ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa zamani wa Sumbawanga: Viongozi msing'ang'anie kukaa bungeni muda mrefu

    Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa M bunge wa Sumbawanga, Paul Kimiti, amesema wanasiasa wanatakiwa kukaa bungeni kwa muda maalum na kuondoka wakiwa bado wanahitajika na wananchi, badala ya kusubiri hadi wachokwe. Kimiti amesema si vizuri kukaa muda mrefu bungeni, na kwamba hata yeye aliamua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA HII ITAPATA MBUNGE ANGALAU MMOJA?

    Tuangalie safu ya vyama vyote Mwenyekiti wa ccm- amiri jeshi mkuu, Rais wa Tanzania. Mwenyekiti wa chadema- alikuwa mbunge, mwanasheria wa kujitegemea Makamo mwenyekiti wa ccm- waziri wa miaka mingi, mbunge wa miakq mingi Makamo mwenyekiti chadema- mbunge wa miaka 10. Makamo mwenyekiti...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba ya CCM: Malengo ya CCM, Nguvu za CCM, Vikao vya CCM, na Mamlaka ya Mkutano Mkuu wa CCM, Uamuzi Wake ni wa Mwisho!, Final & Conclusive!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, na kwa muda mrefu, nimeandika sana kuhusu katiba ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa ilani ya ccm 99% imetiki nje ndani moshi mjini

    UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 99% IMETIKI NJE NDANI MBUNGE WETU PRISCUS TARIMO AMEKUWA MSIMAMIZI IMARA WA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MDANI YA JIMBO LA MOSHI MJINI. MBUNGE WETU AMEPIKWA VEMA NA CCM KUANZIA UVCCM KISHA KUWA KIONGOZI WA KADA TOFAUTI NA HII IMEMFANYA MBUNGE WETU KUWA BORA. HATUNA...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Njombe: Kuna wanasiasa wameifanya Tanzania kama Gheto. Wanavuruga amani alafu kesho anakata tiketi anaondoka!

    Lengi la kauli kama hii ni kumlenga nani? Kuna wanasiasa hapa Tanzaniq familia zako ziko nje ya nchi. Naomba kujuzwa ====================== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein, anasema anakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama 'gheto' na siyo makazi rasmi...
  6. milele amina

    JamiiForums Tanzania Hatari ya CCM Kuchagua Nchimbi Mapema kugombea Umakamu wa Rais

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa makini na maamuzi yake, hasa katika kumchagua Nchimbi kuwa Makamu wa Rais kuelekea mwaka 2030. Hatari hii inaonekana wazi kwa sababu inawezekana kwamba tunajenga msingi wa Rais wa mwaka 2030 hadi...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es salaam

    https://www.youtube.com/live/ZcC1DjuaCGA?si=v690LB1yPXEmkK6v ======= Kuelekea maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi CCM, katika kata ya bunju halmashauri ya manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla amefungua...
  8. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huenda CHADEMA ya Lissu ikawa na nguvu Zaidi Wanaotaka Kuhama kisa Lissu na Heche ni Vinara Wajipe Muda CCM ni Chama Cha Upinzani baada ya Oct 2025

    CHADEMA ni chama ambacho tayari kimepita hatua ya kufa au kufifia kisa Kuna Mwanachama au wanachama kadhaa wameihama kwenye hili nadhani tunakubaliana wote. Kuna kila dalili CHADEMA ikatwaa Dola kwenye Uchaguzi Mkuu huu wa Oct 2025, Jambo hili lilitabiriwa na Mnajimu mashuhuri Duniani...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenezi CCM mkoa wa Arusha: Arusha tutampa kura za kishindo Rais Samia

    Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey amesema wao kama mkoa wanamuombea Mungu Rais Samia Ushindi wa Heshima na watanzania wote wakae tayari kuyapokea maisha mazuri katika miaka mitano mingine ya Dkt.Samia Suluhu Hassan iliafanye ile kazi ya wananchi kwa kuyapokea...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sumbawanga yafanya usafi wa mazingira kwa ushirikiano wa Viongozi wa CCM na Wananchi

    Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa mapema leo Viongozi,Wananchi, Wafanyabiashara, Viongozi wa Serikali na siasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Taasisi na Watumishi wamefanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Sumbawanga ikiwa ni pamoja na barabara za Mjini na...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Uchaguzi mkuu utakuwa huru, matusi na kejeli sio utamaduni wa CCM

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema anaamini uchaguzi mkuu utakuwa huru ambapo mwenye haki ya kushinda atatangazwa mshindi. Soma Pia: Amos Makalla: CCM tumejipanga Uchaguzi Mkuu kushinda kwa kishindo Aidha, Makala amesema kuwa matusi na...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumuiya ya wazazi CCM Njombe yawanoa Mavanga sec juu ya maadili

    Naona sasa wamendelea kutia nguvu katika harakati zao za kampeni mpaka mashuleni sasa si ndiyo? ================== Tabia za wazazi Wengi kushindwa kuwalea watoto katika malezi yenye maadili mema imetajwa kuendelea kuliingiza Taifa kwenye misukosuko na mmomonyoko wa maadili kwa watoto wanaoweza...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania CCM na PP kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Ethiopia - Balozi Dkt. Nchimbi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, pamoja na watu wake. Balozi Nchimbi amesema kuwa ushirikiano mzuri...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe Kamati ya Siasa (CCM) Wilaya ya Ubungo: CHADEMA haiwezi kushindana na CCM majukwaani

    Mjumbe Kamati ya Siasa (CCM) Wilaya ya Ubungo Hamis Abeid Baruani ameiomba serikali kutoa uhuru wa kufanyika kwa siasa za majukwaani ili Chama Cha Mapinduzi CCM kiweze kushindana kwa hoja na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na hatimaye kuweza kuwashinda katika majukwaa na hata...
  15. El Roi

    JamiiForums Tanzania Wassira, mtu aliyepitwa na wakati. ( Man out of the hours)

    Kwa malezi niliyoyapata toka kwa wazazi wangu na makuzi mengine katika maisha, huwa Sina kawaida ya kudharau mtu. Na naomba chapisho langu lisionekane kuwa personal na Mzee wassira bali litazamwe kama jicho la ukweli wangu. Malezi hayo pia yamenifanya kuwa mkweli na mtu ambaye naweza kuongea...
  16. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UWT Itilima: Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM

    UWT ITILIMA: JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WILAYA YA ITILIMA (UWT); MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Tarehe: 31 Januari 2025 Katika kuadhimisha miaka 48 tangu kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya ya Wanawake Wilaya ya Itilima (UWT) ilifanya maadhimisho...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM. Chama ambacho kimeendelea kubeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania, chama...
  19. Hamduni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Samia ni turufu ya CCM kwa Watanzania uchaguzi mkuu 2025

    𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗡𝗜 𝗧𝗨𝗥𝗨𝗙𝗨 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗨𝗖𝗛𝗔𝗚𝗨𝗭𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 2025 Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa kipekee ambaye amebeba matumaini makubwa ya Watanzania. Utendaji kazi wake umejikita katika kuimarisha uchumi, kuleta maendeleo, na kuhakikisha mshikamano wa kitaifa. Kama mwanamke wa kwanza...
  20. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA sasa ni chama rasmi mbadala wa CCM

    Hiki Chama sasa kimebeba taswira ya nchi halisi ya waTZ,wale waliokua mashabiki wa mtu/watu kwa sasa wajue mtu hadumu ila systems/chama nzuri ikijengwa hudumu miaka na miaka. Ni bora watu wahangaike kutengeneza mfumo utakao ishi siku zote. Ile January 21 was really and true revolution ya...
Back
Top Bottom