ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kitachoiondoa CCM madarakani ni Ukosefu wa ajira kwa vijana Kiburi, dharau na Propaganda za Maji taka ndo aguko la CCM

    Ukosefu wa ajira kwa vijana amabo ni GenZ hawa ndo wanafanya ccm wanalala macho wazi pamoja na vitisho vyote lakini vijana wa Ge-z waliweza kutoka nje October 29 bila kuogopa. Kwa mbegu iliyopandwa October 29 wasifikiri Gen Z wamekubali yaishe pamoja na kuona wenzao wanapigwa risasi marafi...
  2. JamiiForums Tanzania CCM mtandao waonesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga, Humphrey Polepole alishatuonya

    CCM mtandao waonyesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga. CCM mtandao kwa mara nyingine tena wameonyesha nani hasa ni adui wa maendeleo ya nchi ya Tanzania baada ya kupinga mradi wa billionea Aliko Dangote wa kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta takribani mapipa 650, 000...
  3. JamiiForums Tanzania Muundo na Mfumo wa kiutawala wa CCM ni wa Milele

    Hii ikimaanisha, kamwe haiwezekani CCM kushindwa uchaguzi wowote itakaoshiriki hasa kwenye nafasi za kitaifa, na wala kamwe haiwezekani uongozi wake kupinduliwa na vibaraka wa ndani au nje ya CCM yenyewe. Ni mfumo imara na madhubuti sana wa kiutawala wa milele. Na ndio maana mpaka leo hakuna...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Chama akipewa uraia ndio Taifa Stars itafanya vizuri? Hii CCM imekosa maono. Hawafikirii kuboresha maisha ya Walimu wanafikiria porojo

    Walimu wengi wanaishi maisha magumu sana. Nyumba za shida na mazingira ya kufundishia ya shida na tabu tupu. Inakuwaje chama kupewa uraia imekuwa kipaumbele kuliko maendeleo ya walimu?
  5. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Tumeanza mazungumzo na ACT Wazalendo ya malalamiko yao kuhusu Serikali ya umoja ya Kitaifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amevunja ukimya kuhusu mazungumzo yanayoendelea baina ya chama chake na ACT Wazalendo kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Mara kadhaa viongozi wa ACT Wazalendo ndiyo wamekuwa wakizungumza kuhusu mazungumzo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa panic na ujinga: Tutaona makada wa CCM kwenye vyombo vya usalama

    Yaani itakuwa kupanda cheo jeshini, usalama, polisi ni lazima uwe kada na uteuzi utafuata makada kwanza ndiyo tunapoenda. Hii ni kwasababu CCM imeishiwa njia nyingine zote za kushindani kwa hoja na kupambana na demokrasia
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kituo kinachofuata iwe Mwanza. CHADEMA wafanye mkutano mkubwa Furahisha. Wananchi wa Mwanza wapewe pole kwa ndugu zao kuuliwa

    Huo ndio ukweli wenyewe. Hapo Mwanza zilitembe risasi mithiri ya watu wapo Vietnam. Ghana, kilimahewa, Ilemela na maeneo yote ya Mwanza yalichafuka. Mijegejo ilimiminwa kama vile watu wapo Vietnam. CHADEMA nendeni Mwanza mkawape pole wananchi wa Mwanza. Mueleze ukweli tofauti na tume ya Jaji...
  8. JamiiForums Tanzania Katibu Uenezi CCM Arusha: Godbless Lema ni kama Afisa Masoko wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amefunguka kuelekea mkutano wa chama cha Chadema amesema kwamba Godbless Lema ni mkuu wa masoko wa CCM Soma Pia: Godbless Lema: Watu wa Ikulu walipiga simu wanaomba watu wa CHADEMA isaidie...
  9. JamiiForums Tanzania CCM yaua stand ya mabasi ya Magufuli baada ya Magufuli kufa

    Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia. Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii...
  10. JamiiForums Tanzania CCM Haiwezi Kulala: Rais Ashuka Shina

