ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Allen Kilewella

    Ghafla CCM wanampenda Lissu. Yeye ataingia mtegoni?

    Tundu Lissu ni mwanasheria makini na mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu. Lakini natilia shaka kama yeye ni mwanasiasa mahiri na pia sijui kama yeye pia anajua nafasi yake aliyopo kisiasa. Wengi wetu tunajua kuwa tangu mwaka 2005 CHADEMA kwa mara ya kwanza kusimamisha mgombea uraisi, CCM...
  2. T

    CCM ni chama kioga zaidi kwa ushindani wa kidemokrasia kinaongoza Kusini mwa Jangwa la Sahara na AfriKa kwa ujumla!!

    Kwa namna ccm inavyoendesha siasa zake binafsi ndani ya chama, yaani mnampa fomu mgombea mmoja. Ukiangalia kwa makini kilichojificha nyuma ya kituko hicho ni kuogopa changamoto za ushindani ndani ya chama ingawa changamoto hizo zingesaidia sana wananchi kupata chaguo bora la wakati ila wao...
  3. Cute Wife

    LGE2024 TLP: Uchaguzi ulikuwa wa Huru na Haki ila Wapinzani hatukujiandaa kama CCM

    Wakuu, Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔 ==== Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Chama cha Upinzani nchini Tanzania TLP kimesema...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Chama cha NLD chaipongeza CCM kwa Ushindi wa Kishindo Uchaguzi Serikali za mitaa

    Wakuu, Tawi la CCM limeipongeza CCM kwa ushindi mnono😂😂 Chama cha Upinzani nchini Tanzania NLD kimetoa Pongezi kwa Chama tawala CCM kwa kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na kubainisha kuwa wamejifunza mambo mengi sana kutoka CCM katika uchaguzi huu wa serikali za...
  5. Poppy Hatonn

    Walichofanya CCM siyo immoral, ni amoral

    Kwa hiyo sasa CCM imeshinda. Kwa hiyo Wapinzani lazima waridhike na walichopata. It is very unlikely kwamba Uchaguzi unaweza kurudiwa. Naona manabii wengi wanasema Bwana kawaambia CCM itaadhibiwa. Well,we certainly hope so,kwamba CCM itaadhibiwa, lakini sasa CCM ndio imeshika madaraka. Kila...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kuna watu wanaamini kuwa upinzani ni utakatifu na kuwa CCM ni unajisi. Ukweli ni kuwa chama hakimfanyi mtu kuwa Mtakatifu au najisi

    Habari za Sabato! Kuna watu wanaamini kuwa watu wote wa CCM ni Najisi, wezi, majambazi, mafisadi yaani kitendo cha kuwa CCM wanaamini wewe ni muovu. Jambo ambalo sio kweli Wakati huohuo wanaamini kuwa chama cha upinzani kama CHADEMA ndio kuwa Mtakatifu au mzalendo wa taifa. Jambo ambalo sio...
  7. Mindyou

    LGE2024 Lindi: CCM yashinda kwa asilimia 99.9 kwenye Wilaya ya Mtama

    Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya Mtama Anderson Msumba leo Novemba 29,2024 ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu katika halmashauri hiyo. Msumba amesema kati ya nafasi za uongozi 2,325 zilizoshindaniwa na vyama vinne vya siasa,Chama...
  8. Inside10

    LGE2024 Tabora: Kada wa CCM ajiua baada ya Kada wa CHADEMA kushinda Uenyekiti wa Kitongoji

    Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha...
  9. Paspii0

    CCM ni mwarobaini wa Taifa

    Kwa mvumo wa upepo wa historia, CCM inasimama, mwanga na kivuli, Katika shingo za wanyonge, majuto na matumaini, Pamoja na machungu, bado ni kimbilio. Mwarobaini wa taifa, au nadharia ya kimapokeo? Jua linapozama, giza linapofika, Hapa, ambapo matumaini yanakufa kwa kasi, Wengi...
  10. Cute Wife

    LGE2024 Zitto: Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe

    Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto ameongea mengi: - Amewaonya CCM kuwa wanachofanya kwa sasa kitawageuka kama inavyotokea nchi nyingine. - Ametolea mfano yanayoendelea Angola na Msumbiji kuwa Vyama tawala vilitegemea Vyombo vya Dola kubaki madarakani -...
  11. L

