siasa kutokana na kuishi kwingi na kuona mengi.
Ajabu ndicho chama kinacho ogopa siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini,kwa kulitambua hilo...
Kashfa kubwa yaikumba CCM Kilimanjaro
Uongozi wa chama cha mapinduzi ccm mkoa wa Kilimanjaro umeingia katika kashfa kubwa baada ya kusemekana ya kuwa imefungua akaunti ya siri isiyo rasmi ambayo inatumika kukusanyia michango ambayo inadaiwa kuingia mifukoni mwa baadhi ya viongozi wa chama...
To every action there is an equal and opposite reaction. Hii kanuni inaonekana kuelezea vizuri mahusiano katika ya wafuasi wa CCM na wa CHADEMA juu ya jinsi wanavyohusiana na viongozi wao. Wale wa CHADEMA wanawaita wenzao wa CCM chawa na sasa wa CCM wamewaita wenzao kupe.
Ulinganisho huu ni...
Kongamano la Wahariri naweza kusema limeacha maswali mengi sana kuliko mafanikio tuliyotarajia tuyaone kutokea hapo.
1. Nani aliyewalipa posho na malazi kwa siku zote walizokaa Iringa(Yeye mlipaji ananufaikaje kwa fedha zake alizotoa)
2. Wametajwa wabunge, majaji, mawaziri kuwa ndio...
Spika wa bunge Dr. Tulia Ackson amesema Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi wa CCM 2020-2025 aliongeza kuwa wananchi wa kata ya Iyela- Mbeya ni mashahidi kwa utekelezaji wa ilani kwa kuwa mwaka 2020 waliahidiwa moja ya utekelezaji katika sekta ya afya ni kituo...
Mchezo umemalizika
Kibu Denis anaipatia Simba goli la tano akimalizia pasi ya Chama
GOOOOOOOOOOOOOOOOO
85' Simba inataka kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mpigo
Sakho anapiga shuti la mbali nje ya eneo la 18, anafunga baada ya kipa kutoka eneo lake
75' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
74' Geita...
Nimeshtushwa kidogo kuona Dereva akiwa na gari yenye nembo ya TASAF akijinadi Kwa mbwembwe kuwa yeye "kaheshimishwa" na Rais/Mwenyekiti wa CCM kuendesha "gari Kali".
Anayazungumza haya akiwa na Uniform za CCM, Kwa Hali kama hii inaleta sintofahamu kubwa Kwa nchi huru, tunajua mnafanya ujinga...
CCM YALAANI VIKALI KITENDO CHA BAADHI YA VYAMA VYA SIASA KUANZISHA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI NA MPASUKO ZANZIBAR
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali kauli za baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani Zanzibar kuanza kuhubiri mgawanyiko na kauli...
Nimefuatilia sinema inayochezwa na CCMbara nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wawili kwa kila upande wa seriksli zote mbili. Kwa sasa ukifuatilia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.
CCM upande wa bara tumepiga na kitu kizito itakapofikia muda wa kutoa...
Enzi za Mwalimu katika mikutano ya CCM walichezesha nyimbo za akina Mbaraka Mwinshehe (nyimbo bila jasho) ulionekana Uzalendo hata unapocheza nyimbo hizo,juzi katika mikutano yetu ya Uchaguzi zilichezeshwa nyimbo na mtindo wanaocheza.
Basi mtu utagundua tupo ki-hip hop singeli na rusha roho...
Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi.
Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri na kwa kila mtu kujionea kwa macho yake yanayoendelea nchini.
Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili...
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa Dar es salaam, Khadija Ally Said amekataa tabia ya makada wa chama hicho kumsifu hovyo (uchawa), huku akiwataka wafanye kazi kwa ushirikiano bila kujiona miungu watu.
Amesema kufanya hivyo kutasaidia kufanikisha utekelezaji wa dira ya jumuiya hiyo...
TAFAKURI YA KAULI YA RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIYOITOA KWENYE MKUTANO MKUU WA 10 WA CHAMA CHA MAPINDUZI 8/12/2022 DODOMA
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amemtaka Mh. Rais Samia Suluhu Hassan asisikilize porojo zinazotolewa na baadhi ya watu kuwa kuna mawaziri wanaokwenda nje ya nchi...