ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Miaka 46 ya tukitawaliwa na CCM huku watanzania wakiwa na umasikini wa hali ya juu. Rais Samia akikata keki ikulu na kuchekelea.

    Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
  2. JamiiForums Tanzania Ili nipate uteuzi ni lazima kuwa kada wa CCM au niwe Chawa wa Mama?

    INTRODUCTION Eeh bwana ehh habari zenu Nikiri Mimi sio shabiki kabisaa wa siasa. Yaani sina Kadi ya chama chochote na sifikirii kuwa na Kadi ya chama chochoteee kileee. Na kifupi huwa sifatilii zile habari za siasa zaidi ya hizi ambazo zinapostiwa insta kwenye page za habari za labda msingwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

    Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege. Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili? Nini...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Mlao aunguruma mkoani Shinyanga kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM

    Jumatano, Jan 25, 2023. Shinyanga mjini, Shinyanga. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) amezungumza na wanachama wa CCM mkoa wa Shinyanga kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Shinyanga mjini mkoani Shinyanga. Katika ziara hiyo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ungemteua Jerry Muro kuwa Mwenezi wa CCM Taifa ungekuwa Umeupiga Mwingi zaidi

    Ana kila Kitu tena huyu ni zaidi hata ya alivyokuwa Nape Nnauye na alivyo huyu Uliyemteua sasa Dada Sofia Mjema ambaye kwa Uzito wa hiyo nafasi sioni kama ana amsha amsha na Ubavu wa Kutema Cheche. Mtu mwingine ambaye nafasi hii ingemfaa sema tu kwa sasa ni Mbunge ni Livingston Lusinde Mtoto wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania MNEC Mlao akitema cheche Misenyi, Kagera

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) ametikisa kwa kishindo kikubwa kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Misenyi mkoani Kagera.
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe asikitishwa na wanaobeza maridhiano ya CCM, CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza kusikitishwa na baadhi ya wanachama wa chama hicho kumfikiria kuwa anasaliti Watanzania kwa kufanya maridhiano ya kisiasa na CCM. Akizungumza na wananchi leo Jumamosi Januari 21, 2023 wakati wa ufunguzi wa mikutano ya hadhara ya chama hicho, Mbowe...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na mwendo wa kula kwa urefu wa kamba zao

    Wananchi tunalalamika na mzigo wa kodi usio wa haki. Wanaanza kudai kodi ya pango day 1 umepangisha baada ya safari ndefu Isiyowahusu wao ya ujenzi wa nyumba. https://www.jamiiforums.com/threads/wizi-wa-tra-kupitia-kodi-ya-pango.2058986/ Wao Kodi hawalipi, ila sisi. Kulikoni bus hili la...
  9. JamiiForums Tanzania Nalaani suala la Sizya wa Clouds kuuliza ukomo wa Uenyekiti wa Mbowe

    Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question " Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia nafasi ya Uenyekiti? Kwa kifupi Msigwa alishindwa kabisa kulijibu swali hili zaidi ya kuruka ruka...
  10. JamiiForums Tanzania Hofu ya CCM kwa vyama vya upinzani ni ya kweli?

    CCM na hata Mwl Nyerere RIP hofu Yao kuu kwa vyama vya upinzani ni kuvurugika kwa umoja, amani na mshikamano wa watanzania, kuvunjika kwa muungano na vita ya wenyewe kwa wenyewe. Je, hofu hii ni ya kweli na dhahili? Je, wanasiasa wa vyama vya upinzani wanao uwezo wa kudumisha mshikamano...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe: Matatizo inayopata CHADEMA hata wanaCCM wanayapata

  13. JamiiForums Tanzania Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

    Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo. Hakukuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Nicholaus Ngassa apongezwa na CCM wilaya ya Igunga kwa mchango wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi

    📍 Igunga, Tabora Habari Picha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga Ndg. Mafunda Temanywa kwa ajili ya kutambua mchango...
  15. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mchele, maharage, na sembe ni ishara kuwa sasa CCM inamajali mkulima

    Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna watu na viatu ila kuna wengine ni ndala na vingine

    Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu. Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
  17. R

    JamiiForums Tanzania CCM watatema ndoano au watakubali kunaswa na hoja za wapinzani?

    Wana CCM wamekaa miaka sita Bila kujibu hoja za upinzani; lakini pia Kwa safu waliyonayo hakuna timu ya kupambana na wapinzani. Nchi imepitia mdororo WA kiuchumi usiosemwa, madeni yameongezeka na miradi isiyoendelevu NI mingi. Kufunguliwa Kwa majukwaa ya kisiasa maana yake nikuruhusu akina Tundu...
  18. JamiiForums Tanzania CCM yaagiza Serikali ya CCM kugawa vishikwambi Kwa walimu kama waziri mkuu alivyosema!

    This is ridiculous! Ndio unavyoweza kusema! Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu.. Anyway
  19. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa wiki moja Walimu wote wapate vishikwambi

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023 kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. CCM imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Je, kwanini CCM wanajipa taswira ya kimwinyi na kijima?

    Wasalaam JF Niende kwenye mada moja Kwa moja, hivi makatazo ya mikutano na uhuru wa kisiasa ilijikita katika muktadha upi na hi dhana ama kasumba ya viongozi na serikali ya CCM kuogopa kukosolewa, ni nini kama sio umwinyi na ujima wa kizandiki, na kama wanajiita chama Cha mapinduzi hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…