Wajumbe/mabalozi wa CCM watupa bendera za chama chao

Wajumbe/mabalozi wa CCM watupa bendera za chama chao

Jokeri112

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2025
Posts
311
Reaction score
582
Habari za muda huu waungwana!

Katika Hali ya kustaajabisha, wakati wa pita pita zangu katika kata yangu nimekuta BENDERA ZA ccm ambazo tumezoea kuziona zikipepea katika nyumba za mabalozi/wajumbe wa ccm zikiwa zimeshushwa, wengine wamefika hatuna ya kuzifanya tambara za kudekia

Screenshot_20251110-131213.png
 
Habari za muda huu waungwana!

Katika Hali ya kustaajabisha, wakati wa pita pita zangu katika kata yangu nimekuta BENDERA ZA ccm ambazo tumezoea kuziona zikipepea katika nyumba za mabalozi/wajumbe wa ccm zikiwa zimeshushwa, wengine wamefika hatuna ya kuzifanya tambara za kudekia View attachment 3499767
Hii mbona tangu October 29
 
Huku kuna baloz nilimkuta anabomoa yale mabango ya matawi na shina yale yanoyojengwa kwa tofali

Alianza kuvunja saa 10 alfajiri alivunja mpaka msingi wake kisha akafagia vpande vile vya kijani kijani!
 
Siku ya Tar 29 Mjumbe mmoja anaangalia tbc akasema wanatuoneaha Picha za mchongo wakati watu hatujaenda kupiga kura 🤦 na ni mzee
 
Kuna diwani moja la fisiemu tarehe 30 alikuwa anapita nyumba kwa nyumba mstimu kwa mstimu kubandua vipeperushi vya matangazo vyenye picha yake.

Anabandua yeye na familia yake wanaogopa balaa.
hawataishi kwa amani
 
Habari za muda huu waungwana!

Katika Hali ya kustaajabisha, wakati wa pita pita zangu katika kata yangu nimekuta BENDERA ZA ccm ambazo tumezoea kuziona zikipepea katika nyumba za mabalozi/wajumbe wa ccm zikiwa zimeshushwa, wengine wamefika hatuna ya kuzifanya tambara za kudekia

Waziache kwani hawajipendi?

Hawa ndio target number one ktk operesheni fyatua CCM wote na biashara zao na washirika wao

Si hao tu, kulikuwa na vyombo vya usafiri vingi kama mabasi, private cars nk zilikuwa na picha na rangi za CCM. Wote wamefuta alama hizo

Waliokuwa na zile baiskeli na pikipiki wamebadili rangi na wengine kuzificha ndani tu wakidhani kutatulia waendelee kuzifurahi

Hutawaona wavaa kofia na tisheti tena za chama hiki barabarani milele..!!
 
Habari za muda huu waungwana!

Katika Hali ya kustaajabisha, wakati wa pita pita zangu katika kata yangu nimekuta BENDERA ZA ccm ambazo tumezoea kuziona zikipepea katika nyumba za mabalozi/wajumbe wa ccm zikiwa zimeshushwa, wengine wamefika hatuna ya kuzifanya tambara za kudekia

Sio bendera tuu hata zile baiskel sizioni tena wamepandisha darini😆
 
Sasahivi hawataki kubaki hata na leso ya CCM maana unaweza kutoa hadharani ikala kwako
 
Back
Top Bottom