ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kuwaamini CCM inatakiwa uwe na ngozi ya kenge pori

    Imagine hawa ndio walikua wazalendo no moja tz kwa mujibu wa wao wenyew, mi natoa RAI kwa CCM. Jaribuni kwenda na wakat dunia ishabadilika watanzania wameamka na wana uelewa mpana san!👇👇👇👇
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maandalizi muhimu kabla ya uchaguzi ili kuepuka kusema umeibiwa kura Chama chako kinaposhindwa

    Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili. Kwanza, Kila chama kinatakiwa kihakikishe kina wanachama wafia chama ambao watakuwa pamoja na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania CCM izisikie sauti hizi za ukombozi

    Hali si hali. Sauti za kudai haki na usawa hizi siyo za kupuuza tena: Kwa hakika tumedhamiria mno. "Hamna uchaguzi mkuu bila tume huru." Ikawaingie vyema akilini. Ipo tofauti kubwa baina ya kutoshiriki uchaguzi na uchaguzi kutokuwapo. Busara na ikawaingie ma CCM wahafidhina hawa kabla...
  4. JamiiForums Tanzania Nape asema utakuwa mtu wa ajabu sana ukiamini kuwa CCM hutoa takwimu sahihi kwa umma

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameibua mjadala kwenye mtandao wa X baada ya kusema kuwa amefanya kazi makao makuu ya CCM kwa takriban miaka 20, na mtanzania atakayepata takwimu zozote zinazokihusu chama hicho na akazimini atakuwa mtu wa ajabu. “Mpaka report...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro akabidhi Mifuko ya Saruji 50 Ujenzi Ofisi za CCM Tawi la Mahenge

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa JImbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameambatana na Komredi Alhaji Mwinyi Msolomi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Songea kutoa msaada wa mifuko 50 ya Saruji ili kuwezesha ujenzi wa Ofisi ya Tawi la Mahenge Kata ya Songea...
  6. JamiiForums Tanzania Kyela: Sugu aendelea kuelimisha wananchi kuikataa CCM

    Hii hapa ni Kata ya Kipeta , akishirikiana na Daniel Naftari , kijana aliyeporwa ubunge 2020 kwa mtutu wa bunduki Kinachoogopesha ni umati unaojaa kwenye mikutano yake , yaani huwezi kutofautisha na ile inayoendelea Lindi na Mtwara
  7. JamiiForums Tanzania Kama huyu mzee anapata mashaka na CCM, mimi na wewe ni nani mpaka tuwaelewe?

    Habari JF, katika pita pita zangu nimekutana na hii clip, mzee anaongea kwa uchungu katika mkusanyiko wa kijiji. Kaenda mbali mpaka kuuliza kwamba Tanzania hii wanaojua kusoma na kuandika ni CCM peke yao tu. Kama anavyoongea ni kweli, sisi ni nani tusiwe na mashaka na hiki Chama?
  8. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye, January Makamba na Ridhiwani Kikwete wasipotumbuliwa kura za CCM zitayeyuka Kanda ya Ziwa

    Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao. Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Video: Watu wenye maoni ya kuikera serikali kama huyu dada ndio wasiotakiwa na serikali ya CCM. Sitashangaa polisi wakimkamata kwa uchochezi!!

    Kwa ufupi na kwa uchache; "Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!" "Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine...
  10. JamiiForums Tanzania Mbozi: CCM yaagwa rasmi, Sugu awasha moto wa Katiba Mpya

    Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha. Akihutubia Maelfu ya Wananchi katika kitongoji cha Shule , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph...
  11. JamiiForums Tanzania CCM Kata ya Jangwani yasoma Khitma Kuwarehemu Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KATA YA JANGWANI IMESOMA KHITMA KUWAREHEMU WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA CCM Kata ya Jangwani leo wamesoma khitma kuwarehemu wapigania uhuru wa Tanganyika waliotangulia mbele ya haki. Wana CCM wa KATA ya Jangwani kwa kuzingatia kuwa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM...
  12. JamiiForums Tanzania Lindi: Mbunge wa CCM Nachingwea azomewa na Wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”. Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na...
  13. JamiiForums Tanzania Kitendo cha CCM kutaka kuhodhi mchakato wa Katiba kama walivyofanya mwaka 1977 na 2014 kitasababisha tushindwe kupata Katiba Bora.

    UPATIKANAJI WA KATIBA YASASA (1977) Historia inatunesha Katiba hii ya tuliyonayo ya mwaka 1977 ilipatikana kutokana na tume ya Rais iliyokuwa nawajumbe 20, kwa idadi sawa toka pande zote za muungano ikiongozwa na Sheikh Thabit Kombo akisaidiwa na Pius Msekwa kama katibu wa tume hii ya Rais. Hata...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM: Mruhusu ushindani kwa Wagombea Urais ndani ya CCM

    Ni muda muafaka sasa umefika CCM iruhusu ushindani kwa wagombea Urais ndani ya Chama. Vile vile, kofia ya Urais na ya MwenyeKiti wa CCM Taifa itanganishwe ili iwe rahisi kwa Chama kuisimamia Serikali. Nawasilisha.
  15. JamiiForums Tanzania Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  16. JamiiForums Tanzania Siku TEC ikitoa waraka kupinga uchaguzi uliochezewa matokeo CCM itaondoka madarakani

    Salam Wana JF, Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa. Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo. Hii taasisi imesababisha...
  17. JamiiForums Tanzania Nachingwea wazidi kurudisha kadi za CCM

    Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu. Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya CCM mikoa ya Kusini. Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za CCM baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961. Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kuchokwa huku, CCM ijitafakari

    Hali hii ni tete: Kwa mwendo huu endeleeni kukaza ubongo.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania adui yetu mkubwa ni CCM na mfumo wake

    Napenda watanzania waelewe vizuri kuwa CCM ndio adui yetu mkubwa. CCM ipo madarakani kwa miaka 60 sasa na bado tunahangaika na maji vijijini, madawati, chakula na magonjwa yanayotibika bado yanaua watu nchi hii. Blaa blaa za CCM zimeifikisha nchi hii katika umaskini mkubwa hata baada ya kuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania CCM ndiyo inayopingwa na siyo Serikali.

    Kinachopingwa ni CCM kwa uwezo wake dhaifu wa kuendesha Serikali ya nchi yetu na hakuna mtu anayeipinga Serikali. Serikali ni yetu sisi sote bali CCM ni chama chao wao wenye kupenda kuitumia Serikali yetu Kwa maslahi yao binafsi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…