ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"

    Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi kahonge wanaohongeka". Hakika Lisu ni mwadilifu mno huyu mwamba. Anastahili kuwa rais 2025. Na njia...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge agalagala kwenye mchanga akimuombea Kura Rais Samia

    Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe. Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema...
  3. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alikuwepo, alifanya mikutano, ila hakuwa anavuma kama sasa, CCM ilifanya makosa kumtoa Makonda kwenye uenezi!

    Siasa ni kama biashara, huwezi kupeleka viatu kwa wamasai ukashindane na wanaouza ndala za mataili, itakuwa ni ujinga Vile vile huwezi kupeleka sembe mahali ambako watu wanamahindi yao na huyatumia kula dona, itakuwa wendawazimu wa kiabiashara Wananchi wengi wanamkubali Makonda, maana ndiyo...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ataka wabadhirifu na wezi waombewe ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke!

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke. Amesema haiwezekani Rais Samia anahangaika kutafuta fedha ndani na...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Club House imeachiliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu? CCM na michezo ya kitoto kuhadaa umma kuelekea uchaguzi 2025!

    Wakuu, Baada ya kuona uzi hapa wa mdau kuuza move ya site za ngono kufunguliwa nikaenda kuangalia kama Club House imeachiliwa pia, maana ilikuwa kundi moja ya sites/apps zilizozuiwa na serikali kuminya uhuru wetu wa kuwasiliana na kupata taarifa. Nilipojaribu kufungua ulikubali, ila nilitoka...
  6. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Leo 8/6/2024 asubuhi Mjumbe wa Nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM

    Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao. Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni...
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ajira lukuki, heko ccm na serikali yake!

    Kampuni HOPE HOLDINGS ambayo inaendesha biashara mbalimbali katika Jiji la Dar es salaam kama vile Mgahawa wa Papparoti, Super Market maarufu ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carperts Mlimani City na Maduka ya FLO, Bottega Verde, Flormar, Skechers, Defacto na LC Waikiki, imetangaza nafasi za ajira...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Swali muhimu: Anayefanya Uteuzi ni Rais Samia au Idara ya Usalama wa Taifa?

    Naona kila kona sasa hivi ni juu ya mafyongo ya teuzi. Nakumbuka enzi za hayati Julius (Mwl) mtu alikuwa akipata taarifa za teuzi zake kupitia RTD na unakuta mtu yupo baa, nyumbani au kilabu cha Pombe ndio saa mbili usiku anasikia kuteuliwa kwake. Ila nasikia enzi hizo ni idara ilikuwa kifanya...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

    Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu. Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mohammed Kawaida: CCM Haiwezi Kuyumba

    "Katika siasa tulizonazo za ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi hatujamuona Mwanasiasa mkongwe mwenye uwezo na utashi mwenye Upendo kwa watu kama alionao Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwasababu ametengeneza mahusiano mazuri na watu. CCM haiwezi kuyumba" - Ndugu Mohammed Ali Kawaida, Mwenyekiti...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umasikini, Ujinga, Yanga na Simba na kutojali ndio mitaji mikuu ya CCM

    UMASIKINI,huu ndio mtaji mkuu namha 1 kwa CCM na hawa watu hawako tiyali kuona umasikini unaisha Tanzania. Umasikini ni mtaji mkubwa sana hasa wakati wa kampeni, kuna watu huhongwa viberiti ka kule kwa Lukubi, na kuna raia huhonhwa Chumvi, ka kule Shinyanga.ili CVM iendelee kutawaka lazima...
  12. Blender

    JamiiForums Tanzania BRELA: Hili tatizo la kufungua accounts (ORS), ni mimi tu nakumbana nazo au na nyie Pia

    Nawasalimu Kwa USD dollars. Tokea week iliyo pita nilikuwa nataka kusajili AU Ku register name of my company lakin Shida inakuja kwenye ufanisi wa system Yao ya (ORS). Yaani inazingua mno, kuna Muda inashindwa Hata Ku fetch NIDA informations za mfungua company. Najua humu JF kuna wadau...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

    Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM). Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza, kuwatumikia na kuwaletea Watanzania wote maendeleo. Nchi imefunguka vizuri, biashara imefunguka...
  14. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya utafiti wa kina juu ya rushwa, wizi na ufisadi ndani ya nchi, JPM alitaka kujenga CCM mpya, wazalendo njaa wa upinzani hawakumwelewa

    Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio ndani, wape 10% zao. Vigogo wa chama na serikali ndio wamehodhi biashara zote kubwa kubwa, na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yake sijaona kiongozi afadhali kwa sasa CCM!

    Hivi karibuni nimekuwa nikipinga sana kushidwa kwa Raisi Samia kwenye kuleta katiba, sheria mbaya ya uchaguzi, uhusiano unao dorora kwa upinzani, mikataba ya sirisiri na kutokutumia nafasi vizuri. Lakini kwa vigogo wa sasa wa CCM na hawa mawaziri wake hakuna mtu hata mmoja ambaye ni afadhali...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla adai CCM haijawahi kuiba kura. Amtaka Tundu Lissu kuacha kutisha Wananchi

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM haijawahi kuiba kura, Kama haitoshi amemshutumu Tundu Lissu kwamba aache kutisha na kupotosha Wananchi...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu tawi la UDSM kujengwa Chato

    Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe. Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato? Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi 👇 --- WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa...
  18. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Anguko la ANC, CCM hamna muda mrefu, anguko lenu halipo mbali

    CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha itaondolewa madarakani. Moja ya matamanio ya Wa TZ ni CCM kuanguka. CCM has proven failures kwenye kila sekta, na for as long as CCM itakuwa madarakani, TZ haitoweza kuendelea kamwe. Samia hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa...
  19. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Najitahidi walau kufuatilia hili bunge kipindi hiki cha bajeti lakini Wabunge wanakera sana hasa wa CCM

    Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi mtowa taarifa halafu taarifa yenyewe pumba tupu. Hivi spika haoni kumkarisha mtu chini wakati alikuwa...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
Back
Top Bottom