    CCM haiwezi kulala, Rais wa nchi asingekuwa anakaa kwenye vikao vya kawaida vya shina kusikiliza wanachama. Chama kinatuma ujumbe mkubwa kwa wanaodhani chama kimepoteza mwelekeo.
  11. JamiiForums Tanzania Tathimini: Kwa huu mziki waliouwasha CHADEMA Leo huko Arusha kama kungekuwa na tume huru na Katiba mpya CCM wasingetoboa uchaguzi 2025

    Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na kamati maalumu ya wanaCCM hawakuzidi hata watu ishirini. Ndio maana inawafanya CCM kudhurumu uchaguzi na kukaa madaraknai kwa nguvu. Katiba inasababisha kuwa tume ya uchaguzi isiwe huru Leo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CCM huko Kilimanjaro (Chugga) amemrubuni mke wa mtu na kumuoa (bibi harusi). Kufuatia kadhia hiyo, wananchi wa eneo hilo wamecharuka vibaya sana wakimtaka mwenyekiti huyo awajibike kwa ukware wake wa kuchukua wake za watu mara kwa mara huku akijua...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Viongozi wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya vizuri, baadhi ya sehemu hatujafanya vizuri

    Mbunge wa Kigoma mjini akifanya mahojiano na Chief Odemba amesema “Bado kuna baadhi ya Sehemu hatujafanya Vizuri, Viongozi na wanachama wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya Vizuri ili tutibu huo ugonjwa, Lakini kukataa tu kwamba tumeshatisha sana, tumetisha kwenye nini?”
  15. JamiiForums Tanzania CCM yaunga mkono pendekezo la kujitathmini zaidi kwa lengo la kukiimarisha zaidi

    Tuwaambie tu CCM mitaa imewakataa sanaa! Mmeifanya nchi kuwa ngumu sana mambo ya hovyo yamekuwa mengi sana, maisha yamepanda yani yamezidi kuwa magumu Ila wenzetu nyie mnakula raha tu ============= Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa leo Mei 7,2026 imefanya kikao chake cha kawaida jijini Dodoma...
  16. JamiiForums Tanzania Samia akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM - Dodoma, Alhamis 07 Mei, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Jijini Dodoma Leo Alhamis tarehe 07 Mei, 2026.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Panga pangua CCM: Dkt. Migiro kung'atuka, Wasira naye kuondoka

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya uamuzi mgumu wa kuridhia kung’atuka kwa Katibu Mkuu wake, Dk Asha-Rose Migiro na kupitisha jina la kada mwingine kushika nafasi hiyo, taarifa zinaeleza. Mbali ya Dk Asha-Rose, taarifa zinaeleza kuwa Makamu Mwenyekiti, Stephen Wasira huenda...
  18. JamiiForums Tanzania Kama ipo ipo tu; CCM na Rais Samia wanazidi kudharauliwa na Watanzania, CHADEMA inazidi kukubalika

    Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa. Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo.. Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil...
  19. JamiiForums Tanzania Je 2030 CCM itaingia tena kwenye uchaguzi bila Chadema???

    Uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi ambao binafsi sitokuja niusahau. Kwani ni uchaguzi ambao CCM walipata pigo, na aibu ya Karne. Kwa miaka mingi CCM wamekuwa wakiiba kura za wapinzani, kitendo Cha Strong opposition party kushiriki uchaguzi kilikuwa ni faida Kwa CCM, kwani turnover ya wapiga kura...
  20. JamiiForums Tanzania Masasi wa Chaumma kuchuana na Emmanuela wa CCM kumrithi Lukuvi jimbo la Isimani

    Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) iliyokutana leo Jumanne, Mei 5, 2026 Kinondoni jijini Dar es Salaam imemteua Daudi Masasi kuwa mgombea ubunge wa Isimani mkoani Iringa. Uchaguzi mdogo wa Isimani utafanyika Juni 1, 2026 kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wake kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…