    LGE2024 Asanteni Watanzania kwa kuendelea kuiamini CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Mapinduzi kinatoa shukurani za dhati kwa wanachama wake, wakereketwa,wafuasi na watanzania wote kwa ujumla wake kwa kukipigia kura nyingi za ndio na hivyo kukiwezesha kushinda kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Dunia nzima. Chama cha Mapinduzi kinaahidi...
  12. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 CCM Simiyu watoa pongezi za shukurani kwa Wananchi Kuipa ushindi wa 98.8%

    Pongezi kwa Wananchi wa Mkoa wa Simiyu kwa Ushindi Mkubwa wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kinapenda kutoa pongezi za dhati kwa wananchi wote wa Mkoa wa Simiyu kwa kuonyesha imani kubwa na kuendelea kutoa msaada wa hali ya...
  13. Waufukweni

    LGE2024 Njombe: CCM yashinda kwa asilimia 99.7 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Njombe Kimefanikiwa kushinda uchaguzi wa serikali za Mitaa katika vijiji 377 kati ya 381 Mitaa 81 kati ya Mitaa 82 na Vitongoji 1819 Kati ya 1832 Vilivyopo mkoani hapa sawa na asilimia 99.7. Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Siasa Uenezi na Mafunzo CCM Mkoa wa...
  14. Waufukweni

    LGE2024 Amos Makalla: CCM ina makada sita waliopigwa Mapanga na Kuuawa

    Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo vya kupigwa na kuuawa.
  15. Cute Wife

    LGE2024 Makalla: Ushindi wa CCM umechangiwa na migogoro ya wapinzani, CCM imeonesha Demokrasia

    Wakuu, Tumeona ni chama kimoja tu ndio kilikuwa na sintofahamu kidogo kutoka kwao, kwahiyo hapa alikuwa anamaanisha ushindani ulikuwa kwati ya wao na CHADEMA pekee? ==== Katika mkutano wake leo Novemba 29, 2024 Amos Makalla ametoa sababu mbalimbali zilizofanya CCM kupata ushindi mnono...
  16. BLACK MOVEMENT

    Hivi ndivyo Wakenya wanavyo tafutiwa kazi Tanzania, nyie mkisugua benchi na mkingoja Mbowe aandamane kuwatetea

    Hizi ni kazi ambazo zinaweza sana fanywa tu na Watanzania, ila sasa sijui ni wawekezaji au la, wanatafuta Wakenya, na inaonekana hawataki Watanzania. Tena analipwa pesa nzuri na nyumba bure na Chakula na matibabu. Haya yako sana kwenye utalii huko ndio usiseme, unakuta hadi Wahasibu ni...
  17. Nehemia Kilave

    PreGE2025 Wapinzani wataishinda CCM 2025 endapo yatafanyika yafuatayo

    Kuishinda CCM ,sio jambo dogo sababu kwanza wameshikilia dola , wana wanachama watiifu wengi ,na pesa pia .lakini wakifanya yafuatayo kwa katiba hii wanaweza shinda :- 1.Wawa hamasishe na kuwahimiza wananchi kupiga kura ,Wana CCM kwenye mitaa wanajuana na hupitiana kuhakikisha wanapiga kura ...
  18. funaku

    LGE2024 Pongezi kwa CCM kwa kujipanga

    Hakika CCM ni chama zoefu katika siasa.Huu ni mwaka mwingine CCM pamoja na kupitia vipindi vigumu imeweza kijitetea vyema na kwa sauti kubwa. CCM kama ilivyo vyama vingi vikongwe imeendelea kusimama kama chama imara kinachoheshimu upinzani ndani ya nchi na ukinzani kutoka mataifa dhalimu! Hata...
  19. B

    LGE2024 Kijana mzalendo aivaa CCM na serikali juu ya uchaguzi " wameshindwa leadership wanaogopa nini "

    ACHAMBUA MATUKIO YA UCHAFUZI WA UCHAGUZI WA TAMISEMI 2024 https://m.youtube.com/watch?v=gRp4sZuVa-A Kada wa CCM akihoji chama dola kongwe na serikali yake kwa kuteka na kuvuruga mchakato mzima wa uchaguzi wa serikali za mitaa TAMISEMI 2024, na kusema huku ni kushindwa kwa chama kongwe dola...
Back
Top Bottom