Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Nianze kwa kuwapa pole na kuwaombea kwa mwenyezi Mungu ndugu zetu wote waliopata majanga ya mafuriko popote nchini Tanzania, pili nimpe pole Mh. Raisi mama Samia suluhu Hassan kwa kitendo cha kuzalilishwa kwenye mitandao, binafsi naamini ni utamaduni mbaya sana na hasa niliposikia waratibu wa...
Tumetawaliwa na chama kimoja (CCM) tangu nchi ipate uhuru. Serikali ya CCM inahusika na makazi holela yanayokumbwa na mafuriko tunayoyashuhidia yanayosababisha maafa na hasara kubwa wa raia na kodi zetu.
Seikali imeruhusu watu kujenga na kulima popote bila kujali kuna hatari gani. Serikali...
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa kutofurahishwa na kauli pamoja na tabia za Paul Makonda.
Wakati Makonda...
Mwenyekiti wa CCM (W) Rorya, Ongujo Wakibara na DC wa Rorya, Juma Chikoka jana usiku wamefanya Kikao na Viongozi wa Tarafa ya Suba nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM (W) Ongujo, Wakibara Shirati
Lengo la kikao ni kuwapanga Wajumbe wa Halmashauri Kuu kutoka Tarafa ya Suba kuwazomea Viongozi Wastafu...
“Sitaki kuamini kwa wasomi kama wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vijana wengine wa Kitanzania kama sisi tunaojitambua na kujielewa, tutashindwa kuifuatilia historia ya nchi hii (Tanzania), na kwa sasa kwa sababu ya uongozi tulionao na kama kawaida ya nchi yoyote, nchi yetu inaongozwa pia na...
Heshima sana wanajamvi,
Huko CCM mambo yamekuwa mambo nahodha haheshimiki tena kila mmoja na lwake.Wote wanataka nafasi ya nahodha wanasema muda wake umeshapita keshakula vya kutosha atuachie na sisi tujinafasi kwa wakati wetu.
Wazee wanateseka kuweka mambo sawa,muda si rafiki tena mambo...
Nchimbi najua hapa hili Dongo unampiga nani, ila nakujua Wewe ni 'Mafia' hivyo hamtamchekea huyo mjinga.
Taarifa hii iko katika Gazeti la Leo (Jumapili tarehe 14 Aprili, 2024 ) la Nipashe katika ukurasa wake wa Pili. Kaisomeni Ok?
Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM?
Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM?
Kwani kuna jipya lipi...
Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league
Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu za kuamua nani bingwa msimu huu.
Tukutane hapa kwa update.
KIKOSI CHA SIMBA
KIKOSI CHA IHEFU
Samia kupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na...
Tunaweza kujiuliza maswali magumu kuhusu usalama wa viongozi wa chama cha mapinduzi. Lakini pia ikawa hoja ya usalama wa viongozi na watu maarufu nchini.
Sina uhakika kama anayetukanwa ni Rais au ni Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi lakini najiuliza huko wapi usalama wa wanaotuhumiwa?
Je...
Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia.
Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure.
Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya.
Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma...
Vyanzo vyangu ndani ya CCM vinadokeza kuwa wanahabari wawili, Dennis Joe Msacky na Aboubakary Liongo wamelamba teuzi.
Dennis Joe Msacky kateuliwa kuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi.
Naye Aboubakary Liongo kateuliwa kuwa Mkuu wa Mawasiliano...
Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku.
Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali sana. Ntobi na MMM wanaporomosha matusi mazito kwa kada mwenzao Fred ambapo Fred nae hajakaa kinyonge...
Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine
"….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote.
Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa...
Matokeo ya kukosekana Kwa Katibu wa CCM mkoa HUO, majibu haya hapa.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi mkoa ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa mkoa, anatukana wanachama
https://youtu.be/c7T6FjRrxHM?si=BVSP3wN3vUE6ZVsA
Asalam Aleykum ndugu zangu wa JF.
CCM ni chama imara na chenye "Intelijensia" bora kabisa duniani. Ndiyo maana pamoja na changamoto ambazo zimekuwa zinatokea ndani na nje ya chama, bado ni moja kati ya vyama vikongwe zaidi Afrika na duniani kwa ujumla ambacho kimeendelea kushikilia dola (au...
“Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress”
In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
Hii ndio sababu ya Chama cha Mapinduzi ccm kutapatapa.
Kiukweli ni kuwa ccm haina tena kitu cha kuwadanganya wananchi cha kusema inaeneza.
Siasa za hadaa na ahadi za uongo zimekuwa ni zile zile kwa miongo kadhaa.
Baada ya Nape Nauye na sera yake ya kujivua gamba ambayo kiasi fulani ilileta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.